Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

huyo mwamposa anaviziwa tu! hii ni mbinu ya wapinzani wake either serikali au wenzake walokole! wanamsogeza kwenye hasira za waislam! atapata majibu
Naweza kuwa sielewi au siamini huduma yake lakini katika hili sioni kosa lake. Ni haki ya kila mtu kuchagua wapi pa kuabudu.

Hakuna mtu wala dini yenye mamlaka ya kumpangia raia yeyote dhehebu la kufanya ibada.
 
huyo mwamposa anaviziwa tu! hii ni mbinu ya wapinzani wake either serikali au wenzake walokole! wanamsogeza kwenye hasira za waislam! atapata majibu
Kwamba hao watu amewalazimisha kwenda kwenye ibada au? Masuala ya imani ni binafsi.

Msije kujifanya ni "untouchables" mtapata mnachokitaka, leteni tena fujo za kidini nchini kama awamu fulani fulani muone kama mtavumiliwa!

#Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 #
 
Back
Top Bottom