Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

View attachment 1695994

Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?

Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
Kweli ww huna akili Kwan Alie kuambia kufa ni ukatili wa Mungu ww baba yako akikuita mwanangu njoo utakuja au hauiji ndio sawa na kifo Mungu anakuita mja wake
 
View attachment 1695994

Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?

Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
View attachment 1695994

Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?

Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
Nyakati nyingine baadhi ya viongozi wa dini huwafanya watu wafikiri kwamba Mungu ni mkatili. Jambo baya linapotokea, wanasema ni mapenzi ya Mungu. Wanasema kwamba Mungu alipanga jambo hilo litokee. Wanaposema hivyo, kwa kweli wanamlaumu Mungu. Hata hivyo, Biblia inafundisha kwamba Mungu si chanzo cha uovu. Yakobo 1:13 inasema kwamba Mungu hamjaribu mtu yeyote kwa mambo maovu. Inasema hivi: “Mtu akiwa chini ya jaribu, asiseme: ‘Mungu ananijaribu.’ Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na mambo maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu yeyote.” Hilo linamaanisha kwamba Mungu hasababishi mambo mabaya ingawa ameyaacha yatukie. (Soma Ayubu 34:10-12.)
 
Kama hausiki na kifo basi anaehusika ni mkuu kuliko yeye.
Maana mnalia sana mnapofiwa ila kashindwa kuzuia msilie
Hajashindwa kuzuia,ila anasubiri muda ufike. Kifo hakitakuepo tena
 
View attachment 1695994

Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?

Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
Kwani kifo ni nini? Kwangu ni 'kigawe kidogo cha shirika' maana kinamwingia kila mtu bila kubaki. Kwa wengine kifo ni transformation - entry into another state of life. Kwa fasili zote mbile Mungu ana shida gani hapo?
 
Asante sana kwa uchache huu. Hapo ni dhahiri kuwa muhusika wa kifo sio Mungu?
 
🤪🤪Mzee wa mapokeo, kusoma hutaki unataka kuambiwa tu
 
Pole sana,ni PM nikufundishe
 
Kwani kifo ni nini? Kwangu ni 'kigawe kidogo cha shirika' maana kinamwingia kila mtu bila kubaki. Kwa wengine kifo ni transformation - entry into another state of life. Kwa fasili zote mbile Mungu ana shida gani hapo?
Hakuna transformation yeyote mzee rejea Muh 9:5
 
Makazi ya milele ni kwa MWENYEZIMUNGU ambako na si hapa duniani,na kila mwanadamu lazima apitie kifo kabla kabla ya makazi yake ya milele ambapo wapo watakaoishi peponi milele na wapo watakaoishi motoni pia kulingana na kile ulichovuna hapa duniani


Kwahiyo kifo ni daraja kuelekea maisha ya milele
Kama ilivo siku ya kuzaliwa ndivo ilivo siku ya kufa ambapo siku zote hizo ni fumbo kwa mwanadamu
 
Biblia ina mafumbo mengi. Huenda hicho kifo si kifo cha mwili bali cha roho.umbo
Neno "biblia ni fumbo" ni upotoshaji wa shetani ili watu washindwe kuielewa, lakini ukweli ni kwamba biblia sio fumbo wala haina mafumbo na inaeleweka vizuri sana. Ukiwa tayari kujifunza bure nichek
 
Juu wapi?Umeshindwa kunitag?
Wahusika ni Adam na Hawa baada ya kudanganywa na shetani. Mfano ukikuta nguzo ya umeme imeandikwa "HATARI USIGUSE UTAKUFA" wewe ukaenda ukagusa unapigwa shoti ukafa. Pale kosa la TANESCO au kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…