Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

Kwa hiyo alituomba tuwe sehemu ya milki yake ?
Haujawahi kabisa kuwa sehemy ya milki yake. Usidanywe, wewe ulikuwa koloni la Mjerubami baada ya wajerumani kukuulia wazee wako kina Mkwawa na Kimweri, tena Mwarabu akasimama bega kwa bega na wewe kupigana na mjerumani. Hujamsoma Bushiri?

Au ndiyo hata unachosoma hukielewi? Hujamsoma TipuTip (sniper) wa kutukuzwa alivyokuwa ni rafiki wa Mirambo? Alikuwa anadunguwa wajerumani na vibaraka wake kama vijana wa Hamas wanavyodunguwa mazayuni sasa hivi.

Mmedaganywa wamewatawala?

Ukisoma huelewi basi hata picha huoni? Au ndiyo umekuwa kondoo kiukweli?
 
Yaani atoke sultani kutoka uarabuni atulazimishe kwa mtutu wa bunduki ndio useme tumekuwa sehemu ya nchi ya zanzibar
Hivyo ndiyo ulivyodanganywa kwa ukondoo wako. Wajerumani waliingia mkataba kwa kumzuga Mwarabu au Mangungo?
 
Watu wanajua ardhi yai asili, hata waajemi wanajua ardhi yao ya asili ilipo
Ardhi ya asili ya nani? Ukisoma huelewi basi hata picha huoni?

Mfano wewe mbantu unajuwa kuwa ardhi yako ya asili ni Cameroon?

Au kama wewe ni mchaga huelewi ardhi yako ya asili ni wapi?
 

UNACHANGANYA ISRAELI YA KABILA NA ISRAELI NCHI ILIYOWEKWA NA WASIOAMINI MUNGU


View: https://youtu.be/fxN_IAlDiLk
 
Qurani imebuniwa juzi sana miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, haina hadhi ya kuongea kuhusu Wayahudi maana imekuta vyote.
 
Mkuu, ukisoma quraan utaona hao jamaa wali laaniwa na walipitia adhabu mbalimbali, na maanisha karibia mitume yao yote wali ikataa kata kata, mfano nabii luti (a.s), nuhu (a s), mussa (a.s,), issa (a.s) lakini bado wakawa wakaidi, walipewa adhabu ya kutembea miaka 40 jangwani yaani kufika hawafiki, na hawaja pewa amri ya kuingia nchi yoyote kupata hifadhi na walipo ruhusiwa kuingia ktk nchi hiyo bado waka wakaidi juu ya maelekezo ya Allah (s.w) , that why ktk Surat al fattah, mwisho mwisho wametajwa kuwa wamepotea na ALLAH atuepushe kuwa ktk njia yao pamoja nk waliopotea,
Note: baada ya kuzaliwa mtume Muhammad (s.a.w) kila jamii ktk uli mwengu ni yake
 
Hapa tatuzo kubwa sio hao vidampa Israel bali ni USA,kwa nini USA hataki Palesitina itambuliwe kama nchi-kule kwenye baraza la umoja wa mataifa ime veto Palesitina isitambuliwe kama nchi.
Kwa nini USA hataki huu mgogoro uishe,yeye ndio kikwazo.
 
Qurani imebuniwa juzi sana miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, haina hadhi ya kuongea kuhusu Wayahudi maana imekuta vyote.
Mkuu huna elimu hata ya ku Google, Quran ina miaka 500?, anyway usichokijua ni quraan ni kitabu cha dini ya kweli na bibilia ni kitabu kilicho jaa uongo kila sehemu na pia vipo vitabu ktk bibilia visivyo julikana vimeandikwa na nani, ukitaka kujua ukweli wa mwanadamu dunia nk basi huna budi kusoma Quran,
3:15 wagalatia,
1:17 yakobo (Mungu habadiliki)
Alafu njoo na hoja zako timamu na wewe uwe timamu
 
Na ni kwenye vitabu hivyo kuna maelezo ya jamii jirani na waebrania kama wamoab, wasamaria, wafilisti,.... Je hao watu waliishi wapi na kwa sasa ndo akina nani na wapo wapi?
 
Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba, pale kwenye ardhi wanapopigana hawa "Wazungu" ni nyumbani kwa Wayahudi, na wewe unakubali hilo, tatizo lako tu NJ kwamba hao wanaopigana sio Wayahudi halisi.
 
Hizi hadithi zote inawezekana kupatikana kwenye Quran?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…