Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
- Thread starter
- #121
CHADEMA acheni ujinga. Kanisa katoliki sio PLATFORM ya kufanyia propaganda za kijinga. Acheni kuleta siasa za maji taka kwenye kanisa ambalo ni taasisi yenye mifumo yake. Halitakuwa kanisa kama vikundi vya kisiasa na vya itikadi mbalimbali vitajikusanya kuja na mabango yao, uniform zao na kuzuga wanakuja kusali wakati wana mambo yao. Tafsiri ya fadher kitima ilikuwa ya ki harakati zaidi na hakutafakari kuhusu heshima ya kanisa na madhara ya kuruhusu vikundi vya kisiasa kuja kufanya propaganda zao.
Huo ujinga walioufanya Mwanza kanisa lisimame na likemee usijirudie na kama kuna miongoni mwa waliotengeneza huo ujinga ni miongoni mwa waamini washughulikiwe kwa mujibu wa sheria na taratibu za kanisa
CCM wafanya mkutano ndani ya kanisa Tunduma. Ingekuwa ACT/ CUF/ CHADEMA wamefanya kanisani au msikitini ingekuwaje?
8~1~2020. Ndani ya mji wa Tunduma, Katika kanisa la Mch mwakabenga lililo kata ya MAKAMBINI tulikutana viongozi wa chama cha Mapinduzi (ccm) wilaya ya Momba Pamoja na wenyeviti wa mitaa yote 71, watumishi mbali mbali wa serikali wakiongozwa wakiongozwa na Mhe mkuu wa wilaya Ndg. Jumaa Said...