Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti
Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja
Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana
Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana
Pia matajiri kwa matajiri husaidiana na maskini kwa maskini mara nyingi husaidiana hivyo ni kwanini ya kiasili kabisa
Sasa swali nalojiuliza ni kitu gani common kinachofanya mataifa makubwa kusaidia Israel , hata wakati mwingine nchi zinaingia hasara kubwa ya Kodi ya wananchi wao bila kujali pia kujiweka kwenye hatari ya kivita
Pia Sina uhakika Kama Israel wako NATO ambayo ingewapa sababu ya moja kwa moja kusaidiwa
Kwa hivyo nimegundua Hili taifa Lina akili kubwa Sana kuingiza mataifa makubwa vitani kukaa upande wao
Lakini pia Kuna uwezekano mkubwa Hawa watu wamekamata maeneo nyeti kabisa ya hayo mataifa
Haiwezekani utetekeze Kodi za wananchi wako na kuweka usalama wao hatarini kwenye vita ambayo haikuhusu
MWISHO naanza kuamini Hawa mijamaa lazima Yule Mungu wao wa Israel tuliyesoma habari zake aliyewasaidia kwa miaka maelfu iliyopita
Yuko upande wao
Maana aliwahidi mataifa watamtumikia Israel kwa hiyo amewapa akili ya kukaa na mataifa makubwa
Ni maoni yangu karibu ya kwako