Kama Iran hawakumuelewa Netanyahu, Walitakiwa kumuelewa rais wao mstaafu Mahmoud Ahmadinejad. Israel iko kila kona Iran

Kuna neno analitumiaga akighazabikwa "full force"
 
Sina hakika Israel atalipa kisasi Kwa kuishambulia vipi Iran. Lakini kitu ninauhakika nacho ni kuwa wale wote waliohusika KUWAZA, KUPANGA na KUTEKELEZA mashambulizi ya Jana Kwa Israel maisha Yao ni mafupi mno kuanzia Jana. 🤣🤣.

Yeyote aliyehusika na utekelezaji wa tukio la Jana akae akitambua kuwa ISRAEL haijamalizana na yeye mpaka afe. Tutegemee military top officias wa IRAN kuanza kuuwawa mmoja baada ya mwingine.
Kaulimbiu ya Israel ni "WE NEVER FORGET".
 
mkuu hao jamaa zako kuwa kila mahali haiwazuii watu kujitetea...watu wengine hawakuumbwa na uoga km watanganyika,umeona umati wa raia wa iran walivyoshangilia mabarabarani kwa kile kilichofanywa na nchi yao na huku wanajua kinachotokea Gaza na lebanon,Mosad kuwa kila mahali ogopa wewe sio kila mtu
 
Wameua sana , ila jamaa anatumia makundi kulipiza kisasi hapo alipokufa Nasrallah kuna kamanda mmoja wa iran alikufa ..
 

Ngoja wakusikie waarabu wa lingusenguse liwale lindi
😛
 
NIshawahi kiremba cha Ayatollah jamani mana hamkawii muda umefika nikachukue kilemba changu nakuta watu kibao wanadai nao wamewahi
 
Sawa, naamini wapenzi wa Iran wamekusoma, we mpenzi wa wapi mkuu!?
 
Kwa marekani kumtisha Domo tu linamuwasha Hana jeuri hiyo
 
Sisi tunachojua Iron dome jana ilipata kigugumizi, na Israel bila ya US ni chui wa karatasi.
 
Bro; unacho kisema kipo sahihi BUT hakina uhusiano na UZI. Kama vipi tengeneza uzi mwingine ili tuujaridi huko, hu unazungumzia capability ya intelligence ya Israeli to Iran sio uwezo wa USA, Russia Vs Israeli, that's what I'm saying
 
Bro; unacho kisema kipo sahihi BUT hakina uhusiano na UZI. Kama vipi tengeneza uzi mwingine ili tuujaridi huko, hu unazungumzia capability ya intelligence ya Israeli to Iran sio uwezo wa USA, Russia Vs Israeli, that's what I'm saying

Ulielewa kunaongelewa kadhia ya Iran na Israel kwa yaliyotokea jana?

Ya kuwa tutegemee jibu lipi kutokea Israel?

Kwamba wewe humwoni Marekani kwenye hilo rojo lote, hayo si ni maoni yako ndugu?

Au ulitaka sote tuwe na mtizamo kama wako tu?

Kama ndivyo si ufungue uzi wako uweke wazi kuwa maoni hapo, ni yaliyo kama yako tu?
 
Aliyekua maslahi ya Iran amelipiwa kisasi chake ndege zote zilizoruka kumuua na na command center ni majivu saiv
Kobaaz mna sheeda kwelkwel umeaminishwa tango pori za kutosha ndo maana unaamini mito ya pombe na bikra 72
 
Israel wamedeclare state of emergency services kwa hospitals zote zilizopo kaskazini kwa kuzidiwa na casualties ambao walipigwa na Hizbollah hapo jana mpaka kulazimisha vikosi vya Israel kurudi nyuma. Unaambiwa hali ni mbaya askari wengi wamejeruhiwa huko.

Wewe mtoa mada hebu nenda Tel Aviv kawasaidie Israel huko wako taabani.

Sasa hivi yao kuhesabu marehemu na casualties..

Viva Palestine Viva Iran
 
Ardhi aliyokanyaga Mwana wa Mungu hamna uwezo wa kuwanyanganya hata mkiungana Waarabu wote.
 
Netanyahu ni muoga kama walivyo wazungu wanapenda wapige tu wao sasa wanyonge wamechoka na wameona hawana cha kupoteza kichafuke tu kwani nini.
Hii ndio aina ya ujasiri iliopotea hakuna kuogopa kushindwa ni kuthubutu tu. Hata CCM ndio inachosubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…