Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Hiyo hadithi ipo tangu kale kwenye jamii mbalimbali , na ni hadithi za kibabiloni ya kale ( book of gilgamesh) wala haina uhalisia wowote.Safina ni mambo ya kiroho mjuba, ukisoma kama hadithi tu hutaelewa
Ushasema mungu alijua idadi ya wataoingia ndo akatoa vipimo.Maswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU.
Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe akatoa na vipimo vile viantakiwa viwe!!
Kwa maana hiyo Mungu alikuwa anajua idadi halisi ya wanyama watakao ingia pamoja na binadamu, mbegu zote za miti na nafaka.
kifupi Mungu alijua safina itakuwa na uzito fln ndio maana alitoa vipimo
Nuhu aliingia yeye na familia yake si zaidi ya watu 10 vipi kama wangeingia watu 200 tu vipimo vingeongezwa?
Imagine dunia yote ingekubaliana na mahubiri ya Nuhu na wote wakatii na kuamini alichokuwa anakisema Nuhu je hiyo safina ingelitosha kubeba watu wote duniani pamoja na wanyama,mbegu za nafaka miti na ndege?
Pia kwa wale mnaodai wanefili ulikuwa uzao wa malaika na wanadamu (chotara) na lengo la Mungu lilikuwa kuwaangamiza wanefili wote ili kibaki kizazi og cha binadamu halisi ambaye ni Nuhu kama mnavyodai.
Je kulikuwa na ulazima gani wa Nuhu kuwahubiri na vipi kama wangemtii Nuhu na kuingia nao kwenye safina Mungu asingeiangamiza dunia kwa maji?
Kama Mungu target yake ilikuwa watu wahubiriwe kama wangeamini mahubiri hayo safina iliyotengenezwa kwa miaka 120 ingeli vunjwa?
Happy Sunday 😊
View attachment 3429246View attachment 3429248
Leta uthibitisho kwamba watu hawakuwa wengi duniani.Wakati huo Nuhu alikua Kisasi cha 10 ama 11 Toka Adam, Dunia haikua na Watu wengi Kadri unavyofikiri.
Watu walikua Wachache na ni middle east tu.
Hii ni fiction story ya kuhusu Nuhu, the real storyMaswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU.
Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe akatoa na vipimo vile viantakiwa viwe!!
Kwa maana hiyo Mungu alikuwa anajua idadi halisi ya wanyama watakao ingia pamoja na binadamu, mbegu zote za miti na nafaka.
kifupi Mungu alijua safina itakuwa na uzito fln ndio maana alitoa vipimo
Nuhu aliingia yeye na familia yake si zaidi ya watu 10 vipi kama wangeingia watu 200 tu vipimo vingeongezwa?
Imagine dunia yote ingekubaliana na mahubiri ya Nuhu na wote wakatii na kuamini alichokuwa anakisema Nuhu je hiyo safina ingelitosha kubeba watu wote duniani pamoja na wanyama,mbegu za nafaka miti na ndege?
Pia kwa wale mnaodai wanefili ulikuwa uzao wa malaika na wanadamu (chotara) na lengo la Mungu lilikuwa kuwaangamiza wanefili wote ili kibaki kizazi og cha binadamu halisi ambaye ni Nuhu kama mnavyodai.
Je kulikuwa na ulazima gani wa Nuhu kuwahubiri na vipi kama wangemtii Nuhu na kuingia nao kwenye safina Mungu asingeiangamiza dunia kwa maji?
Kama Mungu target yake ilikuwa watu wahubiriwe kama wangeamini mahubiri hayo safina iliyotengenezwa kwa miaka 120 ingeli vunjwa?
Happy Sunday 😊
View attachment 3429246View attachment 3429248
Kama alijua wataingia 8 kwanini alimpa kazi ya miaka 120 akihubiri na anajua anao wahubiria hawataingia ?Ushasema mungu alijua idadi ya wataoingia ndo akatoa vipimo.
Inamaana kma wangekua 200 bhc angetoa kipimo cha watu 200
Hapo kuna ugumu gan kuelewa
Kwahiyo haikuuwepo kimwili ila kiroho(imani)?Safina ni mambo ya kiroho mjuba, ukisoma kama hadithi tu hutaelewa
Siyo kweli. Hata kama wangekuwa 500 tu kwanini kipimo kitolewe kwanza kabla ya watu kuhubiriwa ili ijulikane bayana watakaoingia ni 10 au 50 na vipimo viweke bayana kwa watu na viumbe husika?Wakati huo Nuhu alikua Kisasi cha 10 ama 11 Toka Adam, Dunia haikua na Watu wengi Kadri unavyofikiri.
Watu walikua Wachache na ni middle east tu.
Kama alijua hawatamsikia Nuhu kwanini amuache ahubiri kwa miaka 120 yote ?Mungu anahukumu kwa haki, alimwambia Ezekiel nakutuma kwa watu wenye shingo na mioyo migumu ili uwaambie waache uovu wao ila hawatakusikia.
Hata kwa Nuhu pia, alishajua hawa watu hawatamsikiliza Nuhu ila alimtuma Nuhu ili hukumu yake ikija ije kwa haki sababu waliikataa neema ya Mungu.
Lakini pia imekuja neema ya pili, ya kumuamini Yesu Kristo. Wale wooote ambao hawakuwahi kulisikia neno la kabla ya Kristo kuja ulimwenguni, huko huko mautini Kristo aliwapelekea neno ili waamini. Mkuu, hukumu ya mwisho juu yetu wanadamu ni ya kutisha sana.
Tuache njia zetu mbaya turudi kwa Mungu kwa toba ya kicho, toba ya kubadilisha maisha yetu completely.
Hii yako ni mpya. Turudi kwenye bibliaHii ni fiction story ya kuhusu Nuhu, the real story
✓kipindi Cha zamani mvua zilikuwa nyingi sana kabla ya mabadiliko ya tabia Nchi,. Nuhu alikuwa mvuvi na ngalawa zake kubwa tu. Siku moja mvua kubwa ilinyesha sana, nuhu akabeba familia yake kwenye mashua na chakula Cha kutosha, maeneo hayo ya Israel, Egypt, Iraq, Syria sehemu kubwa ilizama na maji ya mvua yakachanganyikana na maji ya bahari, nyumba nyingi zilizama na watu kufa sana. Nuhu na familia yake walikuwa wanabembea kwenye mawimbi ya maji kwa muda mrefu ndiyo Baadaye upepo uliwasukuma mpaka Pwani wakatoka kwenye ngalawa wakaanza maisha upya. Mambo mengine kwamba aliweka wanyama wa kila aina ni story za kuongeza nyama tu.
Hili swali gumu sanaKama alijua wataingia 8 kwanini alimpa kazi ya miaka 120 akihubiri na anajua anao wahubiria hawataingia ?
Hata ukipewa jibu bdo utauliza tena..Kama alijua wataingia 8 kwanini alimpa kazi ya miaka 120 akihubiri na anajua anao wahubiria hawataingia ?
Bhc hio miaka 120 ndio imemfanya apate hao watu 8 . binadamu sie ni wabishi mnooHili swali gumu sana