Kila kitu kipo, hayo yoote yapo tena kila walicho pewa na Allah ametuelezea maana ijapokuwa walipewa hiyo adhabu ya kutembea miaka 40 bila ya kufika tena jangwani pakavu kabisa lakini Allah aliwapa chakula na kinywaji pia aka wakinga, Quran imeeleza ili tusije tuka poteaHizi hadithi zote inawezekana kupatikana kwenye Quran?
sasa hao wayahudi unaowazungumzia wewe wanaishi nchi Gani Kwa sasa? kama hawapo twambie waliishia wapi?Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Kwa hiyo mnawaonea wivu ?Wayahudi wanateseka na kutengwa sababu ya ubinafsi wao.
Tukumbuke wale ni watu kama watu wengine ila wamejipa uspesho ambao ndio utakaowatesa na kuwafanya kuchukiwa na mataifa.
Tukisema kila jamii itake kudai na kurudi makwao hapa duniani hapatakalika.
Allah hahusiki na wayahudi bali waarabu tuKila kitu kipo, hayo yoote yapo tena kila walicho pewa na Allah ametuelezea maana ijapokuwa walipewa hiyo adhabu ya kutembea miaka 40 bila ya kufika tena jangwani pakavu kabisa lakini Allah aliwapa chakula na kinywaji pia aka wakinga, Quran imeeleza ili tusije tuka potea
Utapigwa fixes za kutosha kwa hayo maswali.Bado utaambiwa hao waizraeli waliopo leo siyo wenyewe.Hao ni "ashkenaz" tu.Utachanganywa hadi uimbe "Ndiyena ndiyena"!Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
Kwa sasa hilo kabila liko wapi?Na kwao kiasili ni wapi?Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Nataka kujua Kwa wajuzi wa historia za ulimwengu na maandiko ya kidini watupe mwanga.Utapigwa fixes za kutosha kwa hayo maswali.Bado utaambiwa hao waizraeli waliopo leo siyo wenyewe.Hao ni "ashkenaz" tu.Utachanganywa hadi uimbe "Ndiyena ndiyena"!
Tuombe kheri waje wataalamu na si wanazi/mahasimu wa kiitikadi na imani.Nataka kujua Kwa wajuzi wa historia za ulimwengu na maandiko ya kidini watupe mwanga.
Waliishi Israel, Palestina, Syria, Lebanon, Jordan na Misri.Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
Kama nimekuelewa vizuri ni kwamba, hata wewe una amini kwamba pale ndio kwao ila hupenzwi tu na tabia zao za kibinafsi, right?Wayahudi wanateseka na kutengwa sababu ya ubinafsi wao.
Tukumbuke wale ni watu kama watu wengine ila wamejipa uspesho ambao ndio utakaowatesa na kuwafanya kuchukiwa na mataifa.
Tukisema kila jamii itake kudai na kurudi makwao hapa duniani hapatakalika.
Sasa hivi. Wanakwambia hawa wa sasa sio jews ni wazungu .. wanasema Jews wenyewe hawapo tena.Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
Nakubaliana nao kabisa.Sasa hivi. Wanakwambia hawa wa sasa sio jews ni wazungu .. wanasema Jews wenyewe hawapo tena.
Acheni ujinga,uwezi kusumbua watu kwa kisingizio Cha eti kudai eneo lako kwa kutumia ushahidi wa stori za miaka elf2 iliyopita. Miaka elfu2 wewe unawajua walioishi hapo unapojivunia kua ni kwako? Je akijitokeza Leo na yeye akatumia ushahidi wa miaka 2000 iliyopita kupadai hapo unapoishi wewe utamwelewa? Wewe unawajua waliokua wanaushi USA miaka 2000iliyopita? Wakijitokeza kupadai kwa kutumia ushahidi huwohuwo wa miaka zaidi ya 2000 iliyopita kama wanavyofanya hao mayahudi,we unafikili wale wanaoishi sasa pale USA watawaelewa watu hao? Au hata wewe tu ukiwasikia watu hao utawaelewa na utawasaport kama munavyofanya kwa hawa wayahudi Leo?Ugomvi uliopo ni wa kidini. Sio wayahud na waarabu. Waislam wanajua lile eneo ni la wayahud ila wakikubali inamaanisha ule msikiti utabid uvunjwe lijengwe hekalu. Lakin wanajua lile eneo walipewa jews
Wayahudi hawajawahi ondoka israel,kilichofanyika nibaada ya wengi wao kutawanyika kukimbilia uhamishoni,kuamua kurejea na kuunda upya taifa lao kwa kushirikiana na wale wachache waliobakia,kasome kuhusu zionist movement utaelewa.Acheni ujinga,uwezi kusumbua watu kwa kisingizio Cha eti kudai eneo lako kwa kutumia ushahidi wa stori za miaka elf2 iliyopita. Miaka elfu2 wewe unawajua walioishi hapo unapojivunia kua ni kwako? Je akijitokeza Leo na yeye akatumia ushahidi wa miaka 2000 iliyopita kupadai hapo unapoishi wewe utamwelewa? Wewe unawajua waliokua wanaushi USA miaka 2000iliyopita? Wakijitokeza kupadai kwa kutumia ushahidi huwohuwo wa miaka zaidi ya 2000 iliyopita kama wanavyofanya hao mayahudi,we unafikili wale wanaoishi sasa pale USA watawaelewa watu hao? Au hata wewe tu ukiwasikia watu hao utawaelewa na utawasaport kama munavyofanya kwa hawa wayahudi Leo?
Ukiacha wayahud waliotokea ulaya palikuwepo wayahud asilia hapo chief. Sio kwamba waliokuja ndio pekee waliodai eneo lao.Acheni ujinga,uwezi kusumbua watu kwa kisingizio Cha eti kudai eneo lako kwa kutumia ushahidi wa stori za miaka elf2 iliyopita. Miaka elfu2 wewe unawajua walioishi hapo unapojivunia kua ni kwako? Je akijitokeza Leo na yeye akatumia ushahidi wa miaka 2000 iliyopita kupadai hapo unapoishi wewe utamwelewa? Wewe unawajua waliokua wanaushi USA miaka 2000iliyopita? Wakijitokeza kupadai kwa kutumia ushahidi huwohuwo wa miaka zaidi ya 2000 iliyopita kama wanavyofanya hao mayahudi,we unafikili wale wanaoishi sasa pale USA watawaelewa watu hao? Au hata wewe tu ukiwasikia watu hao utawaelewa na utawasaport kama munavyofanya kwa hawa wayahudi Leo?
Wenyewe wana ndoto yao inaitwa "GREATER ISRAEL ".Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
Hujajibu swali ndugu yangu.Ao wapo apo kitambo sana na wanajuana na mpaka waarabu wanawatambua vizuri wazayuni.
Isipokuwa wamechukuliwa utumwani mara kadhaa na wakarudi
Haya tuambie Kiebrania kinazungumzwa wapi na naniWayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.