Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

Asante mnoo mkuu RRONNDO kwa kuliona hilo, hakika sio mie ni Mungu tu ndo naweza kusema hivyo!!!

Barikiwa mnoo, na Mungu azidi kukutunza naamini kijiji unamoishi yupo wa ndoto zako sema wakati bado haujafika!!!!
Sakayo kwani umeolewa?[emoji12] [emoji12] nifanye kuja kutoa posa faster buana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…