Waliambiwa ukikosea kitakutokea hiki na hiki. Ni kama vile wewe ukiambiwa uache uzinz ila ukikaid kuna adhabuHuo siyo muktadha wa hoja yako,hoja yako ni uspesho wa israel, hakuna hicho kitu,spesho wamewekwa utumwani miaka!!
Kwahiyo unakubali walipewa ardhi hiyo sioUnajua maana ya 'you will become losers!?.. maana kuna maagano,je waliyatimiza,kama hawakuyatimiza ahadi ya Mungu bado ipo?
Hizi Historia za kuchonga huwa zinachekesha Sana....Hilo ni kweli kabisa, ilikuwa Tanganyika, na kabla ya Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar.
Aisee, Yani hayo majina Israeli, Hebroni, Yerusalemu yote ni watu sio maeneo? Yani mtu ni mfalme; ana governing body, ana jeshi, ana watu anaowaongoza(makabila 12), kuna sheria, ana maeneo yote anayoongoza yana mipaka inayoeleweka halafu unasema sio nchi?Hao wanaotajwa hapo ni watu siyo nchi.
Kafanye homework yako.
Ukiambiwa ukimbie kilomita saba kwenda na kurudi utapewa milioni,ukashindwa kukimbia ukaishia njiani,bado utadai milioni?Kwahiyo unakubali walipewa ardhi hiyo sio
Thibitisha sheikhWayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Kuambiwa kuacha uzinzi siyo ahadi,elewaWaliambiwa ukikosea kitakutokea hiki na hiki. Ni kama vile wewe ukiambiwa uache uzinz ila ukikaid kuna adhabu
Yaani Tanganyika ilikuwa sehemu ya Zanzibar Au unamaanisha Zanzibar ilihusisha baadhi ya maeneo ya Tanganyika mpaka Mombasa (himaya ya Sultan)?Hilo ni kweli kabisa, ilikuwa Tanganyika, na kabla ya Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar.
Kabla ya kuwa Tanganyika ilikuwa ni Zanzibar. Mkutano wa Betrlin ndiyo ukaikatakata Afrika kama keki, wakagawana wazungu.Yaani Tanganyika ilikuwa sehemu ya Zanzibar Au unamaanisha Zanzibar ilihusisha baadhi ya maeneo ya Tanganyika mpaka Mombasa (himaya ya Sultan)?
Nimekutolea mfano kuwa waliambiwa ukifanya hiki utaadhibiwa usipofanya unabarikiwa. Ni kama vile vitabu vitakatifu vinasema ukitenda dhambi utaangamia ukiishi maisha ya utii kwa Mungu utabarikiwa. Mbona Rahisi kueleweka mzeeKuambiwa kuacha uzinzi siyo ahadi,elewa
Mungu sio binadamu mzee na hizo ahad alitoa kwa babu na baba zao so kulikuwa na option kwenye biblia inasema huko walikofukuziwa wakitubu watasikilizwa na watarudishwa nyumban kwao. Na tena anasema japo watachukuliwa mateka atawaacha wachache japo wanyonge.Ukiambiwa ukimbie kilomita saba kwenda na kurudi utapewa milioni,ukashindwa kukimbia ukaishia njiani,bado utadai milioni?
2 SAMWELI 7:20 – 23Wacha story nipe dalili wapi Israel ipo kwenye Bibilia kama ni Taifa, nipe reference usilete story za bar hapa.
Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Wayahudi ni kabila miongoni mwa watu waliokuwa wanaishi palestina ila siyo hawa wazungu wazungu waliotoka ulaya kisa wanajua kuongea kiebrania.
Wapo wapalestina wanaoongea kiebrania kuzidi hao wazungu hapo IsraelSasa kama wanajua kuongea kiebrania huoni kama huo ni uthibitisho kuwa ndio wayahudi halisi.Je kuna mpalestina yeyote anaweza kuongea kiingereza cha kuzaliwa,si mpaka akae darasani ajifunze.Ila kama wanaweza kuongea kiebrania kwa kuzaliwa hao ni wayahudi hata kama ni wazungu.Allah sio mjinga amuumbe mzungu halafu ampe Lugha ya kiebrania.
Nithibitishe NiniThibitisha sheikh
Kwamba wewe ni doctor bingwa umewapima DNA umegundua wale ni wamatumbi na siyo original jewsNithibitishe Nini
Wayahudi wamezungukwa pande zote na waarabu, wao wamekuwaje wazungu. Utapeli huuWayahudi walikuwepo hapo hapo mashariki ya kati ila Sasa je hao wayahudi wa kale walikuwa na asili ya Ulaya magharibi/ mashariki (wazungu) kama hawa wa sasa?
zitto junior
Kwao ni maeneo yote wanayoishi sasa pamoja na maeneo ya Westbank, Gollan heights waliyoikalia kimabavu, maeneo ya kusini mwa Lebanon, Gaza na maeneo ya Sinai Misri ukigoogle utaona.Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.
Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?
Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?
Kama wewe ni Mkristo rudi kasome Bible upya.Mungu hakuwahi kuwapotezea wengine wote na kujali kundi fulani