Kama ilipo Israel siyo Israel, Wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia walikuwa wanaishi wapi?

Kwani kabla ya 1964 kuna nchi iliyokuwa ikiitwa Tanzania..!!
Haikuwepo, kulikuwa na Tanganyika na kabla ya Tanganyika kulikuwa na Zanzibar.

ilipo israel leo kabla ya 1948milikuwa Palestine na kabla ya Palestine ilikuwa Falastin.
 
Kufumba na kufumbua zanzibar ikawa koloni la tanganyika,
Palestine ikawa ardhi ya israel
 
Siyo kufumba na kufumbuwa, ni mikakati ya muda mrefu, lakini sasa unawageukia. inatokea puani.
 
Wayahudi wanateseka na kutengwa sababu ya ubinafsi wao.
Tukumbuke wale ni watu kama watu wengine ila wamejipa uspesho ambao ndio utakaowatesa na kuwafanya kuchukiwa na mataifa.

Tukisema kila jamii itake kudai na kurudi makwao hapa duniani hapatakalika.
Yeah sure
 
Babu yao alitokea Uri ambapo kwa sasa ni Nasiriyah, Iraq.

Baada ya mambo mengi kupita walihamia Misri wakiwa 12 tu, wakakulia huko walipoongezeka ndipo likaanza vuguvugu la kurudi Caanan.

Huko caanan kulikuwa na watu tayari wenye nchi yao wanaishi, lakini kwa Sababu enzi hizo Mungu alitupotezea wengine wote akawajali wana wa Yakobo tu(Israel) ilibidi MUNGu atumie nguvu zake kupitia hao watu wakapiga vita ya kutosha kwa kuua wenyeji ili wao wapate sehemu ya kuishi.

Israeli ni Taifa ambalo halikuwepo kabla, Mungu ndio aliamua kulipachika hapo lilipo kwa Nguvu na vita vya kutosha.

Babu yao Ibrahimu Origin yake ni Iraq
 
Kwani quran inasemaje kuhusu eneo la israeli ni lipi,?
Hakuna eneo la israel, waisrael ni watoto wa yaakub/yakobo,walipewa ahadi ya kipande cha ardhi kwa masharti ambayo walipaswa kuyatekeleza,hawakuyatekeleza so ardhi automatically hawakuipata,hao Wana wa israel hawana nasaba yoyote na netanyahu/benzion
 
Babu yao alitokea Uri ambapo kwa sasa ni Nasiriyah, Iraq.

Baada ya mambo mengi kupita walihamia Misri wakiwa 12 tu, wakakulia huko walipoongezeka ndipo likaanza vuguvugu la kurudi Caanan.

Huko caanan kulikuwa na watu tayari wenye nchi yao wanaishi, lakini kwa Sababu enzi hizo Mungu alitupotezea wengine wote akawajali wana wa Yakobo tu(Israel) ilibidi MUNGu atumie nguvu zake kupitia hao watu wakapiga vita ya kutosha kwa kuua wenyeji ili wao wapate sehemu ya kuishi.

Israeli ni Taifa ambalo halikuwepo kabla, Mungu ndio aliamua kulipachika hapo lilipo kwa Nguvu na vita vya kutosha.

Babu yao Ibrahimu Origin yake ni Iraq
Mungu hakuwahi kuwapotezea wengine wote na kujali kundi fulani
 
haikuwepo nchi inayoitwa "israel" Suleiman na Daud walitokea Misri, kasome vizuri historia yako.

Nukuu maandiko yako kama u mkweli.
Sijategemea hii kutoka kwako lakini sio mbaya ngoja nikupe mistari;

1 Wafalme 2: 11
Na siku alizotawala Daudi juu ya Israeli zilikuwa miaka arobaini; huko Hebroni alitawala miaka saba, na katika Yerusalemu akatawala miaka thelathini na mitatu.

1Wafalme 11:42
Na siku alizotawala Sulemani katika Yerusalemu juu ya Israeli wote zilikuwa miaka arobaini.
 
Nukuu ulipoisoma.
Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:

[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]

And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”

— Surah Al-Isra 17:104

And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! ...Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers.”

— Surah Al-Ma'idah 5:20-107
 
Hao wanaotajwa hapo ni watu siyo nchi.

Kafanye homework yako.
 
Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina.

Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya waisrael, jee pale Mashariki ya kati, waisrael wanastahili kuwepo kwenye nchi Gani?

Quran na Biblia zina hadithi kuhusu wayahudi. Hao wayahudi wanaotajwa kwenye Quran na Biblia, zama hizo walikuwa wanaishi kwenye nchi gani ambayo kwa sasa haipo?

Na "Quran" imesema kabisa kuwa kuna nchi walipewa na mungu saa ainabidi hiyo nchi tuijue

ANGALIZO: najua tutaambiwa hawa wa sasa sio jews OG, ila ukweli ni kuwa haiwezekan hao Jews OG wawe "extinct" Kikubwa tuambiwe Sir God aliwapa eneo hili. Kwa mujibu wa vitabu vya dini zote mbili.

Ikishindikana basi tunaomba tuonde udini kwenye haya machafuko.. maana ndio msingi wa hii vita toka enzi na enzi.

Jordanian nao ni sehemu ya legacy ya hilo eneo toka enz za "kingdom of judea" lakin hawana mgogoro na hao wanaitwa Jews wa mchongo.

The question is why jordan na israel hawana vita? Wakat na wao sio tunkiimani bali had kijografia wanauhusiano na jamii zote za hapo.. jibu simple ni kuwa hakuna ukakasi wa KIDINI kati yao wa kuliana yamini za kufutana kwenye uso wa dunia

Mwisho Basi hata Egypt angeamua kuleta figisu maana kawatawala sana hapo kachukua sana watumwa hapo .. na hii siisemi kwa reference za kidini ila kihistoria.. kipindi hicho king NECHO II ndio mtawala..

Yaan hapo middle east palikuwa shamba la bibi kila super power alitawala kuanzia wagiriki , egypt hadi Waroma. Walipomuweka herode kama mtawala.. mwisho wakaja Ottoman.. nao wakakimbizwa na UK. Sema
Ottoman amekaa miaka mingi akatengeneza influence ya kiiman na kitamaduni. (Islam and arab culture).
 
Mungu hakuwahi kuwapotezea wengine wote na kujali kundi fulani
Ipo hivyo mkuu ndio maana kuna wengine matajiri na masikin na wengine wana akili wengine hawana. Hiyo imewekwa maalumu ili tufaane. Ni kama mnazaliwa nyumba moja wote mkiwa wazima lakin kuna mmoja kawazid wenzie kila kitu ni nature inaamua ila ina sababu. Kingine ni kuwa kila uzao unategemea na aliyepita. Kama wazee wako walikuwa madhalimu unazaliwa uzao wa laana nknk
 
Biblia imesheheni extensive details kuhusu taifa la Israeli, kwa nini una refer Quran iliyokuja more than 500 years tena kupitia jamii ya kiarabu wakati kwenye vitabu vya SAMWELI, WAFALME na vingine ndani ya Biblia vina historia kubwa kuhusu Israeli?

Content ya Quran nzima ina ujazo karibu sawa na kitabu cha Zaburi peke yake, haiwezi kuwa na details nyingi kwenye hili.

Just a question to you why Quran and not the Bible?
Wacha story nipe dalili wapi Israel ipo kwenye Bibilia kama ni Taifa, nipe reference usilete story za bar hapa.
 
Ipo hivyo mkuu ndio maana kuna wengine matajiri na masikin na wengine wana akili wengine hawana. Hiyo imewekwa maalumu ili tufaane. Ni kama mnazaliwa nyumba moja wote mkiwa wazima lakin kuna mmoja kawazid wenzie kila kitu ni nature inaamua ila ina sababu. Kingine ni kuwa kila uzao unategemea na aliyepita. Kama wazee wako walikuwa madhalimu unazaliwa uzao wa laana nknk
Huo siyo muktadha wa hoja yako,hoja yako ni uspesho wa israel, hakuna hicho kitu,spesho wamewekwa utumwani miaka!!
 
Na "Quran" imesema kabisa kuwa kuna nchi walipewa na mungu saa ainabidi hiyo nchi tuijue

ANGALIZO: najua tutaambiwa hawa wa sasa sio jews OG, ila ukweli ni kuwa haiwezekan hao Jews OG wawe "extinct" Kikubwa tuambiwe Sir God aliwapa eneo hili. Kwa mujibu wa vitabu vya dini zote mbili.

Ikishindikana basi tunaomba tuonde udini kwenye haya machafuko.. maana ndio msingi wa hii vita toka enzi na enzi.

Jordanian nao ni sehemu ya legacy ya hilo eneo toka enz za "kingdom of judea" lakin hawana mgogoro na hao wanaitwa Jews wa mchongo.

The question is why jordan na israel hawana vita? Wakat na wao sio tunkiimani bali had kijografia wanauhusiano na jamii zote za hapo.. jibu simple ni kuwa hakuna ukakasi wa KIDINI kati yao wa kuliana yamini za kufutana kwenye uso wa dunia

Mwisho Basi hata Egypt angeamua kuleta figisu maana kawatawala sana hapo kachukua sana watumwa hapo .. na hii siisemi kwa reference za kidini ila kihistoria.. kipindi hicho king NECHO II ndio mtawala..

Yaan hapo middle east palikuwa shamba la bibi kila super power alitawala kuanzia wagiriki , egypt hadi Waroma. Walipomuweka herode kama mtawala.. mwisho wakaja Ottoman.. nao wakakimbizwa na UK. Sema
Ottoman amekaa miaka mingi akatengeneza influence ya kiiman na kitamaduni. (Islam and arab culture).
Qur'an inaongelea kizazi cha Yakobo ambao walifata dini ya baba yao ambayo ni Uislam sio Ukristo wala Kiyahudi. Kipo kizazi cha Yakobo pia kilipot3zwa na Shetani badaye wakakufuru.
 
Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:

[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]

And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”

— Surah Al-Isra 17:104

And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! ...Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers.”

— Surah Al-Ma'idah 5:20-107
Unajua maana ya 'you will become losers!?.. maana kuna maagano,je waliyatimiza,kama hawakuyatimiza ahadi ya Mungu bado ipo?
 
Huo siyo muktadha wa hoja yako,hoja yako ni uspesho wa israel, hakuna hicho kitu,spesho wamewekwa utumwani miaka!!
Kila kitu kinaanzia ngazi za familia. Kwa taarifa yako yule mtoto anaefuatiliwa zaid na mzazi na kuadhibiwa ndie anaeandaliwa kwa makuu. So taifa ni familia kubwa iliyokubaliana namna ya kwenda.
 
Back
Top Bottom