Sasa kama wanajua kuongea kiebrania huoni kama huo ni uthibitisho kuwa ndio wayahudi halisi.Je kuna mpalestina yeyote anaweza kuongea kiingereza cha kuzaliwa,si mpaka akae darasani ajifunze.Ila kama wanaweza kuongea kiebrania kwa kuzaliwa hao ni wayahudi hata kama sio .Allah sio mjinga amuumbe mzungu halafu ampe Lugha ya kiebrania.
Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Nimeuliza kuna mpalestina anayeongea kiingereza?Wapo wapalestina wanaoongea kiebrania kuzidi hao wazungu hapo Israel