Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Huna akili mjinga wewe haya mautoto yenu sio kila mtu wa kumletea mazoea ya kijingaArdhi aliyokanyaga Mwana wa Mungu hamna uwezo wa kuwanyanganya hata mkiungana Waarabu wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akili mjinga wewe haya mautoto yenu sio kila mtu wa kumletea mazoea ya kijingaArdhi aliyokanyaga Mwana wa Mungu hamna uwezo wa kuwanyanganya hata mkiungana Waarabu wote.
Hamas wameuliwa na sasa Hizbollah na baada ya Hizbollah ni Iran hawana ujanja ni kipigo tu muda utaongea.Huna akili mjinga wewe haya mautoto yenu sio kila mtu wa kumletea mazoea ya kijinga
Hapa umeongeza chumvi. Kwa hii kauli huyu mtu haamini Mungu!!?David Ben Gulion alikuwa Athiest (Haamini Mungu).
Acha ushoga wewe@Nakwambiaje huyo Israel hata tumpe kambi kabisa ya kwake Mossad mule Tehran alale sebuleni kwa Ayatollah siku akigusa maslahi ya Irani atafuatwa tu. Wao hawaangalii unafika wapi ni umefanya nini? Na sasa hivi Irani amesema ujinga wowote utakaofanywa miundo mbinu yote anafagia mpaka mahospitali, alafu kumwambia Marekani akileta upuuzi kambi zake halali ya wahuni pale mido east
Mkuu sio hezibolla tu,tunapiga hezibolla na Gaza kwa wakati mmoja,then tunaingia tehranIran tunamuweka kipolo wacha tuue hezibolla Kisha ndo twende Iran
Safi kabisaaaMkuu sio hezibolla tu,tunapiga hezibolla na Gaza kwa wakati mmoja,then tunaingia tehran
Maana ya Miracle kwa huyo jamaa sio miracle ya makanisani au ya kimungu.Hapa umeongeza chumvi. Kwa hii kauli huyu mtu haamini Mungu!!?
"
Anyone who doesn't believe in miracles is not a realist."
David Ben-Gurion