Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Ona ulivyokua bogus head, huna akiliDogo tutaonana hospital pale panaitwa mtakuja nakusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona ulivyokua bogus head, huna akiliDogo tutaonana hospital pale panaitwa mtakuja nakusubiri
Yes, proceedUnajua kitu kinaitwa Code of Service Discipline, ?
Sawa ukija ndiyo utajua bogus na wewe mlinzi wa geti nan mjanjaOna ulivyokua bogus head, huna akili
Ujinga umekujaaSawa ukija ndiyo utajua bogus na wewe mlinzi wa geti nan mjanja
Wewe mtoto mdg hujui kituUsijipimie ukubwa na udogo ukiwa nyuma ya keyboard unanielewa vizuri wewe Kato?
Unaweza kunitajia kifungu Cha kwenye Code of Service Discipline,na kwenye The National defense Act, kinachosema askari anaruhusiwa kupiga raia/Kuvamia mitaani na kupiga watu?Yes, proceed
Bado hujasemaUjinga umekujaa
Kaka achana na huyoo bogus hajui chochote huyoUnaweza kunitajia kifungu Cha kwenye Code of Service Discipline,na kwenye The National defense Act, kinachosema askari anaruhusiwa kupiga raia/Kuvamia mitaani na kupiga watu?
Kama kipo kiweke hapa tukijadili.
Hana hajualo ako ni ka jkt ka kujitolea kasamehe tu bureUnaweza kunitajia kifungu Cha kwenye Code of Service Discipline,na kwenye The National defense Act, kinachosema askari anaruhusiwa kupiga raia/Kuvamia mitaani na kupiga watu?
Kama kipo kiweke hapa tukijadili.
Kanali kafa kizembeMada ni nzito lkn inahitajika tathmini ya uzani pande zote! Hizi hasira,maneno,matusu hayasaidii kitu kinachofanyika hapa ni kama unaongea na kioo chako mwenyewe,ni kweli yawezekana makosa yapo pande zote, nadhan ni vyema kutumia nguvu nyingi kushauri kwa lengo la kujenga Amani na sio kubomoa amani,, ikumbukwe kwamba linaitwa jeshi la wananchi , hivyo Kwa mamlaka husika inataratibu zake pia mpaka kuyafikia tunayotarajia kuyasikia kutoka kwao, Lakini pia amani yangu ipo mikononi mwako ,amani yako ipo mikoni mwangu sote Kwa pamoja tuna paswa kuishi Kwa misingi ya kiusalama zaidi,, ikumbukwe kwamba huu uhuru tunaoutumia mitandao muda huu ni juhudi ZENYE uchungu na mateso ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama muda wote ili watanzania tuwe na Amani.
Ulitakiwa kunionyesha namna gani Sina akili na sio kupayuka ovyoovyoWewe huna akili,
enjoy madam , wanachosha hawa watuNimechekaa jamani wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hawatakiwi kuvamia kambi,si wanajeshi wanaenda mtaani wenyewe,usiwafundishe namna ya kudili na wanajeshi wahuni,Kato aneonyesha njia,hakuelekezwa na mwanajeshi yeyote.Tulia mkuu.Mtagongwa mchakae mbwa nyinyi jaribuni muone, fanyeni km mnajaribu kuvamia kambi na kuanzisha vuruga ndio mtawajua vizuri vamieni kambi kisha ueni wanajeshi hata wawili tu mtaeleza kilichomtoa kanga manyoya watahusishwa hata wasiohusika, mtalia hadi makamasi mtalia hadi mnye na mjinyee pimbi nyinyi, mnaleta dharau kwa majeshi yenu
Nenda katamke hivyo pale Lugalo mbwa jike wewe uone madume wanavyokusolola mmoja mmoja,
Niweke Mimi au uweke wewe?Unaweza kunitajia kifungu Cha kwenye Code of Service Discipline,na kwenye The National defense Act, kinachosema askari anaruhusiwa kupiga raia/Kuvamia mitaani na kupiga watu?
Kama kipo kiweke hapa tukijadili.
Wewe ni Kato mwingine?Mkuu hawatakiwi kuvamia kambi,si wanajeshi wanaenda mtaani wenyewe,usiwafundishe namna ya kudili na wanajeshi wahuni,Kato aneonyesha njia,hakuelekezwa na mwanajeshi yeyote.Tulia mkuu.
Wewe ni Kato mwingine?Ili mmpige kwa makundi....?
Ulisikia wapi Jeshi likatishwa km unavyofanya?Hao wanajeshi huo Upumbavu waendelee Kuufanya Huko huko Dar na viunga Vyake,
ila wakiufanya Huku kanda ya Ziwa kigoma au Mara Aisee Itazuka Vita Maan sisi watu wa Kigoma Hatuleagi ujinga kabsa Ni jino kwa Jino Tu.
Na ukitushinda Nguvu Tunakurushia Lijini utafurukuta nalo Mpaka Futi Sita kwaheri.