Kama kazi ya mafusho ya mwenge ni kupumbaza watu, je wapumbavu wanawezaje kujikwamua?

Kama mwenge unatufanya wote tuwe wapumbavu au ni ushirikina basi sisi sote kama taifa tumerogwa. (Wananchi na viongozi wote).
 
Tumelaaniwa tunaendesha nchi kwa ushirikina badala ya kumtegemea Mungu.
Mataifa ya ulaya walifahamu fika madhara ya ushirikina na uchawi, ndo maana vitabu vya historia vinaelezea kuwa wachawi na washirikina walichomwa moto hadharani.
Afrika toka enzi na enzi waliokuwa wafalme au machifu walisifika kwa uchawi na ushirikina. Mfano ukisoma hadithi za akina Mirambo, Mkwawa, na yule jamaa wa majimaji utaona namna wanavyosifika kwa uchawi na ushirikina.
Mtaani kuna story ya fimbo aliyokuwa nayo Nyerere na inahusishwa na masuala ya ushirikina au mizimu.
 
Usisahau stori ya Nyerere na mbuzi wake
 
 
Swali kwa wajukuu zangu wapenzi.

Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa?
Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
Sisi watumishi tupo milimani tukifunga na kuomba ili hili jini lilifungamanishwa na mwenge kwenye lile tambiko la Lindi kwenye lango la kuzimu linasambaratishwa na kuwaweka huru watanganyika

Bila maombi ya watumishi hakuna litakalotokea, sahau katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
 
Pasco mbona uchawa umeukataa haraka hivyo? Hutaki cheo cha kustaafia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…