Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

1. Wapi Palestina wamekataa two state solution?

2. Zaidi sana, nani yupo kwenye record anakataa two state solution?

Majibu yako tafadhali.
Fuatilia vizuri kwenye taarifa rasmi.

PLO chini ya Yasar Arafat, na Israel chini ya Yizack Rabin, wote waliridhia kuanzishwa kwa Taifa la Israel kwa kwenda hatua kwa hatua, kwa kuzingatia mipaka ya kabla ya mwaka 1967 kama Azimio la Umoja wa Mataifa no. 2424 lilivyotamka baada ya vita vya mwaka 1967, ambapo Israel ingekuwa na 20% na Israel ingekuwa na 80%. Azimio hilo lilifuta ile mipaka ya mwaka 1948 kabla ya vita, ambapo kufuatana na Azimio la UN 181, Israel ingepata 56% na Palestine ingepata 44%.

Hamas hawataki Taifa la Palestina lenye mipaka ya kabla ya 1967, wanataka mipaka ya kabla ya vita vya 1948.

Kwa sasa, Israel haitaki kutekeleza azimio no. 242 la UN, Hamas nao hawataki.
 
Hizo ni amri na hukumu tofauina ahadi ya nchi ya ahadi,elewa
Nchi walishapewa so kilichofuata ni sheria na utaratibu wa kuishi kwenye hiyo nchi. Ukikosea unatolewa kama aliyekuwepo alivyotolewa ila kwasababu Mungu aliwatumia hawa watu kujitambulisha kwa dunia wanabakiwa na ahad walizopewa babu zao. Kwamba utaadhibiwa kama baba kwa mwanae lakin sio kuangamizwa.
 
Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Ndio maana wamekutungua, inawezekana hata hao wanaojiita wapalestina wamehamia kutoka mesopotamia na uajemi
 
Hao wapalestina ndio waisrael walio tajwa kwenye Biblia. Mtu kakaa Palestina toka wakati wa Yesu hadi leo with Dna proof ya mababu zake kwamba walizikwa hapo, so hawa descendant wa Yesu sio waisrael?
Duh walikuwa waislamu kumbe
 
Kabla ya kuwa Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar. Mkutano wa Betrlin ndiyo ukaikatakata Afrika kama keki, wakagawana wazungu.

Ilikuwa mpaka Somalia na chini huko mpaka Maputo (Sofala).
Yaani atoke sultani kutoka uarabuni atulazimishe kwa mtutu wa bunduki ndio useme tumekuwa sehemu ya nchi ya zanzibar
 
Nationality is a fictional identity.

Dunia ina eneo kubwa sana la ardhi la kutosha kila mtu kupata makazi ya kuishi.

Tatizo lilianza kwa binadamu kuanza kujiwekea mipaka.

Mtu mmoja mmoja, jamii moja moja, Taifa moja moja, Kutaka kumiliki eneo kubwa la ardhi wao peke yao.

Tatizo na vita ndio zilianzia huku.

Ila amini kwamba hii dunia ni kubwa sana.

Ni upumbavu tu wa binadamu kupigania ardhi ambayo wameikuta na wote tutaiacha.
 
Wewe ni mjinga
 

1. Unaona hata Sasa unavyong'aka hilo taifa likinyooshewa kidole?

2. Ushahidi huu hapa:



3. Umeona analaumiwa Palestina hapo?

4. Ushahidi wako wa kuonyesha Palestina hawataki mataifa mawili pale uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…