Kama ingetokea watu wakamuamini Nuhu au nusu yao tu je safina ingetosha kuwabeba watu wote Dunia nzima?

Mungu alimpa Farao moyo wa jiwe ili tu awatese wa misri.
Kwa hiyo huyo Mungu alikuwa anafanya utani na comedy sio?

Huyo Mungu alikuwa anajitekenya na kujicheka mwenyewe.

Huku anamlalamikia Farao kwamba amegoma kuwaachia wamisri, Kumbe ni yeye mwenyewe anayefanya moyo wa Farao kuwa mgumu ili asiwaachie wamisri.

Huyo Mungu ana matatizo ya akili na uwendawazimu.
Nadhani jibu umepata hapo
 
Leta uthibitisho kwamba watu hawakuwa wengi duniani.

Leta demographic data ya ukisemacho.
Kama Nuhu alikua kizazi Cha 10 ama 11 baada ya Adam unaweza kutumia tu hata Akili Yako ya Darasa la 7 ukapiga hesabu.
 
Hiyo hadithi ya Nuhu ni mojawapo ya hadithi za uongo zilizoandikwa na watu wasiojua jografia na ikolojia.

Huwezi kuniambia eti Kangaroo (mnyama anaepatikana Australia tu duniani) alivuka bahari ya hindi kwa miguu ili aje apande safina! Anaconda nao walisafiri kutoka misitu ya Amazon kule amerika ya kusini?

Na pia kwa vipimo vya ukubwa wa hiyo safina, isingetosha kuweka wanyama wote duniani wawili wawili, je walikula nini kwa kipindi chote walichoishi humo?

Ifike mahali watu tutumie akili.
Mambo ya Imani ni magumu Sana, ndo maana huwezi kutumia sayansi kuyaprove, wewe amini tu kama zuzu, hivi kutoka Misri mpaka Israel ni kilomita 600 lakini wa Israel walitumia miaka arobaini kufika huko, Mimi naamini Mungu yupo Lakini vitabu vyetu walioandika wamtia chumvi au wamejipendelea sana
 
Hiyo hadithi ipo tangu kale kwenye jamii mbalimbali , na ni hadithi za kibabiloni ya kale ( book of gilgamesh) wala haina uhalisia wowote.
Ukisoma Book of Gilgamesh (epic of Gilgamesh bila shaka) utapata mwanga kwamba haya mambo ya Dini (Uumbaji wa adamu, mambo ya Nuhu nk ni kama yalitokea humo)
Yaani ni kama walichukua the epic of Gilgamesh na kuifanyia marekebisho kidogo na kutengeneza Biblia.
Asante mkuu nilisona the epic of Gilgamesh baada ya kuona umeandika Hilo jina humu humu.
 
Maeneo mengine ya Dunia hakukuwa na watu ila middle east tu 🤣🤣🤣
Kwa Mujibu wa Biblia Adam na Eva ndiyo Binadamu wa kwanza, na walianzia Maisha Yao Middle east, means Binadamu walitokea Middle east na kusambaa pande zote za Dunia.
 
Maswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU.

Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe akatoa na vipimo vile viantakiwa viwe!!

Kwa maana hiyo Mungu alikuwa anajua idadi halisi ya wanyama watakao ingia pamoja na binadamu, mbegu zote za miti na nafaka.

kifupi Mungu alijua safina itakuwa na uzito fln ndio maana alitoa vipimo

Nuhu aliingia yeye na familia yake si zaidi ya watu 10 vipi kama wangeingia watu 200 tu vipimo vingeongezwa?

Imagine dunia yote ingekubaliana na mahubiri ya Nuhu na wote wakatii na kuamini alichokuwa anakisema Nuhu je hiyo safina ingelitosha kubeba watu wote duniani pamoja na wanyama,mbegu za nafaka miti na ndege?

Pia kwa wale mnaodai wanefili ulikuwa uzao wa malaika na wanadamu (chotara) na lengo la Mungu lilikuwa kuwaangamiza wanefili wote ili kibaki kizazi og cha binadamu halisi ambaye ni Nuhu kama mnavyodai.

Je kulikuwa na ulazima gani wa Nuhu kuwahubiri na vipi kama wangemtii Nuhu na kuingia nao kwenye safina Mungu asingeiangamiza dunia kwa maji?

Kama Mungu target yake ilikuwa watu wah

Kama Mungu target yake ilikuwa watu wahubiriwe kama wangeamini mahubiri hayo safina iliyotengenezwa kwa miaka 120 ingeli vunjwa?

Happy Sunday 😊

View attachment 3429246View attachment 3429248
Kama watu wote wange tubu na kuacha uovu wao MUNGU asingeleta gharika, angeghairi kama alivyofanya kwa Ninawi kwenye kitabu cha Yona
 
Kwanza leta uthibitisho wa uwepo wa huyo Nuhu. Sio hadithi za Biblia.
Muulize Mleta Mada Hilo Swali....!
Msijifanye mna Akili sana inapokuja kwenye Mambo ya Imani....!

Hata Mwendawazimu mtu asiye ana Akili sawasawa anaweza kuuliza Swali kama Hilo.
 
Unaleta hekaya zako za Biblia halafu ukiulizwa uthibitisho unakwepa kwepa.

Leta uthibitisho sio imani uchwara za vitabuni.
Niomyeshe ni Vitabu Gani vya Kisayansi vinazungumzia habari za Nuhu....!?

Mbona Huwa mnapenda kujitia Ufahamu....!?

Story ya Nuhu ipo kwenye Biblia na Quran, Means Mtoa Mada kuuliza Swali la Kidini, wewe unakuja hapa unataka Mjadala wa Kisayansi, ni Akili ama Matope....!?

Nenda kaanzishe Uzi wako wa Kisayansi Watu watakuja kuchangia.....! Heshimu mawazo ya wengine.
 
Kwa Mujibu wa Biblia Adam na Eva ndiyo Binadamu wa kwanza, na walianzia Maisha Yao Middle east, means Binadamu walitokea Middle east na kusambaa pande zote za Dunia.
Hiyo ni Kwa mujibu wa Biblia.
Ukienda China Wana stori Yao pia jinsi binadamu alivyoanza Kwa mujibu wa vitabu vyao.
India pia Wana stori ya jinsi binadamu alivyotokea Kwa mujibu wa vitabu vyao.

Kwahiyo Adam na Hawa ni Kwa mujibu wa Biblia ila siyo kwamba Binadamu wa kwanza walikuwa adamu na Hawa.

Kwa ufupi china Wana adamu wao, India Wana adamu wao nk.
Hauwezi kusema Adamu alikuwa mwarabu, katika huyo mwarabu wakatokea wachina (seriously)
 
mshua vipi kama tukisema na wewe hiyo hadithi yako nayo ni kusadikika kama za Shabani Roberts
Unajua Mababu zetu na mabibi zetu walimezeshwa matango pori ambayo yameenda mpaka kwenye generation zetu.. Kipindi hicho communication ilikuwa ngumu sana kinachoendelea kwa jirani yako, mazingira, mawasiliano yalikuwa Dunia sana. Hivyo mtu anaweza cook information ndo ikawa story ya kweli.

Mfano mji wa Sodoma na Gomola:

✓ Kilichotokea ilikuwa tetemeko la ardhi,volcano ikasambatisha mji mzima, kwa vile hilo eneo kulikuwa na uzinzi sana kama wa Sasa hivi kwa baadhi ya Nchi na hapa Tanzania Wanawake kujiuza na Wanaume kufilana kama hapo Dar mitaa ya Sinza Mori, Temeke, kinondoni, Ubungo etc. Kama tetemeko litapiga hizo sehemu watu watasema Mungu kaleta garika kuangamiza wazinzi. Ukienda Paris, Netherlands, Mexico City, Las Vegas Nevada, Malaya wanajiuza sana wa kike na kiume, hivyo hiyo sehemu ikipigwa na tetemeko watu watasema Mungu katoa adhabu. Hivyo hivyo miji ya Sodoma na Gomola kulikuwa na uzinzi sana kama wa leo bahati mbaya tetemeko likapiga hizo sehemu watu wakatunga story mpaka kwenye vitabu vya Imani, na watu wakaaminishwa hivyo mpaka leo. Hizo ni viction stories. Ina Maana uzinzi wa sasa hivi ni cha mtoto kuliko zamani.

I found this video which I want to share with you: I found this video which I want to share with you
 
Niomyeshe ni Vitabu Gani vya Kisayansi vinazungumzia habari za Nuhu....!?

Mbona Huwa mnapenda kujitia Ufahamu....!?

Story ya Nuhu ipo kwenye Biblia na Quran, Means Mtoa Mada kuuliza Swali la Kidini, wewe unakuja hapa unataka Mjadala wa Kisayansi, ni Akili ama Matope....!?

Nenda kaanzishe Uzi wako wa Kisayansi Watu watakuja kuchangia.....! Heshimu mawazo ya wengine.
Punguza kihoro na kimuhemuhe.

Hakuna sehemu nimetaka mjadala wa kisayansi.

Uzi ukishawekwa JF umewekwa kwenye public forum, Kila mtu anaweza kuchangia vyovyote atakavyo.

Ukileta hizo hadithi zako uchwara za Biblia na Quran lazima tuzihoji na kuzihakiki ndio maana tunataka uthibitisho wa hao fictional characters kina Nuhu.
 
Maswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU.

Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe akatoa na vipimo vile viantakiwa viwe!!

Kwa maana hiyo Mungu alikuwa anajua idadi halisi ya wanyama watakao ingia pamoja na binadamu, mbegu zote za miti na nafaka.

kifupi Mungu alijua safina itakuwa na uzito fln ndio maana alitoa vipimo

Nuhu aliingia yeye na familia yake si zaidi ya watu 10 vipi kama wangeingia watu 200 tu vipimo vingeongezwa?

Imagine dunia yote ingekubaliana na mahubiri ya Nuhu na wote wakatii na kuamini alichokuwa anakisema Nuhu je hiyo safina ingelitosha kubeba watu wote duniani pamoja na wanyama,mbegu za nafaka miti na ndege?

Pia kwa wale mnaodai wanefili ulikuwa uzao wa malaika na wanadamu (chotara) na lengo la Mungu lilikuwa kuwaangamiza wanefili wote ili kibaki kizazi og cha binadamu halisi ambaye ni Nuhu kama mnavyodai.

Je kulikuwa na ulazima gani wa Nuhu kuwahubiri na vipi kama wangemtii Nuhu na kuingia nao kwenye safina Mungu asingeiangamiza dunia kwa maji?

Kama Mungu target yake ilikuwa watu wahubiriwe kama wangeamini mahubiri hayo safina iliyotengenezwa kwa miaka 120 ingeli vunjwa?

Happy Sunday 😊

View attachment 3429246View attachment 3429248
Dunia nzima yenyewe haikuwa na watu wanaojaza Wilaya moja
 
Back
Top Bottom