FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Haujawahi kabisa kuwa sehemy ya milki yake. Usidanywe, wewe ulikuwa koloni la Mjerubami baada ya wajerumani kukuulia wazee wako kina Mkwawa na Kimweri, tena Mwarabu akasimama bega kwa bega na wewe kupigana na mjerumani. Hujamsoma Bushiri?Kwa hiyo alituomba tuwe sehemu ya milki yake ?
Au ndiyo hata unachosoma hukielewi? Hujamsoma TipuTip (sniper) wa kutukuzwa alivyokuwa ni rafiki wa Mirambo? Alikuwa anadunguwa wajerumani na vibaraka wake kama vijana wa Hamas wanavyodunguwa mazayuni sasa hivi.
Mmedaganywa wamewatawala?
Ukisoma huelewi basi hata picha huoni? Au ndiyo umekuwa kondoo kiukweli?