Kama Iran hawakumuelewa Netanyahu, Walitakiwa kumuelewa rais wao mstaafu Mahmoud Ahmadinejad. Israel iko kila kona Iran

Acha ushoga wewe@
 
Hapa umeongeza chumvi. Kwa hii kauli huyu mtu haamini Mungu!!?
"
Anyone who doesn't believe in miracles is not a realist."
David Ben-Gurion
Maana ya Miracle kwa huyo jamaa sio miracle ya makanisani au ya kimungu.

Yeye anamaanisha miracle ya kitaaluma.
Mfano ndiye mwandamu aliyefqnya miracle ya kubadili jangwa la negev kuwa bustani za matunda. Kuonyesha kwamba inawezekana yeye mwenyewe alihamishia makazi yake Kibbutz sde Boker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…