Kila kitu kipo, hayo yoote yapo tena kila walicho pewa na Allah ametuelezea maana ijapokuwa walipewa hiyo adhabu ya kutembea miaka 40 bila ya kufika tena jangwani pakavu kabisa lakini Allah aliwapa chakula na kinywaji pia aka wakinga, Quran imeeleza ili tusije tuka poteaHizi hadithi zote inawezekana kupatikana kwenye Quran?