Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Kinembe nakuona kwenye 1 na 2 š¤£Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinembe nakuona kwenye 1 na 2 š¤£Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Matusi ya nguoni au ni yepi mkuu? ebu weka nasisi tuanze kuchangia kwa evidenceNaona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
UnakatwaNaona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Nimekuuliza kistarabu unajibu uthenge fala wewe... Bilashaka upo period,,Yanayohushisha exhaust pipe zako, moja wapo unayotumia ku pass wind
Nilisikia kambona wakati yuko airport nyerere alipigiwa simu akasema wamwache aendelee na safari yake.Una uhakika? Umewasahau wale waliokimbilia Kenya wakarudishwa kwa Mwl. na Mzee Kenyatta?
Mwl. Nyerere alikuwa gentleman.Nilisikia kambona wakati yuko airport nyerere alipigiwa simu akasema wamwache aendelee na safari yake.
umecopy na kupaste kwa dingii na maza ako wanavyosafisha mitaro yaoNimemiss kusafisha mtaro wako, una mabonde mabonde halafu mnono
Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Punguza munkari wewe, Ukiambiwa Samia, Kagame, Ruto na Museveni wanateka ndiyo kutukana? Hivi wewe una akili kweli? Ulizaliwa wapi wewe?Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Umelewa au umevuta bangi? Naona hueleweki, shughulika wewe kama utaweza, nani ametukanwa? Umesikia wapi Samia ameambiwa ana kitambi? Acha kuchonganisha wananchi wa East Africa. Samia kuambiwa anateka na kuua hilo ni kweli. Hilo la kumteka Maria kutoka Nairobi limemshushia hadhi sana huyo mama. Ikulu yetu ya Dar ameifanya Danguro, sehemu ya kupangia mauaji na utekaji kwa raia wasio na hatia.Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Viongozi au vibaka wanao jiita viongozi? Kama ni viongozi wanamuongoza nani? Mbona hawataki kupigiwa kura na wanachi kwa uhuru , wanataka wawe viongozi wa kura za wizi.Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Umeniacha njia panda na hii code. Tafadhali naomba msaadakisa kuku wao kuuliwa
Mbona umeacha kuitaja na Kenya yenyewe, wao wako huru zaidi.Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Achana nae huyu mtoto wa juzi. Na watu wa namna hii ndo wamejaa CCM huko saivi. Hawana akili kabisaUlikuwa unavaa nepi wakati Odinga Raila alipopewa passport ya Tanzania kumkimbia Moi?
Ulikuwa wapi waliotaka kumpindua Moi wakiongozwa na Ochugwa walipokimbilia Tz, Sunday School au Madrasa ya Alif?