Sawa.Usichuuzike na picha, maneno, hekima za sauti, busara za sauti utaumia, hivi sio vipimo halisi vya wife material.
Mwanamke ni yuleyule Jana Leo na kesho toka maandiko na mpaka mwisho, wakiandikacho wakinenacho sicho kilichoujaza mioyo yao.
Aisee usinikumbushe huyu kijana....simpendi!
HahahaWa ndoto zake si ndo wewe sasa ameshakutaja..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]naona ndoto yangu inatimia
Aisee, [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mmoja hapo ' anabanduana ' vizuri Zamaradi Mketema anasubiri / anakaa hivyo jipange kwani Wewe hutoishia tu Kulia na Kupenda Makamasi katika Simu kama mwenzako ' Father Fursa ' bali unaweza hata ' ukaufyeka ' kabisa ' Mkuyenge ' wako kama akikumwaga / akikuacha.
Nipo Bro..Mambo vipi??
Teh teh..Sio Uchochezi mkuu..Huyu kijana mpaka kuongea hivi kuna kitu kaona..Kama jimbo liko wazi basi muingize kwenye kinyang'anyiroHahaha
Punguza uchochezi mkuu!!!
Teh teh..Chimbo ni hapa hapa brother..Kuna vitu vizuri..Just keep your head upShwari kabisa mazee!
Umekuwa adimu sana, umepata chimbo lenye mambo yetu mazuri nini ???
Tuambiane bwana πππππππ
Teh teh..Chimbo ni hapa hapa brother..Kuna vitu vizuri..Just keep your head up
Jirani sasaNipo Bro..Mambo vipi??