Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Fuatilia vizuri kwenye taarifa rasmi.1. Wapi Palestina wamekataa two state solution?
2. Zaidi sana, nani yupo kwenye record anakataa two state solution?
Majibu yako tafadhali.
PLO chini ya Yasar Arafat, na Israel chini ya Yizack Rabin, wote waliridhia kuanzishwa kwa Taifa la Israel kwa kwenda hatua kwa hatua, kwa kuzingatia mipaka ya kabla ya mwaka 1967 kama Azimio la Umoja wa Mataifa no. 2424 lilivyotamka baada ya vita vya mwaka 1967, ambapo Israel ingekuwa na 20% na Israel ingekuwa na 80%. Azimio hilo lilifuta ile mipaka ya mwaka 1948 kabla ya vita, ambapo kufuatana na Azimio la UN 181, Israel ingepata 56% na Palestine ingepata 44%.
Hamas hawataki Taifa la Palestina lenye mipaka ya kabla ya 1967, wanataka mipaka ya kabla ya vita vya 1948.
Kwa sasa, Israel haitaki kutekeleza azimio no. 242 la UN, Hamas nao hawataki.