Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

Mada ni nzito lkn inahitajika tathmini ya uzani pande zote! Hizi hasira,maneno,matusu hayasaidii kitu kinachofanyika hapa ni kama unaongea na kioo chako mwenyewe,ni kweli yawezekana makosa yapo pande zote, nadhan ni vyema kutumia nguvu nyingi kushauri kwa lengo la kujenga Amani na sio kubomoa amani,, ikumbukwe kwamba linaitwa jeshi la wananchi , hivyo Kwa mamlaka husika inataratibu zake pia mpaka kuyafikia tunayotarajia kuyasikia kutoka kwao, Lakini pia amani yangu ipo mikononi mwako ,amani yako ipo mikoni mwangu sote Kwa pamoja tuna paswa kuishi Kwa misingi ya kiusalama zaidi,, ikumbukwe kwamba huu uhuru tunaoutumia mitandao muda huu ni juhudi ZENYE uchungu na mateso ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama muda wote ili watanzania tuwe na Amani.
 
Unaweza kunitajia kifungu Cha kwenye Code of Service Discipline,na kwenye The National defense Act, kinachosema askari anaruhusiwa kupiga raia/Kuvamia mitaani na kupiga watu?
Kama kipo kiweke hapa tukijadili.
Kaka achana na huyoo bogus hajui chochote huyo
 
Kanali kafa kizembe
Na jamaa wa bajaji anaenda
Kukaa magereza kizembe pia

Ova
 
Hao wanajeshi huo Upumbavu waendelee Kuufanya Huko huko Dar na viunga Vyake,

ila wakiufanya Huku kanda ya Ziwa kigoma au Mara Aisee Itazuka Vita Maan sisi watu wa Kigoma Hatuleagi ujinga kabsa Ni jino kwa Jino Tu.

Na ukitushinda Nguvu Tunakurushia Lijini utafurukuta nalo Mpaka Futi Sita kwaheri.
 
Mkuu hawatakiwi kuvamia kambi,si wanajeshi wanaenda mtaani wenyewe,usiwafundishe namna ya kudili na wanajeshi wahuni,Kato aneonyesha njia,hakuelekezwa na mwanajeshi yeyote.Tulia mkuu.
 
Unaweza kunitajia kifungu Cha kwenye Code of Service Discipline,na kwenye The National defense Act, kinachosema askari anaruhusiwa kupiga raia/Kuvamia mitaani na kupiga watu?
Kama kipo kiweke hapa tukijadili.
Niweke Mimi au uweke wewe?
 
Mkuu hawatakiwi kuvamia kambi,si wanajeshi wanaenda mtaani wenyewe,usiwafundishe namna ya kudili na wanajeshi wahuni,Kato aneonyesha njia,hakuelekezwa na mwanajeshi yeyote.Tulia mkuu.
Wewe ni Kato mwingine?
 
Ulisikia wapi Jeshi likatishwa km unavyofanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…