Watatoa ushindani kwa nchi ambazo hazitaki demokrasia.Hao EU wao wenyewe bado kuna baadhi ya maeneo hawakubaliani (rejea Brexit) isitoshe bado mifumo yao ya kifedha ina maingiliano makubwa na mabenki ya kimarekani.
Bricks ni kama vile ipo kuchuana na G7 na kupunguza utegemezi kwa hao mabeberu ila hata wao wanapishana sana mambo mengi isitoshe wao kwa wao ni mahasimu (China na India), ila nadhani watatoa ushindani mzuri kwa G7 (ila sio kuwapiku kabisa kwa sasa) ambao unaweza kutunufaisha sisi wa dunia ya 3 tukichanga karata zetu vizuri.
zitto junior T14 Armata The Boy Wonder FRANC THE GREAT
Kwamba BRICS+ itasababisha wananchi wa Marekani wasiwe na uwezo wa kununua?Lazima tukubali kwamba - in future- BRICS itapunguza sana nguvu za uchumi na ushawishi wa Marekani duniani...
Kumbuka ni Economic Alliance ambayo MCHINA yupo ndani yake...
Naona SAUDIA + IRAN + ARGETINA wameingia...
Natabiria huenda nchi za ASIA ya mbali + kati zikafuata baadaye ( Indonesia, Malaysia, N.Korea, Philippines.
tofauti na ilivyo EU pekee , BRICS yaweza kutanuka duniani...
Kama BRICS Itaanzisha sarafu yake, Hata kama hawatamshinda US, ila kiuchumi itapunguza sana utegemezi wa DOLLAR....na kuna nchi zitasimama kiuchumi.
Haimaanishi hizo nchi zitakuwa adui wa US, uchawa uteendelea hasa ktk utegemezi wa kijeshi ,lakini itakuwa ni dunia ya urafiki wa kimaslahi kwani kila nchi inatafuta namna ya ku-survival ..
Na hili litakuwa advantage kubwa kwa CHINA ambayo inaathirika na DOLLAR ktk ushindani wa kibiashara+ uchumi duniani...
Naiona kambi ya RUSSIA, hata kama haitakuwa ya kiitikadi kama ile ya enzi za USSR. ..ambaye atategemewa sana na BRICS ktk masuala ya ki-mgogoro kama itatokea baina ya mwanachama wa BRICS vs kambi ya magharibi..
Mwambie hata yeye achukue Ruble badala ya DollarHizi data mnatoa wapi mbona matumizi ya Dollar yako palepale, 88% ya miamala yote ya kibiashara duniani imefanyika Kwa Dola. Mwenzetu data za kupungua kwa 10% umezitoa wapi?!!!!
Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
Inakuwaje utumwa kiuchumi?Watu wanaangalia namna ya kujikwamua na utumwa wa kiuchumi, wewe unawaza kushindwa kwa Marekani. Kweli utumwa wa akili ni hatari.
BRICS wao wanachotaka ni wingi ili walazimishe mabadiliko ya UN haswa kwenye vile Viti 5 permanent, wanataka AU iwe na Kiti cha Kudumu, lengo lao ni lile lile wakianzaisha vita sababu waafirka wajinga wasipige kuraHapa Brics sio suala la kupambana wala ugomvi bali ni kuwekeza pamoja na kupandisha uchumi wao
Kwa mfano Brazil akija kuwekeza kwenye kilimo kwenye nchi kadhaa Africa ni vizuri na hakuna madhara wala kushindana na [emoji631] hayo ni mawazo tu EU pia wana NATO pamoja na huyo huyo
Sisi waafrika huwezi kuona mtanzania anaenda nchi kama Nigeria au Egypt kutafuta bidhaa zao na kuleta hata nguo ila ataenda China na Dubai why?
Hatusaidiani kabisa waafrika acha tuone hao waliokubaliwa kujiunga
BRICKS Payment System inaanza lini? Uchukua miaka 30 mfumo fedha Kufanya kazi. Naona kama wanajichelewesha. Walitakiwa wawe na Pesa yao mapema walipokuwa 5.Nimeandika nilivyo andika kupima uelewa wako na umethibitisha kuwa ni mdogo.
EU + US jumla wako nchi 28 na jumla ya global gdp Yao ni 40% BBRICS Wana jumla ya nchi 8 ukiongeza hao wapya. Sasa Kwa uelewa wako mdogo tuambie wapi Wana uchumi mkubwa tukitafuta wastani?
Wataalamu wenye akili wameshaona kifo Cha G7 na bwana wenu US
BRICS haitakuwa na pesa yao hata kwa miaka 50 ijayo.BRICKS Payment System inaanza lini? Uchukua miaka 30 mfumo fedha Kufanya kazi. Naona kama wanajichelewesha. Walitakiwa wawe na Pesa yao mapema walipokuwa 5.
Kwenye masuala haya huwa hakuna jibu la moja kwa moja, tunaangalia trends na viashiria tu.Inakuwaje utumwa kiuchumi?
We waamini kuwa Tz itafanya biashara na China kwa Tzs/Yuan?
Wanasubiria october hapo [emoji23] waingie lotteryKila mtu duniani lengo lake ni kufika nchi ya maziwa na asali- USA. Marais wenyewe wa BRICS wanacheza green card lottery.
Yaani kwanza data huna.
Global gdp ya marekani ni 23% na washirika wake ni 17% ukijumlisha hapo unapata 40%. Kwa takwimu hizo BRICS wako juu pamoja na kuwa Wana 36% unajua ni kwanini?
Kama hujui tumia hesabu za darasa la pili ndio utakuwa kwanini US na vibaraka wake Wana haha
Sio vibaya kujaribu, wakishindwa wataangalia namna nyingine iliyobora zaidi, "penye nia pana njia"Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.
Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.
Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Mkiulizwa hilohilo swali NATO ilijiunga kujihami dhidi ya nani mnakimbia.....Kichakoro kama siyo kushindana na Marekani ilianzishwa ya kazi Gani Sasa!!??
Ungeanza kujiuliza Gold Standard Monetary system na Bretton Wodds agreements and Institutions ... Ukajiuliza taratibu za Loans, Grants katika Bretton Wodds institutions ndio ukaja na huu uharo wako....Mfano huu hausadifu tunachokiongelea.
Hebu nigeuze swali. BRICS ilikuwaje ikaanzishwa na ni kwa nini Marekani haimo kwenye BRICS??
Kajinga hako ..mbona URUSI aliomba kuingia NATO wakagoma ... Kwa hiyo NATO ni kikoba dhidi ya nani!!??Kwahiyo wewe lengo lako US awe BRICS??,
Na URUSI akiwa mwanachama wa NATO Kuna shida gani!!?Wewe pia soma uelewe kabla ya kujibu.
Kwani akiwa mwanachama Wa BRICS Kuna shida gani?
Watu wakiungana wanaweza kuishinda Marekani, ni vile tu wao ni wajanja kwamba ktk muunganiko wenu kunaweza kua na watu wao na wewe wakawa wanakudanganya ,hivyo ktk mpango yenu wao wakawa wanaitibua,mamluki yaniKuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo.
Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani.
Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
Kwamba BRICS+ itasababisha wananchi wa Marekani wasiwe na uwezo wa kununua?
Hao BRICS tukiondoa Mafuta na Marekani wana kipi?
BRICS yote yamtegemea Marekani kuuza mafuta na bidhaa
Rudi shulePamoja na yote hayo unayoeleza, marekani wana hofu iliyopitiliza kuhusiana na BRICS. They term it pact as serious competitor. Unlike EU which is termed as allies.
Rudi shule