Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Nina hoja nyingi ya kutetea upande wangu kupitia references za biblia ila sitaki habari za kuhama hama mjadala kama ambavyo wewe unafanya

Nataka tukiama mjadala kusiwe na doubt kwenye mjadala wa nyuma tena ili kuepuka maswali ya usumbufu yatakayojitokeza kwenye mjadala mpya

Mjadala wa ibrahim, malaika na mungu bado uko njia panda

Usipokubali ukweli kwamba yale yalikua ni maneno ya malaika na umepewa na references yenye kuthibitisha lakini bado hujataka kukiri, basi hata huko unakotaka tujadili unaweza ukafanya kosa hilo hilo

Tumalize kwanza hapa, nasisitiza hili kwasababu wewe ndiye uliyeanza kuniambia nilikimbia swali lako ambalo saizi wewe ndio unalikimbia
wala sijakimbia ila wewe ndio unatetea hoja ambayo biblia haiungi mkono ....hoja yangu ya msingi(je Mungu anajua kila kitu....nimeshaijibu sasa hiyo gani nimeiruka ila wewe unaleta hoja nyingine ya huo mstari bila andiko lolote ndio nikuelekeza mwanzo sura 19 na kutoka 33:22.. pia katafute kisa cha ishmaeli...au anzisha thread nyingine
 
Kweli kabisa, Mungu wa kweli si muuaji, tena hafurahii kufa kwa mtu. Anaona kifo kama adui kwa wanadamu alowaumba.
𝑬𝒛𝒆𝒌𝒊𝒆𝒍𝒊 18:32 - 𝑴𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒎𝒊𝒎𝒊 𝒔𝒊𝒌𝒖𝒇𝒖𝒓𝒂𝒉𝒊𝒊 𝒌𝒖𝒇𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒌𝒆 𝒂𝒇𝒂𝒚𝒆, 𝒂𝒔𝒆𝒎𝒂 𝑩𝒘𝒂𝒏𝒂 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼; 𝒃𝒂𝒔𝒊 𝒈𝒉𝒂𝒊𝒓𝒊𝒏𝒊, 𝒎𝒌𝒂𝒊𝒔𝒉𝒊.

Hata hivyo Mungu atafutilia mbali kifo(mauti) karibuni.
1 𝐶𝑜𝑟𝑖𝑛𝑡ℎ𝑖𝑎𝑛𝑠 15:26 𝑇ℎ𝑒 𝑙𝑎𝑠𝑡 𝑒𝑛𝑒𝑚𝑦 𝑡ℎ𝑎𝑡 𝑠ℎ𝑎𝑙𝑙 𝑏𝑒 𝑑𝑒𝑠𝑡𝑟𝑜𝑦𝑒𝑑 𝑖𝑠 𝑑𝑒𝑎𝑡ℎ. (𝐴𝑑𝑢𝑖 𝑤𝑎 𝑚𝑤𝑖𝑠ℎ𝑜 𝑎𝑡𝑎𝑘𝑎𝑦𝑒𝑏𝑎𝑡𝑖𝑙𝑖𝑠ℎ𝑤𝑎 𝑛𝑖 𝑚𝑎𝑢𝑡𝑖).
 
kwasababu jibu nililokupa ulionesha kutokubaliana nalo ukinisisitiza nijibu swali lako kwanza, kwa tafsiri ya haraka kile nilichokiandika hakikuhusiana na swali lako

na mimi nilipoliona hilo nikasema okay huenda natoa majibu ya uwongo kutokana na neno imani silijui kwa namna ambayo muulizaji analielewa na ndio maana nikakuomba unipe ufafanuzi wa neno kuamini/imani

Sasa kama umeshindwa kutoa maana ya imani inamaana huna mamlaka ya kuniambia jibu sio sahihi kwasababu unakua unauliza jambo ambalo umechagua msingi (imani) ambao huujui maana yake
Wapi nimesema nimeshindwa kutoa maana ya imani??
 
Kumbe Imani inaweza kuwa ya kweli au uongo,
Kwanini unadhani imani ya kwamba Mungu yupo ni uongo?
Kwanini usiamini kwamba ni kweli?
Siamini kwamba Mungu yupo, kwa sababu imani ya Mungu kuwepo, ina contradiction ambazo hazijatatuliwa.

Tunaambiwa Mungu.

1. Ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wote
3. Ana upendo wote.

Huyu Mungu ana kila sababu ya kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, hauna kifo, hauna njaa, hauna magonjwa.

1. Ana uwezo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wa kuumba ulimwengu huo.Kwa sababu ana ujuzi wote.
3. Ana upendo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana upendo wote.

Sasa kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao hauna mabaya popote, wakati wowote na kwa sababu yoyote?

Hujajibu swali.
 
uwepo wetu sisi binadamu ni kielelezo tosha kuwa Mungu yupo,,, kwa sababu sisi hatujatokea tu from no where,,

na kuhusu kuwepo kwa vitu vibaya dunian akufanyi Mungu kutokuwepo kwa sababu hata hayo magonjwa masunami vyote kaviumba yeye..

kuhusu mfano wako wa baba mwenye watoto je anaweza kuwategeshea wanae visu mishale au mabomu jibu ni ndio inawezekana ni mara ngapi unasikia Baba kambaka mwanae au Baba kamchoma kisu mwanae kwa sababu furani,,

kwa hyo hoja ya kusema Mungu hayupo eti kwa sababu kuna vita na mabaya mengi dunian hyo hoja yako haina maana,,,

Mungu ndo kaumba mabaya na mazuri pia so ni jukumu lako kuchagua

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Hujaeleza uwepo wetu unathibitishaje Mungu yupo.

Siamini kwamba Mungu yupo, kwa sababu imani ya Mungu kuwepo, ina contradiction ambazo hazijatatuliwa.

Tunaambiwa Mungu.

1. Ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wote
3. Ana upendo wote.

Huyu Mungu ana kila sababu ya kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, hauna kifo, hauna njaa, hauna magonjwa.

1. Ana uwezo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wa kuumba ulimwengu huo.Kwa sababu ana ujuzi wote.
3. Ana upendo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana upendo wote.

Sasa kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao hauna mabaya popote, wakati wowote na kwa sababu yoyote?

Hujajibu swali.
 
Siamini kwamba Mungu yupo, kwa sababu imani ya Mungu kuwepo, ina contradiction ambazo hazijatatuliwa.

Tunaambiwa Mungu.

1. Ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wote
3. Ana upendo wote.

Huyu Mungu ana kila sababu ya kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, hauna kifo, hauna njaa, hauna magonjwa.

1. Ana uwezo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wa kuumba ulimwengu huo.Kwa sababu ana ujuzi wote.
3. Ana upendo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana upendo wote.

Sasa kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao hauna mabaya popote, wakati wowote na kwa sababu yoyote?

Hujajibu swali.
Kila Alilolifanya na tazama Aliona ya kuwa li jema.

Ulimwengu kuwa na shida haimaanishi kwamba hayupo.
Ameamua uwe hivyo.

Kwanini unataka ulimwengu uwe vile unavyotaka wewe na si Yeye anavyotaka?
 
Hujathibitisha kwamba yupo.

Huelewi kwamba sijataka ulimwengu uwe ninavyotaka mimi, nataka maelezo ya habari za Mungu wenu yawe na logical consistency.

Mtu akikwambia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mapenzi yote yupo. Halafu hapo hapo akakwambia Mungu huyo hayupo, utakubali maneno yake yote hayo?
 
Siamini kwamba Mungu yupo, kwa sababu imani ya Mungu kuwepo, ina contradiction ambazo hazijatatuliwa.

Tunaambiwa Mungu.

1. Ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wote
3. Ana upendo wote.

Huyu Mungu ana kila sababu ya kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, hauna kifo, hauna njaa, hauna magonjwa.

1. Ana uwezo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wa kuumba ulimwengu huo.Kwa sababu ana ujuzi wote.
3. Ana upendo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana upendo wote.

Sasa kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao hauna mabaya popote, wakati wowote na kwa sababu yoyote?

Hujajibu swali.
Kama kawaida yako. Unaandika utumbo mwaka wa 10 huu.

Wewe ilitaka aumbe unavyotaka wewe ndio ukubali uwepo wake!

Nishakwambia miaka mingi. Hilo jina "kiranga" kwa kidigo maana yake ni "nyege".
Sasa mzazi amuite mwanae "Nyege" we unategemea atakuja kumuheshimu Mungu?!
You are a waste of space nincompoop.
 
Hujaeleza uwepo wetu unathibitishaje Mungu yupo.

Siamini kwamba Mungu yupo, kwa sababu imani ya Mungu kuwepo, ina contradiction ambazo hazijatatuliwa.

Tunaambiwa Mungu.

1. Ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wote
3. Ana upendo wote.

Huyu Mungu ana kila sababu ya kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, hauna kifo, hauna njaa, hauna magonjwa.

1. Ana uwezo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wa kuumba ulimwengu huo.Kwa sababu ana ujuzi wote.
3. Ana upendo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana upendo wote.

Sasa kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao hauna mabaya popote, wakati wowote na kwa sababu yoyote?

Hujajibu swali.
kuumba ulimwengu wenye mabaya hayo ni maamuzi yake na kuonyesha ukubwa wake kwamba anauwezo wa kuumba ulimwengu wenye mabaya na mazuri pia,,,

kama angeumba ulimwengu wenye mazuri tu uoni kama wewe ungekuja kuuliza kwann ajaumba ulimwengu wenye mabaya na mazuri,,,

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa, Mungu wa kweli si muuaji, tena hafurahii kufa kwa mtu. Anaona kifo kama adui kwa wanadamu alowaumba.
𝑬𝒛𝒆𝒌𝒊𝒆𝒍𝒊 18:32 - 𝑴𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒎𝒊𝒎𝒊 𝒔𝒊𝒌𝒖𝒇𝒖𝒓𝒂𝒉𝒊𝒊 𝒌𝒖𝒇𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒌𝒆 𝒂𝒇𝒂𝒚𝒆, 𝒂𝒔𝒆𝒎𝒂 𝑩𝒘𝒂𝒏𝒂 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼; 𝒃𝒂𝒔𝒊 𝒈𝒉𝒂𝒊𝒓𝒊𝒏𝒊, 𝒎𝒌𝒂𝒊𝒔𝒉𝒊.

Hata hivyo Mungu atafutilia mbali kifo(mauti) karibuni.
1 𝐶𝑜𝑟𝑖𝑛𝑡ℎ𝑖𝑎𝑛𝑠 15:26 𝑇ℎ𝑒 𝑙𝑎𝑠𝑡 𝑒𝑛𝑒𝑚𝑦 𝑡ℎ𝑎𝑡 𝑠ℎ𝑎𝑙𝑙 𝑏𝑒 𝑑𝑒𝑠𝑡𝑟𝑜𝑦𝑒𝑑 𝑖𝑠 𝑑𝑒𝑎𝑡ℎ. (𝐴𝑑𝑢𝑖 𝑤𝑎 𝑚𝑤𝑖𝑠ℎ𝑜 𝑎𝑡𝑎𝑘𝑎𝑦𝑒𝑏𝑎𝑡𝑖𝑙𝑖𝑠ℎ𝑤𝑎 𝑛𝑖 𝑚𝑎𝑢𝑡𝑖).
Ni kweli kabisa hata Mwa 6:5,6 inaonyesha jinsi Mungu anavyohuzunika kuongeza kwa uovu duniani
 
kuumba ulimwengu wenye mabaya hayo ni maamuzi yake na kuonyesha ukubwa wake kwamba anauwezo wa kuumba ulimwengu wenye mabaya na mazuri pia,,,

kama angeumba ulimwengu wenye mazuri tu uoni kama wewe ungekuja kuuliza kwann ajaumba ulimwengu wenye mabaya na mazuri,,,

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Unaweza kuthibitisha ni maamuzi yake na si hadithi ulizopigiwa ba watu tu?

Na kwa nini maamuzi yake yawe ya ukatili unaoua watu wakati alikuwa na uezo wa kuwapa good time watu mwanzo mpaka mwisho?

Baba gani anayejenga nyumba yake, na kuitegeshea mabomu iue wanawe, ili kusudi tu wanawe wajue yeye ni baba na yupo? Alishindwa kutumia njia nyingine salama na rafiki za kujidhihirisha yupo?
 
hata kama angeweka dunia yenye bata na starehe za kila aina dunia ambayo aina mabaya bado ungeuliza kwann ajaumba dunia yenye mabaya,,

kwa hyo kuwepo kwa mabaya hakuondoi uwepo wake kuumba mabaya na mazuri yote ni maamuzi yake,

ulishawahi kusikia mzazi anatembea na mwanae wa kumzaa kimapenzi je hyo inaondoa ubaba wa yule mtt,,,je ni mara ngapi tunasikia Baba kamchinja mwanae je hyo itaondoa kwamba yule sio baba wa uyo mtt?

Kwanza thibitisha Mungu yupo kabla ya kusema kaumba hivi au vile tu.

Ili tujue hizo habari za kaumba hivi au vile si hadithi tu.

Zaidi, angeumba dunia ambayo haina mabaya, kungekuwa hakuna contradiction ya kuhoji.

Wewe unaelewa hata ninachohoji hapa ni nini?

Au unajibu kwa kuhemka kihisia tu?
 
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo wala kufikirika?
Kifo kina tatizo gani kwani..? Mentality yako ndiyo inakutuma kwamba kifo kina tatizo; Kifo hakina shida yoyote kama kweli kipo;
Infact hakuna Kifo; Maana unachokiita kifo kinapokuja kwako wewe hujui; Kitu ambacho kinakukuta na wewe hujui kina uhakika gani?; Wanaobaki hawana uhakika na hicho kifo ambacho kimekupata wewe, maana wewe ndio muhusika na haujui kitu, ila wao ndo wanajua kitu ambacho wewe muhusika hujui.

Acha kuogopa fear of Unknown
 
Jiue basi sasa hivi tusikuone kuandika tena hapa JF tujue kweli unamaanisha unaposema kifo hakina tatizo na hukiogopi.

Siyo unaandika kifo hakina tatizo, lakini unakiogopa.
 
Hakuna kitu kama Kifo mzee; Nipe Ushahidi kama kifo Kipo na unihakikishie kabisa;
 
Back
Top Bottom