Kama kawaida ya madaktari, huwa hawapendi kuguswa

Kwanza kaa ukijua mimi sipo kada ya afya kijana... Na sina shida ya hivyo ajira wala viposho vyenu..

Na kituoni kwangu nimeweka reasonable amount kwa kila mmoja, siyo kama nyie mnavyofanya mautopolo yenu huko hospitali za umma.

Nimeleta hili bandiko kuzisaidia mamlaka hasa wizara husika kuleta mabadiliko chanya kwenye hospitali za umma.

Hivi nyie hamjiulizi kwa nini private tuna perform better kuwashinda nyie? Ni kwa sababu ya mambo madogodogo kama haya. Ni wazalendo wachache kama sisi ambao tunajaribu kuisaidia mamlaka kwa kuanika mambo kama haya ambayo yanairudisha nyuma sekta ya afya.

Najaribu kuimagine wewe ndiyo ukabidhiwe kituo na hiyo mentality yako hakitapiga hatua milele na milele. Maana una mentality ya mwaka 1970 hukoo, kwamba huyu maabara, huyu muuguzi, huyu mfamasia. Nikuambie tuu unapokuwa kiongozi au ukitaka kituo chako cha kazi kipige hatua basi unatakiwa umuheshimu hata mfanya usafi. Treat everybody equally and fairly.​
Hata kijiweni kwangu posho ya Dr ni tofauti na ninayomlipa muuguzi .. iko hivyo tuu .. Au wewe shift ya Dr na Nurse huwa unatoa flat rate pia?
 
Hizi Form za Bima zinafanyiwa kazi na wafamasia au watoa dawa sijaelewa why kuna Nurse na Dr tu hapooo...!! Huo mfumoo wa kifalaaaaa sanaaa ndo maana inabdi utupiliweee mbaliii...
 
Kumbe hospitali za umma mpaka leo mnawafanyisha usafi wafanyakazi wenu? Mnashindwa kuajiri wafanya usafi wakati kampuni zipo zimejaa tele?

Na kulingana na Scope of Practice niliyopewa na baraza lao hakuna job descriltion ya namna hiyo, shida nyie serikalini mmezoea kukandamizana, hapo utakuta pesa ya usafi imetengewa bajeti lkn inaliwa na wachache kisha mnawafosi wafanyakazi ndio washike mifagio.​
mfanyakazi wa kampuni anafanya kazi zake vivyo hivyo na muuguzi , Na hii ni kwa pote Au wewe kijiwe chako umefungulia states tusijekuwa tunazungumzia different context.
 
Hizi Form za Bima zinafanyiwa kazi na wafamasia au watoa dawa sijaelewa why kuna Nurse na Dr tu hapooo...!! Huo mfumoo wa kifalaaaaa sanaaa ndo maana inabdi utupiliweee mbaliii...
Mzee wa masihara uzi unaendeleaje?
 
Who are you to teach them what to do?[emoji28]

Tatizo mnajikutaga nyie ndiooo, yani ileee yaniii[emoji28]

You are just a disease in this sector.​
Ni kubadilishana idea tuu , vipi kituoni kwako pesa unayomlipa Dr inalingana na unayomlipa muuguzi .... ili nije nijifunze labda hata huku kijiweni kwangu naweza copy mbinu mpya ya flat rate.
 
Mmoja siwezi kumlipa 10,000/=
Kisha mwingine nimpe 3000/=

Hiyo hata ningekuwa mimi ndo naliowa ivo hao wagonjwa wa bima wasingekuwa na priority kwangu.

Ni suala la common sense ndogo sana wala haihitaji rocket science.

Ninyi endeleeni na vikumbo vyenu, mtatukuta mbelee.

Na wahusika wa wizara yenu wasiposikia basi tena.​
 
Ungejua msoto wanaopata madaktari kusoma mpaka kuwa specialist hlf unamlipa mshahara kiduchu. Wanastahili hiyo posho walau kupunguza ugumu wa maisha. Hawastahili kulipwa wanacholipwa.
 
Mkuu tulisoma miaka mitano kumbuka plus intern au shuleni haukuambiwa udaktari unalipa[emoji23][emoji23]
Kuna udaktari cku hz bc tu mungu ndyo anasaidia labda maspecialist lkn ma MD na CO hamna kitu mtu hata kuweka catheter hawezi hawezi halafu hao hao ndyo wanavimbisha mafuvu
 
Ungejua msoto wanaopata madaktari kusoma mpaka kuwa specialist hlf unamlipa mshahara kiduchu. Wanastahili hiyo posho walau kupunguza ugumu wa maisha. Hawastahili kulipwa wanacholipwa.
Huu ujinga Sasa, kwa hiyo ulisoma miaka mingi ili ulipwe vizuri?
 
Lile sakata la kufutwa gharama za kuonwa/kuhudumiwa hospitali na wahudumu linazidi kuchanja mbuga. Kwanza tuwekane sawa hapa, haiitwi gharama ya kumuona daktari, inaitwa "Consultation Fee" ikimaanisha "Gharama ya Kuhudumiwa" kwa maana utapita mikono ya wataalamu kadhaa siyo daktari tuu.

Baraza lao wanadai hii pesa huwa inaenda kwenye mfuko wa hospitali. Lakini hii ni danganya toto kwani hali ni tofauti kwa upande wa mifuko ya bima.
View attachment 2322322

Sasa ngoja tusanuane, kwa wale wasiojua. Suala la hii gharama ni kweli inaingia mfuko wa hospitali, lakini ni kwa wagonjwa wanaolipa cash tuu. Consultation fees za mifuko ya bima ina mgawanyo tofauti ambao umekaa kiunyanyasji wa hali ya juu sana.
Consultations fees za bima zote, hospitali inachukua 40%, daktari naye anachukua 40%, wauguzi wanachukua 15% na 5% inayobaki wanachukua wengine kama maabara na wahudumu wa afya.

Sasa ukiangalia hizo % hapo juu unaweza ukaona kama ni kitu kidogo, lakini ngoja niweke figure halisi ndiyo utajua hawa madaktari ni kwa jinsi gani wameweka mfumo wa kitumwa kwa kada zingine wanazoshirikiana nao.
View attachment 2322344
Huo mfano hapo juu ni wa consultation fee ya NHIF ambayo ni 25,000/=. Hospitali inachukua 10,000/=, Daktari anachukua 10,000/=, Muuguzi anachua 3,500/= na wengine wanaobaki wanagawana 1,500/= iliyobaki.

Ndiyo maana nasema hii ni janja janja tuu ya siku zote. Kwanza wale wanaolipia cash, consultation fee mara nyingi ni 10,000/= tuu. Hivyo bima ndizo zina consultation fee kubwa na ndizo hizo madaktari wakajitungia ka utaratibu ka kujikwapulia kiasi sawa na hospitali, huku wakiwabakizia wengine kiduchu.

Nimewahi kuleta uzi humu nikielezea ni kwa namna gani hawa madaktari wamejijengea ka empire kwenye sekta ya afya kiasi kwamba hawataki wengine nao waifurahie hii sekta. Wamejimilikisha sekta ya afya utadhani wako peke yao.

Hivyo waziri unapoenda kukaa nao chini kaa nao chonjo sana, wanaweza wakapendekeza consultation fee za cash ndizo zifutwe lakini za bima zisifutwe kwa sababu wao wanafaidika nazo.
Ni wapuuzi Sana hao,wanalipwa salary kwa Kazi gani hasa?

Wakileta upuuzi Rais awafanye kama alivyomfanya ulimboka,wanajionaga keki sana hao fala.
 
Kwanza kaa ukijua mimi sipo kada ya afya kijana... Na sina shida ya hivyo ajira wala viposho vyenu..

Na kituoni kwangu nimeweka reasonable amount kwa kila mmoja, siyo kama nyie mnavyofanya mautopolo yenu huko hospitali za umma.

Nimeleta hili bandiko kuzisaidia mamlaka hasa wizara husika kuleta mabadiliko chanya kwenye hospitali za umma.

Hivi nyie hamjiulizi kwa nini private tuna perform better kuwashinda nyie? Ni kwa sababu ya mambo madogodogo kama haya. Ni wazalendo wachache kama sisi ambao tunajaribu kuisaidia mamlaka kwa kuanika mambo kama haya ambayo yanairudisha nyuma sekta ya afya.

Najaribu kuimagine wewe ndiyo ukabidhiwe kituo na hiyo mentality yako hakitapiga hatua milele na milele. Maana una mentality ya mwaka 1970 hukoo, kwamba huyu maabara, huyu muuguzi, huyu mfamasia.
Nikuambie tuu unapokuwa kiongozi au ukitaka kituo chako cha kazi kipige hatua basi unatakiwa umuheshimu hata mfanya usafi. Treat everybody equally and fairly.​
Umenena KWELI.
 
Kwa sasa, naifurahia sana hii mitifuano. Naona kada kama pharmacy, labaratory etc nao hawako nyuma, ni kuhoji tu teh teh teh.

Kazi iendelee.
 
Lile sakata la kufutwa gharama za kuonwa/kuhudumiwa hospitali na wahudumu linazidi kuchanja mbuga. Kwanza tuwekane sawa hapa, haiitwi gharama ya kumuona daktari, inaitwa "Consultation Fee" ikimaanisha "Gharama ya Kuhudumiwa" kwa maana utapita mikono ya wataalamu kadhaa siyo daktari tuu.

Baraza lao wanadai hii pesa huwa inaenda kwenye mfuko wa hospitali. Lakini hii ni danganya toto kwani hali ni tofauti kwa upande wa mifuko ya bima.
View attachment 2322322

Sasa ngoja tusanuane, kwa wale wasiojua. Suala la hii gharama ni kweli inaingia mfuko wa hospitali, lakini ni kwa wagonjwa wanaolipa cash tuu. Consultation fees za mifuko ya bima ina mgawanyo tofauti ambao umekaa kiunyanyasji wa hali ya juu sana.
Consultations fees za bima zote, hospitali inachukua 40%, daktari naye anachukua 40%, wauguzi wanachukua 15% na 5% inayobaki wanachukua wengine kama maabara na wahudumu wa afya.

Sasa ukiangalia hizo % hapo juu unaweza ukaona kama ni kitu kidogo, lakini ngoja niweke figure halisi ndiyo utajua hawa madaktari ni kwa jinsi gani wameweka mfumo wa kitumwa kwa kada zingine wanazoshirikiana nao.
View attachment 2322344
Huo mfano hapo juu ni wa consultation fee ya NHIF ambayo ni 25,000/=. Hospitali inachukua 10,000/=, Daktari anachukua 10,000/=, Muuguzi anachua 3,500/= na wengine wanaobaki wanagawana 1,500/= iliyobaki.

Ndiyo maana nasema hii ni janja janja tuu ya siku zote. Kwanza wale wanaolipia cash, consultation fee mara nyingi ni 10,000/= tuu. Hivyo bima ndizo zina consultation fee kubwa na ndizo hizo madaktari wakajitungia ka utaratibu ka kujikwapulia kiasi sawa na hospitali, huku wakiwabakizia wengine kiduchu.

Nimewahi kuleta uzi humu nikielezea ni kwa namna gani hawa madaktari wamejijengea ka empire kwenye sekta ya afya kiasi kwamba hawataki wengine nao waifurahie hii sekta. Wamejimilikisha sekta ya afya utadhani wako peke yao.

Hivyo waziri unapoenda kukaa nao chini kaa nao chonjo sana, wanaweza wakapendekeza consultation fee za cash ndizo zifutwe lakini za bima zisifutwe kwa sababu wao wanafaidika nazo.
Ndugu yangu kwani MADAKTARI tumekukosea nini?. Mana nyuzi zako nyingi unalia na waganga?. umewahi compere posho za watumishi wa taaluma na watumishi wa kisiasa? Why hatuja blame? Umewahi kuchunguza tatizo lolote linapotokea kwa mteja nani anawajibishwa zaidi. By the way MADAKTARI Wana beba dhamana 60% afya ya mgonjwa 24hours. Ulipaswa kushauri wauguzi wapandishiwe/waongezewe masilahi na sio ku underestimate function of doctors. Wana take risk kubwa kk
 
Hayo mambo ya kulipia kumuona daktari yafaa yafutwe kabisa katika hospitali zote, za umma na binafsi.. maana mgonjwa hulipia gharama za kutibiwa, vipimo, dawa n.k....daktari anapata mshahara alizike nao..
 
Lile sakata la kufutwa gharama za kuonwa/kuhudumiwa hospitali na wahudumu linazidi kuchanja mbuga. Kwanza tuwekane sawa hapa, haiitwi gharama ya kumuona daktari, inaitwa "Consultation Fee" ikimaanisha "Gharama ya Kuhudumiwa" kwa maana utapita mikono ya wataalamu kadhaa siyo daktari tuu.

Baraza lao wanadai hii pesa huwa inaenda kwenye mfuko wa hospitali. Lakini hii ni danganya toto kwani hali ni tofauti kwa upande wa mifuko ya bima.
View attachment 2322322

Sasa ngoja tusanuane, kwa wale wasiojua. Suala la hii gharama ni kweli inaingia mfuko wa hospitali, lakini ni kwa wagonjwa wanaolipa cash tuu. Consultation fees za mifuko ya bima ina mgawanyo tofauti ambao umekaa kiunyanyasji wa hali ya juu sana.
Consultations fees za bima zote, hospitali inachukua 40%, daktari naye anachukua 40%, wauguzi wanachukua 15% na 5% inayobaki wanachukua wengine kama maabara na wahudumu wa afya.

Sasa ukiangalia hizo % hapo juu unaweza ukaona kama ni kitu kidogo, lakini ngoja niweke figure halisi ndiyo utajua hawa madaktari ni kwa jinsi gani wameweka mfumo wa kitumwa kwa kada zingine wanazoshirikiana nao.
View attachment 2322344
Huo mfano hapo juu ni wa consultation fee ya NHIF ambayo ni 25,000/=. Hospitali inachukua 10,000/=, Daktari anachukua 10,000/=, Muuguzi anachua 3,500/= na wengine wanaobaki wanagawana 1,500/= iliyobaki.

Ndiyo maana nasema hii ni janja janja tuu ya siku zote. Kwanza wale wanaolipia cash, consultation fee mara nyingi ni 10,000/= tuu. Hivyo bima ndizo zina consultation fee kubwa na ndizo hizo madaktari wakajitungia ka utaratibu ka kujikwapulia kiasi sawa na hospitali, huku wakiwabakizia wengine kiduchu.

Nimewahi kuleta uzi humu nikielezea ni kwa namna gani hawa madaktari wamejijengea ka empire kwenye sekta ya afya kiasi kwamba hawataki wengine nao waifurahie hii sekta. Wamejimilikisha sekta ya afya utadhani wako peke yao.

Hivyo waziri unapoenda kukaa nao chini kaa nao chonjo sana, wanaweza wakapendekeza consultation fee za cash ndizo zifutwe lakini za bima zisifutwe kwa sababu wao wanafaidika nazo.
Hii ni kwa hospitali za serikalini au hospital binafsi?
 
Back
Top Bottom