Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

Unamlindaje kitu ambacho Hakina thamani kwako
We kweli ni kichwa maji. Ushaambiwa Israel analindwa hapo sababu Mmarekani na mataifa ya Ulaya wapate urahisi wa kuitawala Middle Eastern. Hivo wameiweka Israel hapo kama Agent wao. Utasemaje hana thamani kwa Wamarekani?
 
Watu weusi tangu kale tumeamudu miungu sio Mungu
Na tunaona tangu Misri ya kale miungu ya waafrika ambayo ni uchawi ikishindana na Mungu ambaye aliamua kuwatetea wa Israel...
Swala la miungu na mungu ni kitu ambacho africa tunaitaji kukielewa zaidi kuliko kukaa na kuabudu kitu ambacho hakipo.

Na kama Mungu yupo upande wa israeli kwann wao wanapigan vita na kutengeneza silaha kubwa za maangamizi si watulie mungu wao awatete

Hizi story za dini zinatufanya africa tuache kupambania bara letu tukae tukiamin na kusubiri kwenda mbinguni.
Na ndiomaana tunatumika sana kwenye agenda zisizo na maana.

Kama huwa unafatilia habar basi utakuwa umesha wai ona waisrael wakikanaa kuhusu uwepo wa yesu

Alafu sisi waafrika tumekomalia kusali na kuomba wakat wenzetu wakichukua hatua juu ya kujenga mataifa yao.

Tunae mungu wetu na njia ya kumfikia sio kupitia dini za wazungu na waarabu.
 
Nchi za Magharibi zikiongozwa na Uingereza na Marekani ziliunda taifa la Israel ili wapate urahisi wa kuudhibiti na kuitawala mashariki ya kati hivyo Israel ni kijitaasisi cha nchi za Magharibi kilichoko mashariki ya kati kwa sura ya taifa.
Sasa Iran unaonekana inataka kutibua mipango yao na waombe asije kumiliki silaha za Nyuklia atawatia vidole matakoni kabisa.
 
Humu huu uzi kuna watu wameropoka!!
Tena mropokaji wakwanza mleta mada.
Na kuna mropokaji mwingine anakwambia Iran ndio mkuu wa magaidi,yani hajui hata maana ya ugaidi.
Aaaagh huu uzi haufai kuchangia wacha waropokaji muendelee kuropoka.
 
Aiseee hizi conspiracy zinawapotosha sana.
China ndio global economic influence kwa sasa kwa mujibu wa WB na IMF,je China nako kuna wayahudi!??
Uzi umejaa story za vijiweni kibao.
 
Kubwa la magaidi duniani ni USA kawafundisha ugaidi kina Osama kaunda makundi mengi yakigaidi mfano ISIS lengo lao ni kumpindua Bashar Al Assad NK.
 
Aiseee hizi conspiracy zinawapotosha sana.
China ndio global economic influence kwa sasa kwa mujibu wa WB na IMF,je China nako kuna wayahudi!??
Uzi umejaa story za vijiweni kibao.
Unajua maana ya bloodline
 
Kwa mtu mwenye akili na anyeipenda familia yake, kamwe hawezi kwenda kuzima moto nyumba ya tano toka kwake wakati kwa jirani yake kuna siafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…