Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hakika Israel atalipa kisasi Kwa kuishambulia vipi Iran. Lakini kitu ninauhakika nacho ni kuwa wale wote waliohusika KUWAZA, KUPANGA na KUTEKELEZA mashambulizi ya Jana Kwa Israel maisha Yao ni mafupi mno kuanzia Jana. 🤣🤣.Basi ni kwamba Iran inajua kila mpaka kuuliwa kwa Rais wake ,halafu ishu ya kufa kwa viongozi pale ni kawaida ...Iran karusha mabomu yale kulinda heshima tu basi ili Israel asizidi kumdharau ila alikuwa hana mda wa kulipiza .
Iran analenga sehemu za majeshi sio wananchi wasiokuwa na hatia , usichokijua Utawala wa Iran na israel wote wamekalia kuti kavu ...Netanyhulu analinda kibarua chake kwa shinikizo la wtu la bado kuwa watu wanampinga , vivyo hivyo kwa Iran ndio maana Netanyuhlu anatumia propaganda za kumchafua kiongozi wa Iran ili kuungwa mkono na wairan .
Hii ngoma ni mbichi wale wanamjua israel ....Israel ana nafasi moja tu ya kummaliza Ayatollah ijumaa ijayo maana ataongoza sala kubwa hapo Iran ....Atakuwepo hadharani kumbuka jamaa alishawahi kushambuliwa enzi za urais ndio maana mkono wakee mmmoja haufanyi kazi .....
mkuu hao jamaa zako kuwa kila mahali haiwazuii watu kujitetea...watu wengine hawakuumbwa na uoga km watanganyika,umeona umati wa raia wa iran walivyoshangilia mabarabarani kwa kile kilichofanywa na nchi yao na huku wanajua kinachotokea Gaza na lebanon,Mosad kuwa kila mahali ogopa wewe sio kila mtuNetanyahu juzi amesema mkono wa IDF unafika kila kona Iran.
Nimeangalia interview moja kati ya Rais mtaafu wa Iran Ahmadinejad na CNN -Turk, anathibitisha Mossad wametapakaa kila kona Iran.
Anasema Iran Ilianzisha kikosi maalum cha kijasusi kupambana na Mossads waliojipenyeza Iran. Cha ajabu walikuja kugundua mkuu wa kikosi hicho ni jasusi nguli la Mossad, na wanakikosi zaidi ya 20 nao ni maajent ywa Mossad. Kikosi hiki kilikuwa ni cha hadhi ya juu sana, kilichofanywa vetting ya juu sana.
Hayo waligundua baada ya wababe hao kumaliza misheni yao kuua wanasayansi, na kuibq documents nyingi za miradi ya nyuklia na kukimbilia Israel.
Hii story inawafanya wairan na mawakala wake kuwa uchi leo zaidi ya zamani mbele ya Israel.
Baada ya mabomu 200+ kurushwa Nimemuona Netanyahu anaongea huku anatetemea, hadi ikabidi mchukua video amzoom ili kumficha mikoni, huku wakiahidi kulipa kisasi kwa wakati muafaka na kishindo muafaka.
Makombora yalikuwa na kasi kubwa kiasi kwamba Muda yaliyotumia kufika Iran ni mfupi kuliko muda wa ndege za kivita kutoka Israel kufika iran na kurudi Israel. Rais wa Iran anasema hilo ni funzo kuwa Israel itakapotuma ndege ijue kabla hazijaanza kurudi zitakuta Israel imeshateketea.
Jambo ambalo wakubwa hawa hawajui, Israel inauwezo wa kuwashambulia kwa mfumo wa trojanhorse. Yaani wakati unategemea ndege, kumbe huko ndani yako jamaa wamo kitambo na kwa staili ya ajabu wakawaumiza kuliko wanavyokusudia.
Poa sababu za iran Kuishambulia Israel hazina mashiko. Hakuna ushahidi kuwa waliomuua kiongozi wa Hamas walikuwa ni Israel. Kuuwawa kwa Kiongozi wa Hamas ni suala la Lebanon sio Iran. Hivyo Israel inajipa uhalali kwa kufanya itakavyo kulipa kisasi maana kimsingi imeshambuliwa na kuchokozwa sana.
Tuombe amani, ila tutarajie jibu la kisayansi sana lenye uchungu mkubwa sana kwa wapenzi wa Iran.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi
Wameua sana , ila jamaa anatumia makundi kulipiza kisasi hapo alipokufa Nasrallah kuna kamanda mmoja wa iran alikufa ..Sina hakika Israel atalipa kisasi Kwa kuishambulia vipi Iran. Lakini kitu ninauhakika nacho ni kuwa wale wote waliohusika KUWAZA, KUPANGA na KUTEKELEZA mashambulizi ya Jana Kwa Israel maisha Yao ni mafupi mno kuanzia Jana. 🤣🤣.
Yeyote aliyehusika na utekelezaji wa tukio la Jana akae akitambua kuwa ISRAEL haijamalizana na yeye mpaka afe. Tutegemee military top officias wa IRAN kuanza kuuwawa mmoja baada ya mwingine.
Kaulimbiu ya Israel ni "WE NEVER FORGET".
Israel fanya waarabu wapelekewe moto. siwapendi wayahudi lakini haizidi waarabu. ugomvi wangu na waarabu ni mentality yao ya kuona weusi kama slaves. wakibadilika hilo sina tatizo nao.
chondechonde tu Israel msije ikatokea mkamalizana na hao mkaja kuitwanga tu Qatar napopatia rizki.
Fattah hizo mzee babaHamisi toka uende Urusi unaongea kwa code Kanali.
Tupe darsa hapo.
Sawa, naamini wapenzi wa Iran wamekusoma, we mpenzi wa wapi mkuu!?Netanyahu juzi amesema mkono wa IDF unafika kila kona Iran.
Nimeangalia interview moja kati ya Rais mtaafu wa Iran Ahmadinejad na CNN -Turk, anathibitisha Mossad wametapakaa kila kona Iran.
Anasema Iran Ilianzisha kikosi maalum cha kijasusi kupambana na Mossads waliojipenyeza Iran. Cha ajabu walikuja kugundua mkuu wa kikosi hicho ni jasusi nguli la Mossad, na wanakikosi zaidi ya 20 nao ni maajent ywa Mossad. Kikosi hiki kilikuwa ni cha hadhi ya juu sana, kilichofanywa vetting ya juu sana.
Hayo waligundua baada ya wababe hao kumaliza misheni yao kuua wanasayansi, na kuibq documents nyingi za miradi ya nyuklia na kukimbilia Israel.
Hii story inawafanya wairan na mawakala wake kuwa uchi leo zaidi ya zamani mbele ya Israel.
Baada ya mabomu 200+ kurushwa Nimemuona Netanyahu anaongea huku anatetemea, hadi ikabidi mchukua video amzoom ili kumficha mikoni, huku wakiahidi kulipa kisasi kwa wakati muafaka na kishindo muafaka.
Makombora yalikuwa na kasi kubwa kiasi kwamba Muda yaliyotumia kufika Iran ni mfupi kuliko muda wa ndege za kivita kutoka Israel kufika iran na kurudi Israel. Rais wa Iran anasema hilo ni funzo kuwa Israel itakapotuma ndege ijue kabla hazijaanza kurudi zitakuta Israel imeshateketea.
Jambo ambalo wakubwa hawa hawajui, Israel inauwezo wa kuwashambulia kwa mfumo wa trojanhorse. Yaani wakati unategemea ndege, kumbe huko ndani yako jamaa wamo kitambo na kwa staili ya ajabu wakawaumiza kuliko wanavyokusudia.
Poa sababu za iran Kuishambulia Israel hazina mashiko. Hakuna ushahidi kuwa waliomuua kiongozi wa Hamas walikuwa ni Israel. Kuuwawa kwa Kiongozi wa Hamas ni suala la Lebanon sio Iran. Hivyo Israel inajipa uhalali kwa kufanya itakavyo kulipa kisasi maana kimsingi imeshambuliwa na kuchokozwa sana.
Tuombe amani, ila tutarajie jibu la kisayansi sana lenye uchungu mkubwa sana kwa wapenzi wa Iran.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi.
Kwa marekani kumtisha Domo tu linamuwasha Hana jeuri hiyoNakwambiaje huyo Israel hata tumpe kambi kabisa ya kwake Mossad mule Tehran alale sebuleni kwa Ayatollah siku akigusa maslahi ya Irani atafuatwa tu. Wao hawaangalii unafika wapi ni umefanya nini? Na sasa hivi Irani amesema ujinga wowote utakaofanywa miundo mbinu yote anafagia mpaka mahospitali, alafu kumwambia Marekani akileta upuuzi kambi zake halali ya wahuni pale mido east
Akili yake ilipotezwa na siasa na ukabilaKumbe hauna akili
Sisi tunachojua Iron dome jana ilipata kigugumizi, na Israel bila ya US ni chui wa karatasi.Huu sio ushabiki wa kiimani, maana israel sio taifa la kiimani ni taifa la kisiasa na mambo yao hayana uhusiano na imani maana 70% ya waisrael ni Atheists hawaamini uwepo wa Mungu. Hata Muasisi au baba wa taifa hilo David Ben Gulion alikuwa Athiest (Haamini Mungu).
Tujadili kijamii tu.
Bro; unacho kisema kipo sahihi BUT hakina uhusiano na UZI. Kama vipi tengeneza uzi mwingine ili tuujaridi huko, hu unazungumzia capability ya intelligence ya Israeli to Iran sio uwezo wa USA, Russia Vs Israeli, that's what I'm sayingKuongelea kadhia ya mashariki ya kati ukamsahau Marekani kuwa ndiye mwenye lake jambo ni kutojitendea haki mwenyewe.
Kama ilivyo Hezbollah, Houthi au HAMAS kwa Iran; ndivyo ilivyo Israel kwa Marekani.
Hata ndondi si ni kwa uzito?
Marekani saizi yake warusi; Israel wake Iran; zichapwe kavu kavu heshima iwepo:
Undumila kuwili wa Magharibi dhidi ya Iran nani asiyeuona?
Au wewe huoni hivyo?
Bro; unacho kisema kipo sahihi BUT hakina uhusiano na UZI. Kama vipi tengeneza uzi mwingine ili tuujaridi huko, hu unazungumzia capability ya intelligence ya Israeli to Iran sio uwezo wa USA, Russia Vs Israeli, that's what I'm saying
Huyu ni Profesa na si Profesa tu bali pia ni Profesa wa kwanza kuwahi kuwa Rais duniani; ukimwondoa Yusuf Lule wa UgandaHuyu rais mstaafu huwa namwelewa sana.
Kobaaz mna sheeda kwelkwel umeaminishwa tango pori za kutosha ndo maana unaamini mito ya pombe na bikra 72Aliyekua maslahi ya Iran amelipiwa kisasi chake ndege zote zilizoruka kumuua na na command center ni majivu saiv
Fattah ndio nini hiyo ?Fattah hizo mzee baba
We upendi pombe na madem? Be honestKobaaz mna sheeda kwelkwel umeaminishwa tango pori za kutosha ndo maana unaamini mito ya pombe na bikra 72
Ardhi aliyokanyaga Mwana wa Mungu hamna uwezo wa kuwanyanganya hata mkiungana Waarabu wote.Hawaamini kuhusu Mungu ila wanaamini hiyo ardhi wamepewa na Mungu etii ? Au wanachagua yapi ya kuyaamini yanayo wafurahisha na yapi ya kuto yaamini yasiyo wafurahisha ?
Huwa unafuatilia hotuba za Netanyahu anapokuwa anaitetea ardhi ya Israel huwa anatumia nini kuhararisha ushenzi wake ?
Netanyahu ni muoga kama walivyo wazungu wanapenda wapige tu wao sasa wanyonge wamechoka na wameona hawana cha kupoteza kichafuke tu kwani nini.Netanyahu juzi amesema mkono wa IDF unafika kila kona Iran.