Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

wala sijakimbia ila wewe ndio unatetea hoja ambayo biblia haiungi mkono ....hoja yangu ya msingi(je Mungu anajua kila kitu....nimeshaijibu sasa hiyo gani nimeiruka ila wewe unaleta hoja nyingine ya huo mstari bila andiko lolote n dio nikuelekeza mwanzo sura 19 na kutoka 33:22.. pia katafute kisa cha ishmaeli...au anzisha thread nyingine
kama hujakimbia basi nijibu swali hili

kwenye hiyo sura kuna conversation ya abraham, mungu, na malaika

nataka uniambie kwenye hiyo sura ni mstari upi ambao umeelezea conversation kati ya abraham na Mungu?

Vile vile malaika alifanya mazungumzo na abraham, nataka unipe reference ya verse ikionesha ni maneno gani ambayo malaika alikua anazungumza na abraham
 
Hujathibitisha kwamba yupo.

Huelewi kwamba sijataka ulimwengu uwe ninavyotaka mimi, nataka maelezo ya habari za Mungu wenu yawe na logical consistency.

Mtu akikwambia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mapenzi yote yupo. Halafu hapo hapo akakwambia Mungu huyo hayupo, utakubali maneno yake yote hayo?
Mungu ni Roho
Yupo ila siwezi kuthibitisha unavyotaka.
 
Sasa mbona umekataa kwamba hujadai kuwa nimeshindwa kujibu?
hakuna mahali nimekataa kwamba sijaandika "umeshindwa kujibu"

Ila nakataa kwamba hakuna mahali mimi nimeandika "wewe umesema umeshindwa kutoa maana ya imani"
 
"We are eternal beings experiencing physical life"
Sisi ni viumbe wa kiroho tunaoishi maisha ya kimwili so kama unamwamini Bwana Yesu Kristo then hamna kifo bali kuna transformation
Kutoka maisha haya kwenda maisha ya kiroho kiujumla where we live foreveb

true free intelegent game we the product of annunak ambao wali shea DNA zao kwa baadhi ya viumbe waliokuwepo hapa duniani ili kupata kiumbe kinachopendeza kidogo kitakachokuwa na akili za kiasi fulani zaidi ya viumbe waliokuwepo but DNA karacta within a soul inabakia vilevile within yaani hata ukifa soul hubakia na DNA yako, mara roho inapotoka after bluewish take over with bliss sound soul huelekea purgutory na huwa domant pale ikidetamain mazuri iliyoyafanya au mabaya ikiwa ni mazuri hutoka hapo na kwenda ku label DNA katika ANNUNAK dominion na hapo huka kwa siku 3 kabla ya kurejea kwenye familia husika na kukaa nao karibu huku ikichagua pahala pa kufanya reincanation au uzao wa kufanya tendo hilo lakini ikumbukwe tendo hili huweza kuchukua miaka pengine 20 mpaka 50 ili katika familia kuzaliwa mtu ambaaye ni kopirite na yule aliyefariki,roho zinazobakia purgutory hubakia hapo tu maana haziwezi kureincanate tena na huwa katika hali ya mateso fulani huko kwenye upande wa dini zenu mnapaita HELL
#hii ni elimu ya juu kidogo just as an intro haistaili kujulikana
UMEJUAJE HAYA YOTE.UMEYAPATA WAPI AU UMEBUNI TU
 
kama hujakimbia basi nijibu swali hili

kwenye hiyo sura kuna conversation ya abraham, mungu, na malaika

nataka uniambie kwenye hiyo sura ni mstari upi ambao umeelezea conversation kati ya abraham na Mungu?

Vile vile malaika alifanya mazungumzo na abraham, nataka unipe reference ya verse ikionesha ni maneno gani ambayo malaika alikua anazungumza na abraham-

hakuna conservation ya malaika na Abraham........
kuna conversation Mungu na Abraham.
Mungu anaongea kupitia malaika versa soma sura yote
 
hakuna conservation ya malaika na Abraham........
kuna conversation Mungu na Abraham.
Mungu anaongea kupitia malaika versa soma sura yote
weka reference ya sura nzima hapo wote tusome
 
hakuna mahali nimekataa kwamba sijaandika "umeshindwa kujibu"

Ila nakataa kwamba hakuna mahali mimi nimeandika "wewe umesema umeshindwa kutoa maana ya imani"
Sasa kwanini useme nimeshindwa kujibu wakati mimi mwenyewe sijasema?
 
Sasa kwanini useme nimeshindwa kujibu wakati mimi mwenyewe sijasema?
kwasababu hujaweza na ili uonekane umeweza ulitakiwa ujibu (na hakukua na haja ya wa wewe kusema umeshindwa kujibu ili ifahamike umeshindwa) so kutokuweza kwako kujibu ndio kushindwa kwako.

kama unabisha nioneshe wapi umeweza kujibu maana ya imani?
 
kwasababu hujaweza na ili uonekane umeweza ulitakiwa ujibu, so kutokuweza kwako kujibu ndio kushindwa kwako

kama unabisha nioneshe wapi umeweza kujibu maana ya imani?
Sijajibu kwa sababu najua unajua
 
kutoka 3 haisemi kuhusu abraham na mungu inazungumzia habari za moses

nataka uweke reference ya aya ambayo ulianza nayo ambayo ulidai niliikimbia inayomzungumzia abraham kuhusu kutoa sadaka ya mwanae

naona round hii unakimbia wewe
 
Mungu anawachola tu naona kwenye yupo ana enjoy kweli ataki shobo na dunia mpambane na ali zenu tu.
 
Back
Top Bottom