Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka hapa hayo matusi na picha za kutukana viongoziNaona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Una uhakika? Umewasahau wale waliokimbilia Kenya wakarudishwa kwa Mwl. na Mzee Kenyatta?Oscar Kambona alipitia hapo hapo na Julius hakufanya jambo 🐼
Hivi tusi gani ni jipya hapa duniani mtu ukitukanwa utatumia? Matusi yanawaumiza watu dhaifuNaona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Kidiplomasia ni kawaida kabisa.Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Mkuu chukua maua yako 💐💐💐🌼Weka hapa hayo matusi na picha za kutukana viongozi
😂😂😂Mkuu chukua maua yako 💐💐💐🌼
Mkuu akiweka hayo matusi nitag.
Unataka kuwapiganisha ? Mtoto mkikosana akakimbilia kwa mjomba, Shangazi au bibi yuko mikono salama. Maria amekimbia kujihifadhi. Kumtoa huko kininja hainogi. Angeombwa tu arudi kwa wema.Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Serikali ya Kenya haishughuliki na ku manage tabia za watanzania. Kama nchi yenyewe imeshindwa si kazi yaoNaona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Ulikuwa unavaa nepi wakati Odinga Raila alipopewa passport ya Tanzania kumkimbia Moi?Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
unafikiri kenya ni lumumba hapo jichanganye wakakate utepe marinda hayoNaona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?