Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

Unamlindaje kitu ambacho Hakina thamani kwako
We kweli ni kichwa maji. Ushaambiwa Israel analindwa hapo sababu Mmarekani na mataifa ya Ulaya wapate urahisi wa kuitawala Middle Eastern. Hivo wameiweka Israel hapo kama Agent wao. Utasemaje hana thamani kwa Wamarekani?
 
Watu weusi tangu kale tumeamudu miungu sio Mungu
Na tunaona tangu Misri ya kale miungu ya waafrika ambayo ni uchawi ikishindana na Mungu ambaye aliamua kuwatetea wa Israel...
Swala la miungu na mungu ni kitu ambacho africa tunaitaji kukielewa zaidi kuliko kukaa na kuabudu kitu ambacho hakipo.

Na kama Mungu yupo upande wa israeli kwann wao wanapigan vita na kutengeneza silaha kubwa za maangamizi si watulie mungu wao awatete

Hizi story za dini zinatufanya africa tuache kupambania bara letu tukae tukiamin na kusubiri kwenda mbinguni.
Na ndiomaana tunatumika sana kwenye agenda zisizo na maana.

Kama huwa unafatilia habar basi utakuwa umesha wai ona waisrael wakikanaa kuhusu uwepo wa yesu

Alafu sisi waafrika tumekomalia kusali na kuomba wakat wenzetu wakichukua hatua juu ya kujenga mataifa yao.

Tunae mungu wetu na njia ya kumfikia sio kupitia dini za wazungu na waarabu.
 
Nchi za Magharibi zikiongozwa na Uingereza na Marekani ziliunda taifa la Israel ili wapate urahisi wa kuudhibiti na kuitawala mashariki ya kati hivyo Israel ni kijitaasisi cha nchi za Magharibi kilichoko mashariki ya kati kwa sura ya taifa.
Sasa Iran unaonekana inataka kutibua mipango yao na waombe asije kumiliki silaha za Nyuklia atawatia vidole matakoni kabisa.
 
Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti

Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja

Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana

Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana

Pia matajiri kwa matajiri husaidiana na maskini kwa maskini mara nyingi husaidiana hivyo ni kwanini ya kiasili kabisa

Sasa swali nalojiuliza ni kitu gani common kinachofanya mataifa makubwa kusaidia Israel , hata wakati mwingine nchi zinaingia hasara kubwa ya Kodi ya wananchi wao bila kujali pia kujiweka kwenye hatari ya kivita

Pia Sina uhakika Kama Israel wako NATO ambayo ingewapa sababu ya moja kwa moja kusaidiwa

Kwa hivyo nimegundua Hili taifa Lina akili kubwa Sana kuingiza mataifa makubwa vitani kukaa upande wao
Lakini pia Kuna uwezekano mkubwa Hawa watu wamekamata maeneo nyeti kabisa ya hayo mataifa
Haiwezekani utetekeze Kodi za wananchi wako na kuweka usalama wao hatarini kwenye vita ambayo haikuhusu

MWISHO naanza kuamini Hawa mijamaa lazima Yule Mungu wao wa Israel tuliyesoma habari zake aliyewasaidia kwa miaka maelfu iliyopita

Yuko upande wao

Maana aliwahidi mataifa watamtumikia Israel kwa hiyo amewapa akili ya kukaa na mataifa makubwa
Ni maoni yangu karibu ya kwako
Humu huu uzi kuna watu wameropoka!!
Tena mropokaji wakwanza mleta mada.
Na kuna mropokaji mwingine anakwambia Iran ndio mkuu wa magaidi,yani hajui hata maana ya ugaidi.
Aaaagh huu uzi haufai kuchangia wacha waropokaji muendelee kuropoka.
 
Wayahudi ndio wanaotawala Dunia.Wayahudi hawapo Israel pekee wapo Urusi,Iran,Usa,Ulaya yote wakimiliki mifumo yote ya kiuchumi.
Ukitaka kuuelewa ukuu wa wayahudi na kivipi wanatawala Dunia.Sekta zote Dunia sio sinema Muzik Hollywood ni wao,ukitaka kuwajua zaidi soma kuhusu top 13 illuminated bloodline family,hizi ni familia 13 ndizo zinaimiliki hii dunia wote Hawa wanavinasaba vya uyahudi na ndio umiliki uchumi wa Dunia.
Aiseee hizi conspiracy zinawapotosha sana.
China ndio global economic influence kwa sasa kwa mujibu wa WB na IMF,je China nako kuna wayahudi!??
Uzi umejaa story za vijiweni kibao.
 
Hivi hujui Iran ndo kubwa la magaidi duniani? Jordan hawataki ugaidi,Saudia ndo kabsa walimfukuza na Osama,Misri kwa Alisis ndo hao waliwatimua madarakani musilim brother hood. Iran anapata support kwenye vile vikundi vyake vya kigaidi tu kama Hezbollah na Houthi na hamas
Kubwa la magaidi duniani ni USA kawafundisha ugaidi kina Osama kaunda makundi mengi yakigaidi mfano ISIS lengo lao ni kumpindua Bashar Al Assad NK.
 
Aiseee hizi conspiracy zinawapotosha sana.
China ndio global economic influence kwa sasa kwa mujibu wa WB na IMF,je China nako kuna wayahudi!??
Uzi umejaa story za vijiweni kibao.
Unajua maana ya bloodline
 
Kwanza ni upuuzi kufikiria wazungu na waisrael wana akili sana mfano.

Sudani, DRC, na kwingineko kuna vurugu wao kimya. Utasikia wanalaani haki za ninadamu na kudai mashoga watetewe.

Ukija Ukraine watu wanauwawa na majeshi ya Urusi badala ya kutafuta amani wanapeleka silaha na mbaya zaidi wa Ukraine ndio wanakufa zaidi. Hapo akili ipo wapi?

Israel imeua wapalestina kwa kupiga shule, hospital, kamni za wakimbizi hao wamekaa kimya hakuna haki za binadamu hata walipotakA kujadili kwenye baraza la usalama waliweka veto. Je wazungu gani wenye akili hao. Waisrael gani wenye akili ya kuuwa wanawake na watoto wasio na hatia?

Kinacjplindwa mydia ni maslahi yao tu. Wanataka mafuta Syria na Iraq. Wanataka mafuta Saudia, oman na Kiwait. Hivyo kwa kuilinda Israel atawafaa pale wanaPohitaji kufanya shambulio.

Hivyo hakuna haki za binadamu, hakuna kulinda Humanity wala akili kubwa zaidi ni ubinafsi na chuki kwa walionacho.
Kwa mtu mwenye akili na anyeipenda familia yake, kamwe hawezi kwenda kuzima moto nyumba ya tano toka kwake wakati kwa jirani yake kuna siafu.
 
Back
Top Bottom