Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
AiseeKama Mungu hayupo, wewe upo.
Unaweza kuelewa kwamba square root ya 2 si 10, bila kujua square root ya 2 ni nini.
Umeelewa hilo?
Kwahiyo nani alikuumba wewe Kiranga?
AiseeKama Mungu hayupo, wewe upo.
Unaweza kuelewa kwamba square root ya 2 si 10, bila kujua square root ya 2 ni nini.
Umeelewa hilo?
Mtu asieamini kama kuna Mungu hana tofauti na mnyama. Wanadamu wameumbwa wakiwa na dhamiri(hakimu wa ndani) kiasili tu lazima utagundua huu ulimwengu haukutokeza tu. Kuna mtu kahusika.sasa unaamini vipi usichokiona, na kama huoni kwanini uamini kipo!?
Pole sanasasa unaamini vipi usichokiona, na kama huoni kwanini uamini kipo!?
siri kubwa za ulimwengu huu zimefichwa katika vitabuUMEJUAJE HAYA YOTE.UMEYAPATA WAPI AU UMEBUNI TU
Safi, Sasa nipe tofaut yako ww na babu yako aliyekwepo kabla ukristo haujaja africa. Mana kiasili tu km unavosema wew nna uhakika hakuabudu Mungu unayemsema wewe.Mtu asieamini kama kuna Mungu hana tofauti na mnyama. Wanadamu wameumbwa wakiwa na dhamiri(hakimu wa ndani) kiasili tu lazima utagundua huu ulimwengu haukutokeza tu. Kuna mtu kahusika.
Ujuzi huo mnyama hana
jibu swaliPole sana
Nani kaficha humos
siri kubwa za ulimwengu huu zimefichwa katika vitabu
hao akina Da vinvi miaka hiyo ya 1560Nani kaficha humo
Mungu ni Mungu tu, hana hili wala lile, hana Jana wala leo, hayuko hapa wala pale. Mungu si Kitu bali ni Kila Kitu. Mungu ni Mungu.Kwani Mungu unamjua? Mbona nimekuuliza maswali ya kumhusu umeshindwa kujibu umebaki kulazimisha kuamini kuliko kujua?
Biblia ina contradictioms kibao.
Unaelewa hilo?
Na kama inq cinyradictions, hilo linaonesha habari zake zimeandikwa na watu tu, si kitabu cha neno la Mungu. Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote asingeruhusu kitabu kitakatifu chenye maneno ya kumuelezea yeye kiwe na contradictions.
Ukishasema "kuwa na hakika na mambo yatarayajiwayo" tayari ushasema contradiction.
Hakika ni hakika, mambo yatarajiwayo ni bahati nasibu.Probability.
Ukitarajia kitu, maana yake huna hakika nacho.
Ukiwa na hakika nacho, hutarajii, maana ushapata hakika.
Suala la muhimu si mawazo hasi wala mawazo chanya, suala la muhimu ni ukweli.
Inaonekana wewe hupendi kukubali ukweli mchungu kwamba hakuna Mungu, kwa sababu unaona ukweli huo hauendani na dunia unayoitaka ya fantasy kwamba Mungu yupo.
Ndiyo maana unasema mawazo yangu kwamba hakuna Mungu ni mawazo hasi.
Mungu muweza yote, mwenye uoendo wote nabujuzi wote huyo aliyeandikwa kwenye biblia hayupo.
Ndiyo maana.
1. Huwezi kuthibitisha yupo.
2. Huwezi kuelezea imekuwaje Mungu huyo kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea.
3. Huwezi kuelezea imekuwaje Biblia ikawa na contradictions nyingi sana.
Ukielewa kwamba Mungu huyu hayupo, habari za kuwepo kwake zimetungwa na watu tu, matatizo yote hayo matatu hapo juu yanatatuliwa.
1. Huwezi kuthibitisha Mungu huyu yupo. Kwa sababu hayupo. Utathibitishaje Mungu yupo wakati hayupo?
2. Suala la imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekqna kufanyika linaondoka. Kama Mungu hayupo, ulimwengubkuweza kuwa na mabaya si contradiction.
3. Katika ulimwengu ambao Mungu hayupo, na Biblia imeandikwa na watu tu, Biblia ikiwa na makosa na contradictions nyingi sana si jambo la ajabu, kwa sababu ni kitabu tu kama kitabu kingine chochote kilichoandikwa na watu. Kitabu hiki kuwa na makosa linakuwa jambo la kawaidq tu.
The same goes fo Allah and the Quran. As well as any omnipotent, omniscient and all benevolent godhead.
Mungu ameahidi kufufua waadilifu na wasio waadilifu pia. Kwa hiyo kama babu yangu hakupata nafasi ya kuijua kweli si kosa lake atafufuliwa kisha afundishweSafi, Sasa nipe tofaut yako ww na babu yako aliyekwepo kabla ukristo haujaja africa. Mana kiasili tu km unavosema wew nna uhakika hakuabudu Mungu unayemsema wewe.
Kwanini wewe uwe sahih na yeye asiwe sahihi!?
Hujathibitisha Mungu yupo.Mungu ni Mungu tu, hana hili wala lile, hana Jana wala leo, hayuko hapa wala pale. Mungu si Kitu bali ni Kila Kitu. Mungu ni Mungu.
Mengine yote tuyafungamanishayo na Mungu yatabaki kuwa MATAMANIO yetu tu, Mihemko yetu na Hulka zetu vile tunavyofurahia na kumtaka Mungu wetu awe.
Ubaya wa kifo hata uzuri wake pia ni zao la HULKA zetu tu, ni sawa na dawa chungu na tamu.
TUNACHOTAKA KUPATA SI MARA ZOTE NDICHO TUPASWACHO KUPATA.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Si kosa la babu bali ni kosa la nani?Mungu ameahidi kufufua waadilifu na wasio waadilifu pia. Kwa hiyo kama babu yangu hakupata nafasi ya kuijua kweli si kosa lake atafufuliwa kisha afundishwe
kwanini isiwe wewe ndio mwenye makosa, duniani hakuna jipya vipi kama dini zao ndio zilikuwa sahihi?Mungu ameahidi kufufua waadilifu na wasio waadilifu pia. Kwa hiyo kama babu yangu hakupata nafasi ya kuijua kweli si kosa lake atafufuliwa kisha afundishwe
Fafanua kidogoinawezekana Mungu asijue kama unaishi , utasemaje anakupangia kifo ? Wewe ishi siku roho ikiamua kuondoka ndio kifo chako . Roho inasepa kwenda kuanzisha maisha mengine kwa umbo jingine .
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app