Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
kwani nani kasema wataleta fujo za kdini? nimemtaja mtu mmoja tu mwamposa! wanaeza lala naye mbele kwa staili yaoKwamba hao watu amewalazimisha kwenda kwenye ibada au? Masuala ya imani ni binafsi.
Msije kujifanya ni "untouchables" mtapata mnachokitaka, leteni tena fujo za kidini nchini kama awamu fulani fulani muone kama mtavumiliwa!
#Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 #
Rubbish!huyo mwamposa anaviziwa tu! hii ni mbinu ya wapinzani wake either serikali au wenzake walokole! wanamsogeza kwenye hasira za waislam! atapata majibu
Labda kama ujawai Amini kwamba binadamu analaani na inatokea basi uwezi Amini pia anakubariki na inakua ivyo.”Kwani hao wanaoabudu kwa mwamposa wanaabudu wakiamini huyo mwamposa ndiye mwokozi wao na mtoa baraka wao au?"
Maana kila upande mwamposa anabariki mwamposa anabariki nataka kujua hao wanaabudu ktk Mungu Na KwelI?
Wanaifuata njia ya kweli.Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Wewe mbona umejisalimisha kwa Mohamed na kufata maagizo yake?Hauna akili ,utajisalimashe kwa binadamu mwenzako na kujaalia mtu wa Kati baina ya wewe na Mwenyezi Mungu ? mtu ankufa na kufanya makosa Mwenyezi Mungu hafi wala hakosei !
Kwa Mwamposa anaubiriwa Yesu.Ungesema umejisalimisha kwa Mungu au kwa Yesu ningekuona wa maana.
Lakini umeenda jisalimisha kwa mwAposa, umedhihirisha ujinga wako, upumbavu wako na jinsi ulivyokuwa na matope kichwan
Yesu ni mwokozi wa maisha yako,mpokee upate uzima wa milele.Hauna akili ,utajisalimashe kwa binadamu mwenzako na kujaalia mtu wa Kati baina ya wewe na Mwenyezi Mungu ? mtu ankufa na kufanya makosa Mwenyezi Mungu hafi wala hakosei !
Kwani viwete wameisha mkuu?Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Mimi sijaona hiyo clip ila naweza tu kukuelimisha kuwa, Kwenda kwenye mahubiri ya dini yoyote sio kuwa mtu amebadilisha dini; Watu wamehimizwa watafute Elimu!Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Yaa jina sio inshu sana kwa nchi kama tz, Utakuta mkristo anaitwa Hassan, Iddi, Mohammed na maisha yanasonga. Wafia dini nahisi ni watu wenye akili mdogo sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23] Kwa sababu Kila unaemuona anaenda Kwa mwamposa. Anaitwa SULEIMAN,JUMA, AISHA,HADIJA basi akili Yako yote inakutuma kama hao ni Muslims
🤣🤣Hahah wamehama kwenye viwete na vipofu na kufufua watu,
sasa wameamua kuweka maboya ya hijabu na nikab. Huo utapeli tunaujua sana.