Kama Kanisa Katoliki hawatakemea huu Ujinga nitashangaa sana

Sikh hizi sibishani na wapuuzi
 
Nimestaafu kubishana na Vichaa
Waache wadhibitiwe. Miaka ya 1994 ndio za aina CUF walikuwa wanafanya. Za kukimbilia nyumba za ibada baada ya kufanya vurugu.

Wakadhibitiwa hadi kwenye nyumba za ibada.

Juzi hapa kuna waumini walikamatwa msikitini huko kilwa wakati wa mauaji ya kibiti..

Nimekuuliza hilo swali makusudi.
 
Wamevunja sheria gani? Mnasema Mbowe ni Ugaidi, sasa shida iko wapi kama wanaenda kumuombea Gaidi aachane na ugaidi wake?
 
Wamevunja sheria gani? Mnasema Mbowe ni Ugaidi, sasa shida iko wapi kama wanaenda kumuombea Gaidi aachane na ugaidi wake?
Walitakiwa wamfate lockup wamuombee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…