Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Nasikitika sana kwa kuacha kukutaja wewe au wewe ni money material.upo sahihi kabisa rrondo ni wadada wenye hekima .. kweli unajua kuchagua
hongereni warembo mzidishe hapo mlipofikia
ha haha mke wa kutia chachu utafute pesa ..Nasikitika sana kwa kuacha kukutaja wewe au wewe ni money material.
ha haha nimekudaka mahali muone kwanza .. ile hela basi hukutuma siku ukiingia mikononi mwangu yani utajutaHuyu ataniua kwa kukosa pesa au kwa kuwa na pesa nyingi...siwezi kuwa salama!
na usipotuma nikufanyaje ?Nitatumaje bila namba ya simu. Nipe namba ya simu!
Naomba umeamua kufunguka sasa, umefanya vizuriKama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi, hawa wanawake watatu ningefanya jitihada zote za hali na mali nioe mmoja wao.
Hawa ni definition ya wife material, Heaven Sent emmyta Sakayo mmebarikiwa hekima.
Mara moja moja tupost vitu vyenye positive energy na sio kila siku kuzungumzia vitu negative.
haya nakutumia soonNipige fine...
Unaidhulumu nafsi mkuu..Kata kambaMkuu mimi kama mbuzi nakula urefu wa kamba tu.
Wa ndoto zake si ndo wewe sasa ameshakutaja..Asante mnoo mkuu RRONNDO kwa kuliona hilo, hakika sio mie ni Mungu tu ndo naweza kusema hivyo!!!
Barikiwa mnoo, na Mungu azidi kukutunza naamini kijiji unamoishi yupo wa ndoto zako sema wakati bado haujafika!!!!