USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
RC sio kanisa ni saccos ndio maana wanaupuuzi mwingi, wanachanganya dini na siasaPolisi wa Tanzania wanaendeleza dhihaka kwa Kanisa kubwa kabisa nchini na duniani RC kwa kuvamia kila mara kwenye ibada zake na kukamata waumini tena ibadani.
Cha kushangaza haya hayatokei SDA wala Lutheran wala kwenye haya makanisa kama ya akina Gwajima.
Hii ni dharau na dhihaka kubwa sana, Polisi hawajaitwa kuwa pengine kuna uvunjifu wa amani, sasa kiherehere cha kwenda kukamata waumini kisa wanafanya maombi kinatoka wapi?
Huku kuwashwawashwa kwa Polisi wa Tanzania kutatupeleka kubaya soon.
Wakumbuke, nawakumbusha aliyekua Mkurugenzi wa Itigi na baadhi ya Askari Wanyamapori wako gerezani Singida hadi leo kwa kesi ya mauwaji Kanisani.
Tumieni akili kidogo acheni kudharau imani za watu
USSR