Kama ingetokea watu wakamuamini Nuhu au nusu yao tu je safina ingetosha kuwabeba watu wote Dunia nzima?

Kama ingetokea watu wakamuamini Nuhu au nusu yao tu je safina ingetosha kuwabeba watu wote Dunia nzima?

Unajua Mababu zetu na mabibi zetu walimezeshwa matango pori ambayo yameenda mpaka kwenye generation zetu.. Kipindi hicho communication ilikuwa ngumu sana kinachoendelea kwa jirani yako, mazingira, mawasiliano yalikuwa Dunia sana. Hivyo mtu anaweza cook information ndo ikawa story ya kweli.

Mfano mji wa Sodoma na Gomola:

✓ Kilichotokea ilikuwa tetemeko la ardhi,volcano ikasambatisha mji mzima, kwa vile hilo eneo kulikuwa na uzinzi sana kama wa Sasa hivi kwa baadhi ya Nchi na hapa Tanzania Wanawake kujiuza na Wanaume kufilana kama hapo Dar mitaa ya Sinza Mori, Temeke, kinondoni, Ubungo etc. Kama tetemeko litapiga hizo sehemu watu watasema Mungu kaleta garika kuangamiza wazinzi. Ukienda Paris, Netherlands, Mexico City, Las Vegas Nevada, Malaya wanajiuza sana wa kike na kiume, hivyo hiyo sehemu ikipigwa na tetemeko watu watasema Mungu katoa adhabu. Hivyo hivyo miji ya Sodoma na Gomola kulikuwa na uzinzi sana kama wa leo bahati mbaya tetemeko likapiga hizo sehemu watu wakatunga story mpaka kwenye vitabu vya Imani, na watu wakaaminishwa hivyo mpaka leo. Hizo ni viction stories. Ina Maana uzinzi wa sasa hivi ni cha mtoto kuliko zamani.
Ur thinking of something, usipuuzwe
 
Hiyo ni Kwa mujibu wa Biblia.
Ukienda China Wana stori Yao pia jinsi binadamu alivyoanza Kwa mujibu wa vitabu vyao.
India pia Wana stori ya jinsi binadamu alivyotokea Kwa mujibu wa vitabu vyao.

Kwahiyo Adam na Hawa ni Kwa mujibu wa Biblia ila siyo kwamba Binadamu wa kwanza walikuwa adamu na Hawa.

Kwa ufupi china Wana adamu wao, India Wana adamu wao nk.
Hauwezi kusema Adamu alikuwa mwarabu, katika huyo mwarabu wakatokea wachina (seriously)
Mkuu.... Huu Uzi Unazungumzia Dini....! Mdau kauliza kuhusu Nuhu....!

Sasa kama Wachina na Wahindi wana story tofauti kuhusu Nuhu, tueleze hapa.
 
Punguza kihoro na kimuhemuhe.

Hakuna sehemu nimetaka mjadala wa kisayansi.

Uzi ukishawekwa JF umewekwa kwenye public forum, Kila mtu anaweza kuchangia vyovyote atakavyo.

Ukileta hizo hadithi zako uchwara za Biblia na Quran lazima tuzihoji na kuzihakiki ndio maana tunataka uthibitisho wa hao fictional characters kina Nuhu.
Huna Hoja....! Sisi tunajadiri kuhusu Nuhu....!

Kama unataka uonekane una Akili sana, nenda katafue Nyuzi za Kutoamini Mungu utakuta wenzako huko.

Tusijadiri vile tunavyoamini kisa wewe huamini ......!?

Eleza kuhusu Nuhu, huna Hoja basi kwani ni lazima kuchangia Kila Uzi!?
 
Kwa hiyo huyo Mungu alikuwa anafanya utani na comedy sio?

Huyo Mungu alikuwa anajitekenya na kujicheka mwenyewe.

Huku anamlalamikia Farao kwamba amegoma kuwaachia wamisri, Kumbe ni yeye mwenyewe anayefanya moyo wa Farao kuwa mgumu ili asiwaachie wamisri.

Huyo Mungu ana matatizo ya akili na uwendawazimu.
kutoka 10:27
Lakini BWANA akaufanya kuwa mgumu moyo wa Farao, asikubali kuwapa ruhusa waende zao.

kama ilikuwa ni comedy mimi sijui
 
Kama watu wote wange tubu na kuacha uovu wao MUNGU asingeleta gharika, angeghairi kama alivyofanya kwa Ninawi kwenye kitabu cha Yona
Ahsante kwa jibu zuri. Swali kama wangeingia watu 1000 na vipimo tiyari vilikuwa vimetolewa kabla hata ya mahubiri hayajaanza
 
Kwanza tunakuahidi, ukifa mkeo hatutamuoa itakuwa mwendo wa sogea tuishi. Pili naamini Kusingekuwa na gharika.
 
kutoka 10:27
Lakini BWANA akaufanya kuwa mgumu moyo wa Farao, asikubali kuwapa ruhusa waende zao.

kama ilikuwa ni comedy mimi sijui
Sasa huyo BWANA alichokuwa anamlalamikia Farao kwamba amegoma kuwaachia wamisri ni nini?

Wakati ni yeye mwenyewe anayefanya moyo wa Farao kuwa mgumu.

Hivi huyo BWANA anajielewa kweli?
 
Huna Hoja....! Sisi tunajadiri kuhusu Nuhu....!

Kama unataka uonekane una Akili sana, nenda katafue Nyuzi za Kutoamini Mungu utakuta wenzako huko.

Tusijadiri vile tunavyoamini kisa wewe huamini ......!?

Eleza kuhusu Nuhu, huna Hoja basi kwani ni lazima kuchangia Kila Uzi!?
Huwezi kunipangia cha kujadili Jamii Forums sio ya Bibi yako.

Ukileta imani zako hapa JF lazima tuzichambue na kuzikosoa.

Kama hutaki imani yako ikosolewe baki nayo hukohuko usiilete hapa JF.
 
Huwezi kunipangia cha kujadili Jamii Forums sio ya Bibi yako.

Ukileta imani zako hapa JF lazima tuzichambue na kuzikosoa.

Kama hutaki imani yako ikosolewe baki nayo hukohuko usiilete hapa JF.
Usini quote kwenye Comment zangu, katafute comments zingine za Quote....!
Manake hujielewi.
 
Maswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU.

Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe akatoa na vipimo vile viantakiwa viwe!!

Kwa maana hiyo Mungu alikuwa anajua idadi halisi ya wanyama watakao ingia pamoja na binadamu, mbegu zote za miti na nafaka.

kifupi Mungu alijua safina itakuwa na uzito fln ndio maana alitoa vipimo

Nuhu aliingia yeye na familia yake si zaidi ya watu 10 vipi kama wangeingia watu 200 tu vipimo vingeongezwa?

Imagine dunia yote ingekubaliana na mahubiri ya Nuhu na wote wakatii na kuamini alichokuwa anakisema Nuhu je hiyo safina ingelitosha kubeba watu wote duniani pamoja na wanyama,mbegu za nafaka miti na ndege?

Pia kwa wale mnaodai wanefili ulikuwa uzao wa malaika na wanadamu (chotara) na lengo la Mungu lilikuwa kuwaangamiza wanefili wote ili kibaki kizazi og cha binadamu halisi ambaye ni Nuhu kama mnavyodai.

Je kulikuwa na ulazima gani wa Nuhu kuwahubiri na vipi kama wangemtii Nuhu na kuingia nao kwenye safina Mungu asingeiangamiza dunia kwa maji?

Kama Mungu target yake ilikuwa watu wahubiriwe kama wangeamini mahubiri hayo safina iliyotengenezwa kwa miaka 120 ingeli vunjwa?

Happy Sunday 😊

View attachment 3429246View attachment 3429248
Kwani walikuwa wangapi?
 
Coz The Lord already saw who would enter the ark (He's outside of time, he can see what we call the future).

Ni kama alivyoagiza habari njema itangazwe duniani kote wakati tayari anajua ni wachache watakaoingia kwenye ufalme wa Mungu.

The world in Noah's time was overall evil just like us today. There are no nephilims but look.

"The Nephilim were on the earth in those days—and also afterward—when the sons of God went to the daughters of humans and had children by them. They were the heroes of old, men of renown.

The Lord saw how great the wickedness of the human race had become on the earth, and that every inclination of the thoughts of the human heart was only evil all the time."

genesis.6.4-5.NIV

"As it was in the days of Noah, so it will be at the coming of the Son of Man.

For in the days before the flood, people were eating and drinking, marrying and giving in marriage, up to the day Noah entered the ark;

and they knew nothing about what would happen until the flood came and took them all away. That is how it will be at the coming of the Son of Man."

Matthew.24.37-39.NIV
 
Back
Top Bottom