Kama ingetokea watu wakamuamini Nuhu au nusu yao tu je safina ingetosha kuwabeba watu wote Dunia nzima?

Kama ingetokea watu wakamuamini Nuhu au nusu yao tu je safina ingetosha kuwabeba watu wote Dunia nzima?

Bhc hio miaka 120 ndio imemfanya apate hao watu 8 . binadamu sie ni wabishi mnoo
Hiyo ni familia yake pekee yake wala hakuingia mtu mwingine

Mwanzo 7:7.
Nuhu akaingia katika safina, yeye, na wanawe, na mkewe, na wake za wanawe pamoja naye; kwa sababu ya maji ya gharika.
 
Maswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU.

Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe akatoa na vipimo vile viantakiwa viwe!!

Kwa maana hiyo Mungu alikuwa anajua idadi halisi ya wanyama watakao ingia pamoja na binadamu, mbegu zote za miti na nafaka.

kifupi Mungu alijua safina itakuwa na uzito fln ndio maana alitoa vipimo

Nuhu aliingia yeye na familia yake si zaidi ya watu 10 vipi kama wangeingia watu 200 tu vipimo vingeongezwa?

Imagine dunia yote ingekubaliana na mahubiri ya Nuhu na wote wakatii na kuamini alichokuwa anakisema Nuhu je hiyo safina ingelitosha kubeba watu wote duniani pamoja na wanyama,mbegu za nafaka miti na ndege?

Pia kwa wale mnaodai wanefili ulikuwa uzao wa malaika na wanadamu (chotara) na lengo la Mungu lilikuwa kuwaangamiza wanefili wote ili kibaki kizazi og cha binadamu halisi ambaye ni Nuhu kama mnavyodai.

Je kulikuwa na ulazima gani wa Nuhu kuwahubiri na vipi kama wangemtii Nuhu na kuingia nao kwenye safina Mungu asingeiangamiza dunia kwa maji?

Kama Mungu target yake ilikuwa watu wahubiriwe kama wangeamini mahubiri hayo safina iliyotengenezwa kwa miaka 120 ingeli vunjwa?

Happy Sunday 😊

View attachment 3429246View attachment 3429248
Wangekubali wote, kusingekuwa na haja ya gharika.

Lakini hayo maji hayakuwa dunia nzima (biblia yenyewe inasema NCHI IKAJAA MAJI.)

Kama mahubiri yaliwalenga watu wote ulimwenguni, hakuna mahali Nuhu alisafiri hadi Australia kisha aje Afrika, Aende Ulaya yote.
 
Tafsiri ya Nchi ki biblia ndo dunia yenyewe mkuu.
Mwanzo 1:2
Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
 
Mfano mzur WW apo nikataka kubadili Imani yako unifate nachoamin.utakubali?
8 walikubali wakasalamika
Hao wengi waliogoma wakapigwa na kitu kizito ...hapo ni funzo kwako
Aliwaonea au hakuwaonea?
 
Hii ni fiction story ya kuhusu Nuhu, the real story
✓kipindi Cha zamani mvua zilikuwa nyingi sana kabla ya mabadiliko ya tabia Nchi,. Nuhu alikuwa mvuvi na ngalawa zake kubwa tu. Siku moja mvua kubwa ilinyesha sana, nuhu akabeba familia yake kwenye mashua na chakula Cha kutosha, maeneo hayo ya Israel, Egypt, Iraq, Syria sehemu kubwa ilizama na maji ya mvua yakachanganyikana na maji ya bahari, nyumba nyingi zilizama na watu kufa sana. Nuhu na familia yake walikuwa wanabembea kwenye mawimbi ya maji kwa muda mrefu ndiyo Baadaye upepo uliwasukuma mpaka Pwani wakatoka kwenye ngalawa wakaanza maisha upya. Mambo mengine kwamba aliweka wanyama wa kila aina ni story za kuongeza nyama tu.
mshua vipi kama tukisema na wewe hiyo hadithi yako nayo ni kusadikika kama za Shabani Roberts
 
Hiyo ni familia yake pekee yake wala hakuingia mtu mwingine

Mwanzo 7:7.
Nuhu akaingia katika safina, yeye, na wanawe, na mkewe, na wake za wanawe pamoja naye; kwa sababu ya maji ya gharika.

Aliwaonea au hakuwaonea?
Hakuwaonea hta kidogo...wao ndio walimuonea maana kila cku mzee wa watu alikua anahangaika na ujenz pamoja na kuwapa mafunzo ya kumcha mungu ila binadamu SS wabishi mnoo
Mtu unataka kumuokoa ila anakua mjuaji Zaid yako afu mbishi
Walimpa tabu mzee wa watu
Na kama angekua ajatumwa na mungu
Angejenga kamtumbwi Cha kujitosha yy tuh
 
Nani aliwapa binadamu ubishi?
 
Swali langu hujalijibu
 
Mungu anahukumu kwa haki, alimwambia Ezekiel nakutuma kwa watu wenye shingo na mioyo migumu ili uwaambie waache uovu wao ila hawatakusikia.
Kwa nini huyo Mungu aliumba watu wenye mioyo migumu na watenda maovu?

Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wasiosikia kuacha uovu?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Hata kwa Nuhu pia, alishajua hawa watu hawatamsikiliza Nuhu ila alimtuma Nuhu ili hukumu yake ikija ije kwa haki sababu waliikataa neema ya Mungu.
Kama huyo Mungu alijua tangu mwanzoni kwamba hapendi uovu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kufanya mema tu?

Kwa nini Mungu aliumba binadamu wenye uwezo wa kufanya maovu?

Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wasioweza kufanya maovu ili asiwahukumu?

Au huyo Mungu anapenda sana kutoa hukumu ndio maana aliumba binadamu wafanya maovu ili aje kuwahukumu?

Hivi huyo Mungu wenu ana jielewa kweli?
Lakini pia imekuja neema ya pili, ya kumuamini Yesu Kristo. Wale wooote ambao hawakuwahi kulisikia neno la kabla ya Kristo kuja ulimwenguni, huko huko mautini Kristo aliwapelekea neno ili waamini. Mkuu, hukumu ya mwisho juu yetu wanadamu ni ya kutisha sana.
Huyo Yesu akiaminiwa anafaidika nini?

Huyo Yesu asipoaminiwa anapungukiwa nini?

Kama huyo Yesu kristo mnayedai ni Mungu alitaka kuaminiwa na binadamu wote, Je alishindwaje kuumba binadamu wema tu, watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?

Au huyo Mungu anapenda sana kutoa hukumu ndio maana aliruhusu uovu uwepo ili baadae aje kutoa hukumu kwa waovu?
Tuache njia zetu mbaya turudi kwa Mungu kwa toba ya kicho, toba ya kubadilisha maisha yetu completely.
Kwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wenye kufuata njia mbaya?

Kama Huyo Mungu alijua hapendi binadamu wafuate njia mbaya, Sasa alishindwaje kuumba binadamu wema, watakao fuata njia nzuri tu?
 
Maswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU.

Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe akatoa na vipimo vile viantakiwa viwe!!

Kwa maana hiyo Mungu alikuwa anajua idadi halisi ya wanyama watakao ingia pamoja na binadamu, mbegu zote za miti na nafaka.

kifupi Mungu alijua safina itakuwa na uzito fln ndio maana alitoa vipimo

Nuhu aliingia yeye na familia yake si zaidi ya watu 10 vipi kama wangeingia watu 200 tu vipimo vingeongezwa?

Imagine dunia yote ingekubaliana na mahubiri ya Nuhu na wote wakatii na kuamini alichokuwa anakisema Nuhu je hiyo safina ingelitosha kubeba watu wote duniani pamoja na wanyama,mbegu za nafaka miti na ndege?

Pia kwa wale mnaodai wanefili ulikuwa uzao wa malaika na wanadamu (chotara) na lengo la Mungu lilikuwa kuwaangamiza wanefili wote ili kibaki kizazi og cha binadamu halisi ambaye ni Nuhu kama mnavyodai.

Je kulikuwa na ulazima gani wa Nuhu kuwahubiri na vipi kama wangemtii Nuhu na kuingia nao kwenye safina Mungu asingeiangamiza dunia kwa maji?

Kama Mungu target yake ilikuwa watu wahubiriwe kama wangeamini mahubiri hayo safina iliyotengenezwa kwa miaka 120 ingeli vunjwa?

Happy Sunday 😊

View attachment 3429246View attachment 3429248
Hizo ni story tu kama zile za sisimizi kumkaba tembo.
 
Back
Top Bottom