Kama kawaida ya madaktari, huwa hawapendi kuguswa

Una inferiority kubwa sana, we kwanini hukusoma kua daktari,? Hizo data ulizoonesha hapo juu una uhakika ndivyo mgawanyo unavyofanyika nchi nzima?? Huo ndo muongozo wa ugawaji hela ya bima kitaifa?.
 
I have studied nine years in a row
Super specialist in cardio thoracic
There are things you can not understand you can't young man you can't

Take your time to sit back and learn how your government runs things
I spent a lot of time to learn everything, and I'm still learning.
That's why I said this circular from MCT is just a "Sugar Over Alovera"
You guys should know the tide has changed, we are approaching next era.​
 
Kama Dr alikuwa Specialist hiyo gharama ni sawa, gharama zao huwa kubwa ukilinganisha na MD, CO
 
Mkuu tulisoma miaka mitano kumbuka plus intern au shuleni haukuambiwa udaktari unalipa😂😂
Mkuu na wenzenu wamesoma miaka 4 plus mmoja wa intern.
Hiyo difference iloyopo hapo siyo fair, ndiyo maana wanashangilia kuondolewa consultation fee huku nyie mkinuna.​
 
Ungejua tunayopitia ungekaa kimya

Kila week tunachangishana almost ef kumi kumi kwa ajili ya wagonjwa wasio na ndugu wale

Wapate dawa

Ungejua na mengine yaliyopo ungekaa kimya lakini hakuna namna tunaweza kufanya uelewe ni bora tukuache
Mkuu kwema?

Huo mfumo wakuchangishana ni wenu tu kwenye kituo chenu cha kazi. Mnafanya tu kwa wema na kijichumia kibubu za mambo mema
 
Una inferiority kubwa sana, we kwanini hukusoma kua daktari,? Hizo data ulizoonesha hapo juu una uhakika ndivyo mgawanyo unavyofanyika nchi nzima?? Huo ndo muongozo wa ugawaji hela ya bima kitaifa?.
Shida yenu mkiguswa kidogo tuu mnaliiiiaaa. Hapo nimegusa consultation fee tuu, na nikiingia deep si utazimia?
Halafu unataka wote tusome kada moja then ualimu aende nani. Hata kama mmekamata sekta lakini jaribuni kuwa fair kwenye migawanyo ya hizi posho ili sekta iwe na ustawi kwenye kada zote.
Hakuna mwenye inferiority complex bali nyie ndiyo mna superiority complex, grandiose creatures.​
 
Kwa nini usitengeneze hoja ya kuomba fani nyingine ziongezewe maslai,kuliko kuombea wengine washushwe kama nyie.jifunze kuleta watu pamoja ili upate ushindi kwenye malengo yako plz.
Hapo ndugu yangu wewe ndo unarudisha sekta ya Afya nyuma.
Kitu cha kwanza unavunja umoja katika sekta ya Afya,bali ungeimiza sekta nyingine zipandishiwe maslai msisitizo kwa walio chini sana.

Pili kuhimiza mazingila ya kazi yawebora kwa wote,ili kuondoa haya manung'uniko.

Tatu.hayo malipo yakifutwa wauguzi na sekta nyingine watafaidika vipi,wewe fikili kidogo tu,ndo maana na naimiza kuongeza maslai kwa wote.

Kwa kifupi ni hivyo.
 
Hapa nimetolea mfano wa consultation fee tuu, bado mambo mengine mengi ambayo ndiyo worse zaidi.Hkuna mahali nimeombea washushwe, bali kuwe na mgawanyo sawa.

Kumbuka tunaongelea hii 25,000/= inavyogawanywa. 10,000/= anachukua daktari, 10,000/= nyingine inachukua hospitali, kisha ile 5,000/= inayobaki ndiyo kama fupa lilibaki wanatupiwa wengine waligombanie.

Sasa unaposema wengine waombe kuongezwa hiko cha kuongeza kitatoka wapi wakati mgawanyo unatoka kwenye hiyo 25,000/=?​
 
Kwa nini uwaze kitatoka wapi na usidai kuongezewa?.wewe achia viongozi wawaze watapata wapi.
Huko kuwaza kwako kwamba mwingine kamzidi huyu basi na yeye ashushwe alingane na wachini ,haina afya hata kidogo kwa sekta ya Afya.
Hoja ela iongezwe ili na wengine wapate good fair only that.
 
Mkuu kwema?

Huo mfumo wakuchangishana ni wenu tu kwenye kituo chenu cha kazi. Mnafanya tu kwa wema na kijichumia kibubu za mambo mema
Wanataka kusema justification ya kujiwekea mapande makubwa ni kwa sababu wanarudisha kwa jamii!😅

Hawa majamaa bwana, wanafikiri bado tupo dunia ya mwaka 1980.​
 
Sidhani kama umewahi hata ku-process malipo ya form za Bima (NHIF) umekuja kuongopea tuu watu jukwaani.

unatakiwa ujue haya mambo.

1.level ya priscriber
2.level ya kituo.
na vingine vingi .Mapato yote yanaingia kwenye Accont ya kituo husika
then ndo kuna hii 15% ya mapato ya Bima ndio inatakiwa igawanywe kwa watumishi sometimes kuna baadhi ya settings zinaitoa kama flat rate kwa wote. Vingine umedhihirisha chuki yako tuu kwa so called Drs. Pambania kada yako ipande usipambane wengine kushuka so far hata kwa wagonjwa wa cash pesa inalipwa kwa control number ....
 
Kwa hiyo unategemea NHIF wataongeza package ya consultation ili wengine posho zao zipande?
Hiyo justification ya wapi mkuu?​
 
Hao wanaotoa flat rate safi sana, wanapaswa kuigwa na vituo vyote, au wizara itoe tamko iwe hivyo kwa levels zote.

Hayo mengine uliyoongezea sijui ya chuki kwa hao watu ni your personal intuition tuu sababu nimetoa mfano halisi hapo juu wa jinsi mgawanyo kwenye kituo husika ulivyo.​
 
Kupima vital clinic unataka upewe shi ngapi?
Kwa hiyo umekariri consultation ni ya clinic tuu? Haujui wagonjwa waliolazwa daily wanalipia inpatient consultation?

Au basi tuwaachie wagonjwa wenu hao wa clinic mpambane nao. Itakuwa ni jambo jema ili hizo consultation mzifaidi vizuri.​
 
Hayo maslahi yaongezwe kutoka hela gani si ashasema hela inatoka ni 25,000.

Mi sijui mambo kwenye sekta hii. Nasubiri mtu ajieleze kwanini mtumishi aliyesoma miaka mitano alipwe 10,000 na mtumishi mwingine aliyesoma miaka mitatu sijui minne alipwe 3,750 kwenye hiyo 25,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…