Swali Hilo hapo limekushinda,Unaweza kunitajia kifungu Cha kwenye Code of Service Discipline,na kwenye The National defense Act, kinachosema askari anaruhusiwa kupiga raia/Kuvamia mitaani na kupiga watu?
Kama kipo kiweke hapa tukijadili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali Hilo hapo limekushinda,Unaweza kunitajia kifungu Cha kwenye Code of Service Discipline,na kwenye The National defense Act, kinachosema askari anaruhusiwa kupiga raia/Kuvamia mitaani na kupiga watu?
Kama kipo kiweke hapa tukijadili.
Mada chonganishi na huenda unatumiwa au bila kujijuaGENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.
Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.
Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika
Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.
Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?
GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.
JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
Ukiwaona huko mtaani JWTZ wakumbushe tu ubabe wenu hukohuko sio hapa mtaani kwetu, watakushukuru sana kwa kuwakumbusha.K
Kwa hiyo wapige raia halafu lisijirudie? Kwa I marehemu angeelewana tu na jamaa yangetokea haya? Ujeshi wenu huko huko kambini mkija uraiani nyie ni raia lazima mfuate sheria,taratibu na kanuni za mahala husika.
Kwa mujibu wa Aristotle jeshi inabidi iwe kazi ya watu wenye akili ndogo na utashi mkubwa. Wewe ni dhihirisho la hiyo theory.Kibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Huna ekimu hata ya form2?t
Tamko la nini, wapumbavu washughulikiwe, hao ni wahaini, unamwua mwanajeshi? Wanajeshi wana namna yao ya ku-deal na wahuni km hao.
Ngoja nitaongea na major semunyoKabisa wamkande inavyotakiwa,
mnapiga raia wasio na mafunzo yoyote ndio ndio maana mkikutana na M23 kule DRC mnakula kichapo hadi mnavua gwanda na kukimbia uchi wa mnyamaKibano kitaendelea hadi jasho liwatoke hakuna atakayewatetea awe wa ndani au nje ili siku nyingine mjifunze.Hata watoto au familia zao hamuwezi kuwafanya lolote.Jifunzeni kuheshimu majeshi yetu, mnanyonyana korodani sababu ya wao kujitoa mhanga usiku na mchana laiti mngejua mazingira wanayofanyia kazi na hawana pahala pa kulalamikia.Next time mjifunze na kuwa na adabu, hiyo ni trailer msiombe picha ianze
Kumbe [emoji23][emoji23] hayanaga maajab hayo machoko kumbe m23 wanawachapa kama mbwa kokomnapiga raia wasio na mafunzo yoyote ndio ndio maana mkikutana na M23 kule DRC mnakula kichapo hadi mnavua gwanda na kukimbia uchi wa mnyama
Jeshi safiiiiiii sn hivi mnamua mtu nyinyi mnaona amchukui hatua. Jeshi msafishe wahuni wote wadakweGENTAMYCINE sijapendezwa na Kitendo cha Raia Kato kujichukulia Sheria mkononi na Kumchoma Kisu Afande Lt. Col. Muna na ninalikemea sana.
Ila GENTAMYCINE sijapendezwa na Foolish Approach ya Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ya kuamua Kuvamia hovyo Nyumba za Watu, Kuvunja Milango yao, Kupiga hovyo Watu na hasa hasa Kuwajeruhi vibaya sana Wamama ( tena Watu wazima ) ambao wengi Wao hadi Usiku huu GENTAMYCINE naandika huu Uzi Wanauguza Majeraha yao huku Mmoja wapo alikamatwa na MP hao akiwa Dukani Kwake na kuamrishwa Kuingia Garini huku akiliacha Duka likiwa wazi ambapo Wahuni waliingia na Kuiba Pesa zote za Hesabu na Simu zilizokuweko ndani.
Nijuavyo GENTAMYCINE ni kwamba JWTZ wana Kitengo chao cha Mawasiliano, Mahusiano na Elimu kwa Umma ( Kurugenzi ya Habari na Mawasiliano ) hivyo Kiungwana tu wangejitokeza na Kukiri Mateso haya kufanyika kwa Raia wasio na Hatia na kuomba Radhi ila wamechagua Kunyamaza na pengine hata Kufurahia kilichofanyika
Kuna Taarifa ambazo si nzuri nimezipata Jioni hii ( japo naendelea Kuzithibitisha ) kuwa kuna Wanawake Wawili waliokamatwa Baa ya Igole au ya Bombardier nao Kujumuishwa katika Kundi la Watu 74 Waliokamatwa na kupelekwa Kambini Mwenge kupewa Adhabu Kali za Kijeshi zilizojumuisha Kuchapwa na Virungu na Fimbo Ngumu Migongoni, wakirukishwa Vichurachura, wakibebeshwa Mawe na Kubiringitwa Udongoni Wamekufa ( Wamefariki ) leo.
Na kwa leo Mchana, Alasiri na hata Jioni hii GENTAMYCINE nimeshuhudia Raia kadhaa ( tena Wababa na Wamama ) Watu wazima bila kuwasahau Mabinti wakiwa Wamevimba Miguu, Macho, Ugoko na Pua zao na Wakilalamika sana na Kuhoji Kosa lao hasa hadi Kuteswa na Kupigwa kote kule Juzi Usiku kulikuwa ni nini?
GENTAMYCINE niliamua kwenda mbali zaidi kufanya Mahojiano na baadhi ya Wanasheria ( Mawakili ) juu ya Kilichofanyika na kudai kuwa kilikuwa ni Kinyume na Utaratibu wa Sheria za nchi na kwamba Wahusika wakiungana na kwenda Kushtaki hali itakuwa mbaya Kwao ( JWTZ ) hata kama wale MP wa Lugalo WALIOWATESA KINYAMA RAIA kwa kujua kuwa walichokuwa wanakifanya kilikuwa ni kibaya walivalia Kininja ili kuficha Nyuso zao Wasijulikane.
JWTZ nawapenda ila hapa mmebugi.
Unafikiri yana akili ya kuja yenyewe kama yenyewe haya makima ?,utakuta limeandaa kambi nzima eti linaingia kitaa kupambana na raia mmojaAf nikishakukanda ukaite wenzako? Kwani wanaoanzishaga ugonvi si wanakuaga ivo ivo?
We mp mzima unampiga bibi et kutia adabu, we ni kenge tu, huwezi unesha ubabe kwa bibi au wadada bar wasio na hatia
Watanzania hatutopata tena CDF Mwerevu, Mweledi, Muelewa na mpenda Haki na mwenye Utu kama CDF Mstaafu Gen. Mabeyo.Angekuwa VENACE MABEYO bado ni CDF zingechukuliwa hatua kali sana.
Na wwe peleka hii msg kwa hiyo link,waambie link imejibiwa!asante sana! Thanks in advance!!Unaelewa nilichokiweka hapo ni cha nani? Au hauelewi maana ya "link".
Usalama wamesha tuliza eneo lote la kawe hakuna ujinga wowote unaoendelea huko kila kitu kikoo fresh mishe kama kawa wakulungwa!!Chief ebu nenda kawe kawatetee mbona ni jambo rahisi sana!
Pale ukwamani kuna kituo kikubwa cha polisi pia kuna ofisi ya mtendaji wote wapo kimya.
Kuvamia kambi na mikono mitupu bro hilo haliwezekani,hakuna raia wajinga kama wwe!!Mtagongwa mchakae mbwa nyinyi jaribuni muone, fanyeni km mnajaribu kuvamia kambi na kuanzisha vuruga ndio mtawajua vizuri vamieni kambi kisha ueni wanajeshi hata wawili tu mtaeleza kilichomtoa kanga manyoya watahusishwa hata wasiohusika, mtalia hadi makamasi mtalia hadi mnye na mjinyee pimbi nyinyi, mnaleta dharau kwa majeshi yenu
Una matatizo makubwa sana ya uelewa na maadili kijana.Na wwe peleka hii msg kwa hiyo link,waambie link imejibiwa!asante sana! Thanks in advance!!