Kama kawaida ya madaktari, huwa hawapendi kuguswa

Usisahau Madaktari ndio waliokuwa wanaongoza darasani kwako....unapoteza muda tu...
Unafikiri Medicine ni sawa na matako kila mtu anayo au sio?
 
Kua Daktari na kada zingine za afya walipwe flat rate[emoji1787][emoji1787],unadhani kua ni daktari ni rahisi?
Si kila mtu atasoma kitu rahisi ili alipwe flat rate,.....mishahara na posho imewekwa purposefully,hata iweje daktari hawezi kua sawa na watumishi wengine wa KADA ya afya
 
Natural MD ipo superior na haiwezi kua chini ya kada zingine,hii ni kuanzia U.S hadi zama za mapinduzi ya viwanda,......kukandamizwa kupo natural ukiwa mfamasia wewe lazima tu uongozwe na MD,utake usitake[emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kinakuwasha nini?
Unadadhani hata jeshini maslahi ya Kapteni na koplo usu yanafanana?
Yaani kuwe na usawa wa malipo kati ya kada zingine za afya na MD?
[emoji1787][emoji1787]
Nani sasa atashawishika kusoma MD.
Maslahi,superiority na protocols za MD zimerithiwa kutoka dunia ya kwanza.
Ushawahi jiuliza kwa nini MD anaanza na TGHS E, pharmacy D na Maabata na Nurse C?.......hata posho zitatofautiana vile vile,...........
Once ukikataa kusoma kada ya afya tofauti na MD,jua umekubali kupigwa pumbu na MD[emoji16][emoji16]
 
Hizi Form za Bima zinafanyiwa kazi na wafamasia au watoa dawa sijaelewa why kuna Nurse na Dr tu hapooo...!! Huo mfumoo wa kifalaaaaa sanaaa ndo maana inabdi utupiliweee mbaliii...
Mfamasia ye si amesomea kutengeneza dawa na anapata hela nyingi sana kwa kutumia cheti chake[emoji1787][emoji1787]
Huwezi kufananisha MD na fani zingine za afya na hili ni chimbuko la MD.
 
Huyu daktari anayechukua kiasi kwenye consultation fee ni yule wa kuajiriwa au ni yupi hasa? Maana ya consultation ni kuwa umepata huduma ya kitaalamu na hapo hapo kama umeajiriwa ni kuwa tumekupatia hiyo kazi na tunakulipa mshahara kulingana na utaalamu tunaopata kwako. Sasa hii consultation fee dakatari anakua na mgao katika muktadha upi hasa? Naomba kueleweshwa hapo mkuu mwenye uzi.
 
Mfamasia ye si amesomea kutengeneza dawa na anapata hela nyingi sana kwa kutumia cheti chake[emoji1787][emoji1787]
Huwezi kufananisha MD na fani zingine za afya na hili ni chimbuko la MD.
hatubishii kabisaa mkuu.... sema ndo tuwaonee kwa helaaa kwelii 😀 😀 😀
 
Who are you to teach them what to do?[emoji28]

Tatizo mnajikutaga nyie ndiooo, yani ileee yaniii[emoji28]

You are just a disease in this sector.​
MD ni main kweye sector ya afya labda uunde MD yako tofauti na hii uliyorithi toka kwa mkoloni.
Yaani kama tu jeshini,generali hata awe kilaza atamuongoza tu kapteni.
Mfamasia hata asome vipi hawezi fika scale ya TGHS I,.......Ila MD hadi L huko anagonga.
Kila kitu kimewekwa purposefully,........MD hawezi fanana na mfamasia.
Sasa kama mishahara na posho zinafanana si kila mtu atasoma degree ya mabaara na nurse[emoji1787][emoji1787]
 
Ni kubadilishana idea tuu , vipi kituoni kwako pesa unayomlipa Dr inalingana na unayomlipa muuguzi .... ili nije nijifunze labda hata huku kijiweni kwangu naweza copy mbinu mpya ya flat rate.
M.sen.ge huyo ana stress za kutokua MD,hata kwa hao turiorithi elimu,.......MD anakula mpunga mrefu zaidi ya kada zingine,[emoji16][emoji16][emoji23]
 
Binafsi ninachojua Daktari analipwa Call" kwasababu Hana Off. Wauguzi Wana Off ndio maana hawana malipo ya Calls.
 
Ndivyo hali halisi ilivyo mkuu, kama inavyoonekana hapo juu..

Majibu ya kwa nini wanachukua kiwango sawa na hospitali pitia comments utawaona wanavyojibu nawe utapata jibu ni kwa nini.

Hivyo usiendelee kujiuliza kwa nn sekta ya afya ni mbovu, ni kwa sababu kada moja tuu ndiyo inayothaminiwa huku zingine zikionekana ni takataka...

Na kwa sababu wao siyo wanaofanya kazi kubwa basi kaa ukijua kamwe huduma za afya hazitakaa zifikie ubora unaotakiwa..
 
Kumbe. Ngoja tuendelee kuramba asali
 
Daktari anasoma miaka 6
Muuguzi anasoma miaka 5

Mmoja unampa 10,000/=
Mwingine unampa 3,000/=

Halafu utegemee waperform sawa? Hell Noo.​
Lazima utofautishe muuguzi aliesoma cheti na huyo aliesoma miaka 4/5 huyu wa mi 5 ni incharge hawez kua msaidiz wa doctor hao wanaolipwa elfu 3 ni hao ngazi ya cheti mara nyingi wamesoma mwaka mmoja au miwili
 
Lazima utofautishe muuguzi aliesoma cheti na huyo aliesoma miaka 4/5 huyu wa mi 5 ni incharge hawez kua msaidiz wa doctor hao wanaolipwa elfu 3 ni hao ngazi ya cheti mara nyingi wamesoma mwaka mmoja au miwili
Sisi ndiyo tuko site mkuu, tunajua tunachoongea...
Hiyo excell sheet ni ya hospitali kubwa sana hapa nchini.
Shida huwezi kuiona direct, ila siku ukiumwa ama kuuguliwa ndiyo utajua shida ya hizi discrepancies ni nini...
 
Sisi ndiyo tuko site mkuu, tunajua tunachoongea...
Hiyo excell sheet ni ya hospitali kubwa sana hapa nchini.
Shida huwezi kuiona direct, ila siku ukiumwa ama kuuguliwa ndiyo utajua shida ya hizi discrepancies ni nini...
Nimejaribu kukuuliza kuhusu scale unazotumia kwenye kituo chako ziko sawa kwa kada zote? Nurses, Drs, Pharm, Lab & Envi .... salary, allowances?

Naomba utoe jibu la moja kwa moja.
 
Hii haijakaa sawa kabisa..daktari hawezi fanya kazi pekeake bila hizo kada nyingine..mbona kuzinyong'onyesha na kuziumiza..kama nesi na maabara hawa watu ndio wanapambana kujua shida ya mgonjwa pia kuhudumia mgonjwa tangua anaingia hospitali hadi kutoka either amekufa ama mzima.

Kuwa na uwiano unaolingana angalau.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nimejaribu kukuuliza kuhusu scale unazotumia kwenye kituo chako ziko sawa kwa kada zote? Nurses, Drs, Pharm, Lab & Envi .... salary, allowances?

Naomba utoe jibu la moja kwa moja.
Kwenye huu uzi sijazungumzia mambo ya salaries, nimezungumzia allowances, hasa consultation fee ambayo inataka kufutwa.

Nikagusia kaeneo kadogo sana ka consultation fee za bima zilivyo na jinsi mgawanyo wake ulivyo wa kinyonyaji.

Kwa kuwa umetaka nizungumzie salary scales basi sawa ngoja nikupe hints uone jinsi mgawanyo uko fair, hatujasema wafanane bali tunasema kuwe na fair gap. MD anapata 1.8M, Nurse Degree anapata 1.5M, Nurse Diploma anapata 1.2M. Huo mgawanyo hapo una fair gap. Shida inayokuja ni huko kwenye posho, huko ndipo pana kimbembe haswaaa.
 
Madaktari wako sahihi; Jiulize, kwanini vyuo wanapokea ada, wakati watumishi wanalipwa na hazina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…