Kama JF ingekuwa ni kijiji ninachoishi sasa hivi...

Yuko sahihi. Wewe ni mmoja ya wanawake wanaojielewa sana humu i appreciate you my dear. You earned my Respect! !!!
Unajuaga vile nakupenda.
Nashukuru mwaya kwa sababu huwa najua masihara tu ya humu na utani.

Kumbe unanikubali kiukweli ukweli my dear. Ahsante sana mumy nimefurahi kulijua hilo mwaya.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Haaaa afu hata mimi huwa unahisi nina masihara na wewe[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Back
Top Bottom