Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watekwe ???!🤣Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Kweli CCM wameishiwa na watu wenye kuweza kutoa hoja zenye nguvu na kuweza kujibu hoja zenye nguvu badala yake wanataka kuvunja hoja kwa kutumia nguvu !Achana nae huyu mtoto wa juzi. Na watu wa namna hii ndo wamejaa CCM huko saivi. Hawana akili kabisa
Acha kukurupukaKweli CCM wameishiwa na watu wenye kuweza kutoa hoja zenye nguvu na kuweza kujibu hoja zenye nguvu badala yake wanataka kuvunja hoja kwa kutumia nguvu !
Waombwe radhi ma-Think tanks wa zamani warudi mzigoni !!
Au nasema uongo ndugu zanguni ??! 🙏🙏
Kwahiyo Mpango wa kumuunga Dr Slaa na Sarungi kwenye case ya mchongo umekufa rasmi?Nchi yao imejaa watu wa mataifa jirani wanaotukana matusi kwa kila mtu