Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Mungu 🤣🤣Nani aliwapa binadamu ubishi?
Mungu 🤣🤣Nani aliwapa binadamu ubishi?
Ndio maana middle east wanajiona Wana undugu na Mungu kuliko wengine..Maeneo mengine ya Dunia hakukuwa na watu ila middle east tu 🤣🤣🤣
Stori ya Biblia imetoka hapo hapo middle east mkuu lazima wajipendelee wao kwenye hiyo Stori.Ndio maana middle east wanajifanya keki sana.
Basi Kumbe ubaguzi ulianza Toka Dunia kuumbwa,Stori ya Biblia imetoka hapo hapo middle east mkuu lazima wajipendelee wao kwenye hiyo Stori.
Hatari sana mkuu -Mungu 🤣🤣
Ukisoma vizuri Biblia bila ushabiki utaelewa ubaguzi kauleta Mungu mwenyewe,Basi Kumbe ubaguzi ulianza Toka Dunia kuumbwa,
Ahaa Sawa...kumbe hamuongelei matukio ya uhalisia bali dhana za kufikirika (mythology) kutoka Kwenye vitabu vya diniThen hii Mada haikuhusu, Hii Mada inazungumzia Dini...!
Si ndo maana nasikia Yesu alikuwa blackUkiwauliza Wazulu na Makabila mengine yote ya kusini, Asili Yao ni wapi watakwambia Wao walitokea Kaskazini, Uliza hata Wasukuma, Wajaluo, na Makabila Mama mengi Asili Yao ni wapi watakwambia Mababu zao walitokea Kaskazini, Uliza Wa South Sudan, Maasai, Watutsi, Igbo watakwambia Walitokea Kaskazini.
Tena Watutsi, Waethiopia, Igbo, Fulani na wengine, husema Wazi Asili Yao ni kutokea Middle east.