Kama Kanisa Katoliki hawatakemea huu Ujinga nitashangaa sana

Kama Kanisa Katoliki hawatakemea huu Ujinga nitashangaa sana

Uwezi jua pengine viongozi wa kanisa awataki nyumba zao za ibada kupeleka matakata ya siasa ndo maana wapo kimya.
 
O.k. basi waambie rafiki zetu chadema ukweli kwamba wasimtafute mchawi maana walijivuruga wenyewe

Why Chadema na sio Cuf wala ACT inaonesha jinsi gani chadema kwenu nyie imekuwa kama jinamizi ukilala tu umekabwa
 
Mbowe yupo Ukonga, waende huko wakamuombee. Hili la kujikusanya kila Jumapili kwenda makanisani na hayo majezi yao eti wanakwenda kumuombea Mbowe sidhani kama ni sahihi, mahali pale si mahali pa siasa na kuna watu wa itikadi tofauti tofauti wao wasiwalazimishe watu wengine kuwaunga mkono bali waiachie Mahakama itaamua
Mbona marehemu wanaombewa? Kwa Nini waombaji wasiambiwe wakaombewe kwenye makaburi yao.

Hivi kuomba maana yake Nini?
 
Sasa mnataka hao RC wawafanyie nn? wapingane na serkali wanazozisimamisha wao kwa maslahi yao kisa kukutetea wew mpinzani uchwara?? huo muda sahau na haitotokea Rc kwenda kinyume na dola wala dola kwenda kinyume na RC nyie upinzan mnapoongelea Rc muwe na heshima ile sio ccm wala cdm ile ni ngome kongwe ambayo haiendeshwi kwa mihemko, zaid ya intelligence iliyotulia ambayo inapokea order from bottom level up to grassroot level, wala hawakurupuki wale, mkae kwa kutulia.hawana utetez kwenu[emoji23][emoji23][emoji23].....afazal wangekuwa wakina lutheran mngeweza kuwashawish na sio Rc mtachemka pumbv zenu
 
Ndugu, kanisa halijasema chochote wala halijaingilia kazi ya Polis. Kwa nini unatudhihaki hivyo? Kwa nini usipambane na mleta mada? Huwezi kujua ni jinsi unaumiza watu. Please.
Nimeshangaa sana sana, hana haja ya kupambana na Mimi pia Bali content. Jf sio kwa ajili ya mapambano ya personalities
 
Sasa hawa sio Wakristo. Kwa nini wanajiita kanisa?

hao sio wa Kristo wao wanajita wa Kristu jalibu kufwatilia alafu tafsiri ya neno kanisa ni nyumba ya ibada bila kujali ibada kwa Mungu yupi na kama unavyojua tuna miungu mingi duniani,
 
Uovyo wake upo katika lipi hebu tusaidie tuweze kufunguka ndugu,manake naona wana mavyuo,mahospitali,vituo vya kulelea watoto wasio na wazazi n.k

Inawezekana una unachokijua zaidi ya hivyo,tufungue ndugu yetu mpendwa.
Eewaa!!!,hapo Sasa
 
Sasa mnataka hao RC wawafanyie nn? wapingane na serkali wanazozisimamisha wao kwa maslahi yao kisa kukutetea wew mpinzani uchwara?? huo muda sahau na haitotokea Rc kwenda kinyume na dola wala dola kwenda kinyume na RC nyie upinzan mnapoongelea Rc muwe na heshima ile sio ccm wala cdm ile ni ngome kongwe ambayo haiendeshwi kwa mihemko, zaid ya intelligence iliyotulia ambayo inapokea order from bottom level up to grassroot level, wala hawakurupuki wale, mkae kwa kutulia.hawana utetez kwenu[emoji23][emoji23][emoji23].....afazal wangekuwa wakina lutheran mngeweza kuwashawish na sio Rc mtachemka pumbv zenu
Aliyeona "from bottom to grassroots", agonge like. AntiChrist prophet at his best 666!.
 
Katiba ndio iliwafanya mumuuzie Lowasa chama chenu?!
Wewe ni bweha kweli. Kila mtu anayetoa mawazo nje ya upumbavu wako ni CHADEMA? Inaonekana chanjo imekufanya ujue mambo mawili tu ccm na chadema, Acha ku attack personalities za watu, weka hoja. Pumbvu.
 
RC, wazee wa fursa…usitegemee makubwa huko.
 
Ni sawa kabisa. nawapongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa hatua hiyo.

Yaani mnataka mfanye uhalifu halafu mkimbilie Kanisani na Polisi wawatizame tu? Msituchafulie kanisa, Msituchonganishe na Jeshi la Polisi Tanzania.

Kama ni muhalifu utakamatwa popote utakapokuwepo.

Dah! Ama kweli iko kazi. Yani hapa Tz ukiingia nyumba ya ibada ni kufanya uhalifu?

Kama ni wahalifu kwa nini wasiwakamate kabla?
 
Hao waliokamatwa wanatoka jumuiya gani? Na ya mtaa gani? Kanda ya Mtakatifu nani hapo parokiani?
 
Back
Top Bottom