Hizo fair zipo sana but wauguzi wao wanataka kuwa sawa na ma Dr wakati hata job descrption zenu na ma Dr zinatofautiana .. cha Ajabu ma Dr wao pia hawataki kuwa wauguzi.Hao wanaotoa flat rate safi sana, wanapaswa kuigwa na vituo vyote, au wizara itoe tamko iwe hivyo kwa levels zote.
Hayo mengine uliyoongezea sijui ya chuki kwa hao watu ni your personal intuition tuu sababu nimetoa mfano halisi hapo juu wa jinsi mgawanyo kwenye kituo husika ulivyo.