Kama Kenya inatunza na kufadhili watu qanaotukana viongozi wa Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, hivi hakuna namna na sisi tutafanya jambo dhidi yao

Yanayohushisha exhaust pipe zako, moja wapo unayotumia ku pass wind
Nimekuuliza kistarabu unajibu uthenge fala wewe... Bilashaka upo period,,

Unalaumu Kenya wanaifadhi watukanaji ilhali we mwenyewe unatoa matusi kwenye uzi wako,sasa una tofauti gani na hao unaosema wanatumia lugha za matusi we mbuzi?
 
Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?

Wanaua watu, wanawateka wananchi wao na kuiba chaguzi. Hapo kwa nini wasitukanwe!?
 
Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Umelewa au umevuta bangi? Naona hueleweki, shughulika wewe kama utaweza, nani ametukanwa? Umesikia wapi Samia ameambiwa ana kitambi? Acha kuchonganisha wananchi wa East Africa. Samia kuambiwa anateka na kuua hilo ni kweli. Hilo la kumteka Maria kutoka Nairobi limemshushia hadhi sana huyo mama. Ikulu yetu ya Dar ameifanya Danguro, sehemu ya kupangia mauaji na utekaji kwa raia wasio na hatia.
 
Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?

Unavyosema sisi unaongelea nani hasa maana wetu wanahakati tuna waunga mkono kwa asilimia 100% kwa uzalendo wao.

Hamsemagi matusi ambayo wameyasema. Mnakesha kutunga matusi
 
Unavyosema sisi unaongelea nani hasa maana wetu wanahakati tuna waunga mkono kwa asilimia 100% kwa uzalendo wao.

Hamsemagi matusi ambayo wameyasema. Mnakesha kutunga matusi
Bado hujasema
 
Jambo lipi unataka lifanyike dhidi yao?
 
Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
Viongozi au vibaka wanao jiita viongozi? Kama ni viongozi wanamuongoza nani? Mbona hawataki kupigiwa kura na wanachi kwa uhuru , wanataka wawe viongozi wa kura za wizi.
 
Ulikuwa unavaa nepi wakati Odinga Raila alipopewa passport ya Tanzania kumkimbia Moi?
Ulikuwa wapi waliotaka kumpindua Moi wakiongozwa na Ochugwa walipokimbilia Tz, Sunday School au Madrasa ya Alif?
Achana nae huyu mtoto wa juzi. Na watu wa namna hii ndo wamejaa CCM huko saivi. Hawana akili kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…