Kama Kenya inatunza na kufadhili watu qanaotukana viongozi wa Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, hivi hakuna namna na sisi tutafanya jambo dhidi yao

Kama Kenya inatunza na kufadhili watu qanaotukana viongozi wa Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, hivi hakuna namna na sisi tutafanya jambo dhidi yao

Achana nae huyu mtoto wa juzi. Na watu wa namna hii ndo wamejaa CCM huko saivi. Hawana akili kabisa
Kweli CCM wameishiwa na watu wenye kuweza kutoa hoja zenye nguvu na kuweza kujibu hoja zenye nguvu badala yake wanataka kuvunja hoja kwa kutumia nguvu !

Waombwe radhi ma-Think tanks wa zamani warudi mzigoni !!
Au nasema uongo ndugu zanguni ??! 🙏🙏
 
Acha kukurupuka
 
Ujumbe umefika !
Fumbo mfumbie mjinga mwerevu hung’amua !
Werevu wameshang’amua 🙏
 
Walisaidiwa kuokoa maisha ya Lissu.

Wabarikiwe.
 
Kwahiyo Mpango wa kumuunga Dr Slaa na Sarungi kwenye case ya mchongo umekufa rasmi?
Bado, Maria Sarungi labda Samuel kuwa mwali asitoke nje, alichochagua ndicho atakuwa served
 
Back
Top Bottom