Kama kawaida ya madaktari, huwa hawapendi kuguswa

Hata kijiweni kwangu posho ya Dr ni tofauti na ninayomlipa muuguzi .. iko hivyo tuu .. Au wewe shift ya Dr na Nurse huwa unatoa flat rate pia?
 
Hizi Form za Bima zinafanyiwa kazi na wafamasia au watoa dawa sijaelewa why kuna Nurse na Dr tu hapooo...!! Huo mfumoo wa kifalaaaaa sanaaa ndo maana inabdi utupiliweee mbaliii...
 
mfanyakazi wa kampuni anafanya kazi zake vivyo hivyo na muuguzi , Na hii ni kwa pote Au wewe kijiwe chako umefungulia states tusijekuwa tunazungumzia different context.
 
Hizi Form za Bima zinafanyiwa kazi na wafamasia au watoa dawa sijaelewa why kuna Nurse na Dr tu hapooo...!! Huo mfumoo wa kifalaaaaa sanaaa ndo maana inabdi utupiliweee mbaliii...
Mzee wa masihara uzi unaendeleaje?
 
Who are you to teach them what to do?[emoji28]

Tatizo mnajikutaga nyie ndiooo, yani ileee yaniii[emoji28]

You are just a disease in this sector.​
Ni kubadilishana idea tuu , vipi kituoni kwako pesa unayomlipa Dr inalingana na unayomlipa muuguzi .... ili nije nijifunze labda hata huku kijiweni kwangu naweza copy mbinu mpya ya flat rate.
 
Ni kubadilishana idea tuu , vipi kituoni kwako pesa unayomlipa Dr inalingana na unayomlipa muuguzi .... ili nije nijifunze labda hata huku kijiweni kwangu naweza copy mbinu mpya ya flat rate.
Mmoja siwezi kumlipa 10,000/=
Kisha mwingine nimpe 3000/=

Hiyo hata ningekuwa mimi ndo naliowa ivo hao wagonjwa wa bima wasingekuwa na priority kwangu.

Ni suala la common sense ndogo sana wala haihitaji rocket science.

Ninyi endeleeni na vikumbo vyenu, mtatukuta mbelee.

Na wahusika wa wizara yenu wasiposikia basi tena.​
 
Ungejua msoto wanaopata madaktari kusoma mpaka kuwa specialist hlf unamlipa mshahara kiduchu. Wanastahili hiyo posho walau kupunguza ugumu wa maisha. Hawastahili kulipwa wanacholipwa.
 
Mkuu tulisoma miaka mitano kumbuka plus intern au shuleni haukuambiwa udaktari unalipa[emoji23][emoji23]
Kuna udaktari cku hz bc tu mungu ndyo anasaidia labda maspecialist lkn ma MD na CO hamna kitu mtu hata kuweka catheter hawezi hawezi halafu hao hao ndyo wanavimbisha mafuvu
 
Ungejua msoto wanaopata madaktari kusoma mpaka kuwa specialist hlf unamlipa mshahara kiduchu. Wanastahili hiyo posho walau kupunguza ugumu wa maisha. Hawastahili kulipwa wanacholipwa.
Huu ujinga Sasa, kwa hiyo ulisoma miaka mingi ili ulipwe vizuri?
 
Ni wapuuzi Sana hao,wanalipwa salary kwa Kazi gani hasa?

Wakileta upuuzi Rais awafanye kama alivyomfanya ulimboka,wanajionaga keki sana hao fala.
 
Umenena KWELI.
 
Kwa sasa, naifurahia sana hii mitifuano. Naona kada kama pharmacy, labaratory etc nao hawako nyuma, ni kuhoji tu teh teh teh.

Kazi iendelee.
 
Ndugu yangu kwani MADAKTARI tumekukosea nini?. Mana nyuzi zako nyingi unalia na waganga?. umewahi compere posho za watumishi wa taaluma na watumishi wa kisiasa? Why hatuja blame? Umewahi kuchunguza tatizo lolote linapotokea kwa mteja nani anawajibishwa zaidi. By the way MADAKTARI Wana beba dhamana 60% afya ya mgonjwa 24hours. Ulipaswa kushauri wauguzi wapandishiwe/waongezewe masilahi na sio ku underestimate function of doctors. Wana take risk kubwa kk
 
Hayo mambo ya kulipia kumuona daktari yafaa yafutwe kabisa katika hospitali zote, za umma na binafsi.. maana mgonjwa hulipia gharama za kutibiwa, vipimo, dawa n.k....daktari anapata mshahara alizike nao..
 
Hii ni kwa hospitali za serikalini au hospital binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…